wizara ya uvuvi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Offshore Seamen

    JamiiForums Tanzania Wizara ya uvuvi iruhusu kampuni au wazawa kuingia ubia na meli za nje za uvuvi

    Uvuvi wa bahari kuu kwa nchi yetu unafanyika kwa kiasi kidogo sana tunakosa mapato,samaki wa kubwa na nafasi za kazi. Serikali iliruhusu kampuni za wazawa kufanya ubia kwa kukodi au kushirikiana na kampuni zenye meli za uvuvi kwa mkataba wa kipindi fulani. Kuwe na vipengele vya uangalizi...
  2. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wizara ya Uvuvi imeachana na mpango wa kukopesha vizimba kutokana na ukosefu wa fedha

    Wizara haitatoa vizimba wala boti tena kwa wavuvi, hiyo ndio taarifa rasmi ambayo bado haijawa rasmi. Serikali imeamua kufanya hivyo kutokana na ukosefu wa fedha hasa ikizingatiwa bajeti kadhaa zimepita. Hii taarifa nimeipata kutoka Wizarani Dodoma.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Wizara ya uvuvi leo ni siku ya 6 wameshindwa kutatua mgomo baridi Tunduma

    Wafanyabiashara na madreva huko Moto umewaka. Kisa ni export royalty ambayo ilitakiwa wafanye majadiliano mambo yaishe. Wakusikia na asikie. Watu wanawaza mengi juu ya utendaji na watendaji wa wizara husika.
Back
Top Bottom