Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 6,076
- 15,685
Uvuvi wa bahari kuu kwa nchi yetu unafanyika kwa kiasi kidogo sana tunakosa mapato,samaki wa kubwa na nafasi za kazi.
Serikali iliruhusu kampuni za wazawa kufanya ubia kwa kukodi au kushirikiana na kampuni zenye meli za uvuvi kwa mkataba wa kipindi fulani.
Kuwe na vipengele vya uangalizi wakati wa Uvuvi ambapo afisa uvuvi huwa anakuwa melini muda wote. Samaki wote wakimaliza kuvuliwa lazima meli ije bandari zetu na hatua za kusafirisha kwenda nje au viwandani zifate. Kampuni mama lazima iwe na umiliki au share nyingi za watanzania.
Hii itapelekea kuwa na mwanzo mzuri wa kampuni au wazawa kununua meli zao mpya au zilizotumika baada ya kuwa na mtaji na masoko ya samaki ya nje. Uwekezaji wa meli za uvuvi wa bahari zinahitaji mitaji mikubwa na gharama za uendeshaji ni kubwa sana.