Timu haijashinda Ubingwa wa ligi kuu Misimu mitatu mfululizo lakini Mashabiki hawajawahi ingia bure Uwanjani, bado siku tatu kuelekea Simba day lakini Uwanja ushatapika
1. Simba haikuchukuwa tuzo ya Mashabiki bora kwa upendeleo
2. Makofi kwa Mashabiki wa Simba na Semaji wao
SOLD OUT YA UBAYA UBWELA HII HAPA.
Kwa wale wachache wa mwisho kupenya na kupata tiketi changamkeni.
Huu umekuwa ni utamaduni wa Simba kuujaza Uwanja kwa kuuza tiketi zote, Ni tofauti na upande wa pili Yanga wao kuujaza uwanja hawawezi mpaka wanunuliwe tiketi au wasubiri fungulia dogy
Mara...
Shalom,
90% ya ndoa nyingi ni fake, wanawake wengi huolewa kwa shida zao binafsi na kwa manufaa binafsi mfano kukosa kujihudumia kwa chakula, mavazi, kula vizuri, kulipa Kodi ya nyuma, familia duni hasa wazazi na ndugu tegemezi kibao, kuoana wivu hasa marafiki zao wakiolewa.
Na wanawake kwa...
MwenyeziMungu hapendezwi na kuombea mtu mabaya yamfike, anawapenda watu wanao omba na kuombea mema/kheri.
Simba wamekuja na ujinga wa ubaya ubwela msimu huu na kusahau kuwa kuombea watu ubaya hakumpendezi Mungu hata kidogo. Wamesahau kuwa mchimba kisima huingia mweyewe au huingia mtuwe.
Sasa...
Naona mama anapiga katafunua kali kali sana, yaani hii ndio "ubaya ubwela" kwa rangi zake, nadhani amepiga miksa na kurujuani ya Mzee Magoma, yaani hata aliyewaza kama Maharage, aliyeshiriki, anakula za uso. Hakopeshi, unapiga tukio, anakupiga tukio, ukiweka ugoko, anaweka jiwe, n'gadu kwa...
Mnyonge mnyongeni huyu mzee ndio ametambulisha kwa ukubwa matumizi wa hayo maneno kwenye uwanda wa football hapa nchini.
Simba wamlipe huyu mzee kwa kutumia hayo maneno.
Kama humjui mzee mbwiga pita kimyakimya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.