Hello wana jamvi,
Matumaini yangu wote ni wazima asubuhi ya leo na ni siku nyingine alietupa Mungu kwa ajili ya mapambano, they say every new day as new opportunities.
Mimi ni mchimbaji wa Feldspar, nimekuwa kwenye fani tangu September 2020, ambapo nilianza kwa kufanya survey ya feldspar mkoa...