Swali langu ni hilo wakuu, japo kwa upande wangu nilimkubali na nitaendelea kumkubali sana mzee Hassan Rehani Bitchuka.
Wewe je unakubaliana na huyo huyo wa kwangu?
Au Cosmos Chidumule?
Au hayati Tx Moshi?
Kuna opinion unaweza kuisema, then ikawa controversial kwa watu na wakakupinga vibaya mno ila wewe ndani yako unaiamini iko sahihi na luckily baadae wanakuja kujua ulikuwa sahihi ingawa walikuweka mtu kati kukushambulia na kukupinga
Watu wengi sana wanaishia kuumiza na wezi kwa kuchukua risk ya kuanza kutaka kunegotiate na kubishana, wengi wao huwa hawana uzoefu, baada ya kuumia ndio hujifunza maana somo huwa linaeleweka ukipata madhara.
Unapokutana na wezi ni option tatu pekee
1. Kimbia toka nduki utadhani umekanyaga...
Copy & Paste from Twitter.
MBOWE VS LISSU SIFA ZAO NA MAPUNGUFU YAO
SIFA ZA MBOWE
1. Ni Kiongozi mwenye uwezo wa kuunganisha palipo vunjika kwenye Jamii.
2. Ni Kiongozi ambaye ni Mtulivu
3. Ana uwezo wa kuwalea na kuwakuza vijana japo baadae wengi humgeuka na kukimbilia chama tawala.
4...
Wiki iliyopita nilikuwa napita ghetto usiku saa mbili hivi, nikawaona watoto wachache wamekaa pale,wasichana nikatoa offer,nikawapa sh.1000(elfu moja) buku. Wakaikataa.
Sasa,I was very shocked. Ile hela nikaichana kwa hasira zangu,nikawaachia pale, nikaondoka.
Ingawa,kwa kweli,siyo jambo zuri...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman A. Mbowe amesema hamuogopi Lissu ambaye anagombea nafasi ya kuwa mwenyekiti wa chama hicho. Amesema hakumuogopa Magufuli aliyekuwa na majeshi na dhamira ya kuua amesema Lissu hana cha kumtisha.
Anasema Lissu ni kuongozi mwenzake na wamepitia mengi, hawawezi...
Inawezekana kutokana na mama kuwa chaguo la mungu kwa mara ya kwanza mwaka huu tumebahatika kupata watoto waliotimiza umri wa miaka 18 na wanasoma shule moja darasa moja, mungu mkuu na lolote chini ya giza linaweza kutokea.
Ushauri wangu mngewaelekeza walimu wasipeleke darasa zima kwenye kituo...
Habari wanaJF,
Nilikuwa naombeni msaada wa kimawazo nifanye nini kuacha tabia ya ubishi na kuwa na misimamo mikali usiyobadilika.
Hizi tabia nimeanza mdogo sana kubishia wazazi na kusimama na misimamo yangu mpaka mauti itakaponikuta.
Hii hali imepelekea kugombana na wengi pia kupendwa na...
Hello JF hope you are doing well!
Twende kwenye mada.
Huyu mzee tupo naye mtaa mmoja, ni mstaafu alikuwa nesi katuka hosii ya wilaya.
Huyu mzee amejenga nyumba yake katika kiwanja kikubwa tu na sehem kubwa ya neo lake hulitumia katika shughuli za kilimo cha umwagiliaji, ufugaji wa cows...
Inakuwaje wanajamvi!
Yesu mtu wangu wa nguvu wewe ni Mungu hilo halipingiki shikilia hapo hapo mwanangu tulio wengi tuko nyuma yako.
Tunakupenda na kamwe hatutaacha kukuabudu.
JESUS FIRST JESUS FOREVER
JESUS IS GOD
HUNIAMBII KITU KUHUSU YESU
Wanabodi,
Hii ni makala yangu gazeti la Nipashe la leo
Hii ni makala yangu ya pongezi kwa Wakili Mwabukusi kuchaguliwa kuwa rais wa TLS, na kumpa ushauri wa bure, aibadili TLS kutoka kule juu ilipo, aishushe chini ground zero Ihudumie wananchi wa kawaida wanaohitaji huduma za kisheria, badala...
Salaam Wakuu,
Kama ilivyo ada inapofika mwisho wa msimu baadhi ya Wachezaji pia humaliza mikataba na timu zao, Miongoni mwa Wachezaji waliomaliza mikataba yao kwa nchi yetu ni Cloatus Chota Chama ambaye kwa sasa anakipiga mitaa ya Msimbazi Kariakoo.
Kutokana na umahiri wa mchezaji huyu...
Niaje waungwana
Leo nimeamua nilete kwenu uzi huu ili tumalizie ubishi uliopo mtaani kwetu kwa muda wa week tatu sasa bila kumpata mshindi wa kweli, huku kila kundi likivutia kamba upande wake.
Ubishi wenyewe unahusu miamba miwili yenye roho ngumu, maamuzi mazito na misimamo mikali isiyoyumba...
Hello men and women of God!
Nimekaa hapa nimewaza na kugundua kuwa hizi rasilimali za asili kama madini, wanyama na rasilimali zingine zote za asili hapa Afrika ni zao Wazungu.
Sisi tulipewa tuzilinde tu kama vile mtu anayejenga nyumba Chanika na kumwambia mtu kaa usihofu lima mboga mboga ila...
S2kizzy aka Zombie ni producer mkali kuliko Master Jay.
Zombie ambaye ni Grammy nominated mara kadhaa na kafanya nyimbo ambazo ana international hits kuzidi Master Jay ambaye alikuwa akimiliki studio ya MJ production ambayo alitumia wataalam wa kutengeneza muziki kama Maron linje, Profesa...
Wanabodi,
Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na makala za Kwa Maslahi ya Taifa, leo ni swali tuu kuhusu hiki Chuma kipya.
Baada ya mtu kupelekewa moto na akaachia ngazi mwenyewe, bado kuna ubishi kuwa hili ingizo jipya ni chuma cha ukweli kama chuma cha Mjerumani?. Je chuma hiki ni chuma...
My favourites:
1: Ya leo kali - Sir nature
https://youtu.be/GXCVGgilmy0?si=NHnPDmN_3d2yp8d5
2: nini mnataka - Pig black
https://youtu.be/0qNYFOaORoA?si=QSY3Afitv0bGT_qg
3:wanok nok - Domokaya na mandojo
https://youtu.be/Tmk6TWOd-Nw?si=137mZNDvguFmK5Rp
4: kimya kimya - Jay moe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.