Tanzania hususani idara ya elimu bado tuna mapungufu kadha ambayo yakifanyiwa kazi basi soko la ajira litakua kwa Kasi na vijana kupungua kukaa vijiweni na kutumia mihadharati,
Mfano mitaala elimu ya sasa ni tofauti na miaka ya 2000 kurudi nyuma,
Tulikua na masomo kama sayansi kilimo, stadi za...