Kama kawaida yangu Lord Denning a.k.a kiboko ya wafiwa a.k.a kiboko wa ufipa fc na kiboko ya wapotoshaji leo nakuja kwenu wale mnaodai Rais ameuza Bandari zetu
Swali langu kwenu.
Upo wapi uthibitisho/ ushahidi wa Bandari zetu/ yetu kuuzwa?
Msisitizo: Sitaki longolongo , naombeni uthibitisho...
Nimemsikia Lissu akiyasema makubaliano yetu ya Tanzania na Dubai hayaoneshi kiwango cha uwekezaji utakaofanywa na mgawanyo wa mapato, akitumia hiyo kama moja ya sababu ya kuyaponda makubaliano tuliyoingia na Dubai kuhusu masuala ya uwekezaji.
Lissu anasema haya huku nikiwa na uhakika kuwa...
Hopefully wote mtakuwa salama. Nisiwachoshe na mimi msinichoshe.
Leo asubuhi bwana nilikuwa bored sana na idle as of tangu nime retire, i just decided kupumzika nyumbani na familia. Basi bwana nikajikuta nipo YouTube naangalia video mbalimbali, kuangalia hivi kidogo nakuta clouds wako live na...
Miongoni mwa siri zilizofichuliwa leo kuhusu Mkataba wa kuiuzia kampuni ya Waarabu Bandari za Tanzania, imo habari kwamba Bandari zitakazohusika ni zile za Tanganyika Pekee, za Zanzibar hazitahusika.
Ikumbukwe kwamba Bandari ni miongoni mwa mambo ya Muungano, ikiwa kama jambo hili lina faida...
bandari za zanzibar
dp world
dubai
jamiiforums
kuhusu
kulalamika
kura
mbona
mzanzibari
naomba
neema
rais
rais samia
samia
tupige kura
ubishi
utanzania
waziri
world
zanzibar
Pamezuka ubishi kuhusu wimbo wa "Superwoman" wa Phina na "Superwoman" wa Zuchu. Kuna mjadala mkali sana kuhusu wimbo upi umetulia kusikiliza ukiwa safarini.
Nimeamua kuileta hii mada hapa jukwaani pengine tunaweza kupata majibu sahihi.
Hii ni Superwoman ya Phina:
Hii ni Superwoman ya...
Suala la mjadala kuhusu nani ndie mfalme wa muziki wa Africa, limekuwa likichukua kasi.
👉Huku kila mmoja akivutia kamba upande wake, kuanzia east Africa kina king kiba, diamond na hata konde boy wote wamekuwa wakisifiwa na mashabiki wao.
Mpaka kule Nigeria wasanii Kama patoranking, burna...
Walezi wa kiume iwe ni baba, mjomba, baba mkubwa, n.k, huwa ndio wanategemewa kusimamia kitengo cha kutia displini hasa utukutu ukizidi, hata walezi wa kike wakiona toto limekuwa tundu wanamwambia msubiri baba yako aje, mjomba wako aje, n.k.
Sasa basi unakuta sometimes kijana mdogo yupo hata...
Kuna ubishani mwingine huwa nauita wa kijinga, na huwa naishia kucheka tu. Tangu mwanzo niliamini muda utaongea huko tuendako nani ni mkali haswaa; Stephano Aziz-Ki au Chama?
Huu ubishani wa kipuuzi ni sawa na Ile wa Messi na Ronaldo tu. Yaani Chama mwenye kipaji chake na akili ya soka...
Jamani kwenye hii Dunia tunakutana na mambo mengi ya kuboa ila hakuna kitu inaboa kama kuwa na rafiki mbishi, aseee yeye hata kama una point zenye mashiko ataleta ubishi.
Kingine wakuu, mtu mbishi anaboa zaidi pale ambapo unakuta anabisha huku anacheka; aiseeee Wahaya mnatabu!
#TUOE
#KATAA...
Hivi vitoto mda mwengine vinakasirisha sana.ukimueleza unatakiwa kupitia hivi basi analeta uchuo uchuo wake unatamani kukazapa vibao.
Vijana wengi waliopo vyuo ndoto zao wanaamini kuajiliwa serikalini ila sio ajira zote zinatoka serikalini.
Vikiwa chuo vinajiona vimetoboa maisha na kutucheka...
Mechi ya jana ya fainali kati ya Argentina na Ufaransa pamoja na kutoa jibu ni nani atakayetwaa kombe la dunia mwaka huu, ilitoa jibu pia ni nani zaidi kati ya Messi na Christiano Ronaldo.
Nikiri kwamba mimi ni timu CR7 lakini nimenyoosha mikono!! Messi ni zaidi ya kuwa zaidi! Wenye vinasaba...
Mkiambiwa simba wakajifunze jinsi ya kuendesha team kisasa toka kwa yanga mnabenua midomo kama watoto wa kike, tulieni dawa iwaingie makolo mtaisoma namba tu hata kimyakimya
YANGA ni kama wanamletea ubishi mwekezaji wa Simba, bilionea, Mohamed Dewji ‘Mo’, hiyo ni baada ya kutangaza miezi minne...
Bondia Errol Spence Jr (The truth) amefanikiwa kumtwanga vilivyo Yordenis Ugas kwa T.K.O round ya 10 na kufanikiwa kuunganisha mikanda ya WBA, WBC na IBF amebakisha mkanda mmoja tu wa WBO ambao unashikiliwa na Terence Crawford ili awe Undisputed Welterweight Champion.
Error Spence hakuishia...
Ile katiba iliyotokana na tume ya Warioba, watu wengi wanakubaliana nayo na ilitumia gharama kubwa kwenye tume kukusanya maoni na kuiandika. hivi kwanini tusiadopt tu ile katiba iwe ndio katiba yetu mpya ili tumalize ubishi huu wakatiba mpya? maoni yangu tu lakini.
Dar es Salaam kuna mgao mkubwa wa maji kwa sababu mto Ruvu umevamiwa na binadamu na kuchepusha maji.
Pili maelfu ya mifugo yanayoingizwa kwenye mito kunywa maji yamepunguza kiasi cha maji kwani ng'ombe mmoja kwa mfano hunywa lita 40 za maji kwa siku.
Tatu ni ukataji miti hovyo hali inayoharibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.