Mamlaka za Ubelgiji zimesema ziliwakamata na kuwahoji kwa muda mfupi raia wawili wa Israel waliokuwepo kwenye tamasha la muziki la Tomorrowland wiki iliyopita, baada ya makundi yanayoiunga mkono Palestina kuwatuhumu kwa makosa ya kivita.
Mwendesha mashtaka alisema walipokea malalamiko kwamba...