Fimbo ya mbali haiwezi kuua nyoka hata kidogo. Lazima iwe karibu na kumfikia nyoka na kisha kumuua.
Lissu yupo Brussel anakula bata kwa mrija, lakini ana malalamiko mengi juu ya mambo yanayotamaraki hapa Tanzania.
Analalamika juu ya kutokuwa na katiba inayokidhi mahitaji ya watanzania. Hivyo...
Kama ambavyo tweet inavyoonesha hapo juu, Mbwana Ali Samatta amerudi nchini Ubeligiji, na safari hii akijiunga na klabu kongwe nchini humo, yaani Royal Antwerp! Kwa wafuatiliaji, bila shaka wanafahamu Samatta hakuwa akipata nafasi ya kutosha pale Fenerbahce. Jambo lililonishangaza, inaonekana...
Mbunge wa Viti Maalum Singida, Aisha Rose amesema Serikali imechimba visima katika Jimbo la Ikungi Mashariki na Ikungi Magharibi lakini havina mtandao wa maji.
Kabla ya kupata maelezo ya Naibu Waziri wa Maji, Spika Job Ndugai alimshukuru Mbunge huyo kwa maswali kuhusu Ikungi Mashariki akisema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.