Rafiki yangu mpendwa,
Maisha ni mfululizo wenye machaguo ya kupata na kukosa (trade off).
Hata uchague kiasi gani na uwe na mamlaka makubwa kiasi gani, huwezi kupata kila unachokitaka, kwa wakati unaokitaka na kwa namna unavyotaka.
Hilo halipo kabisa, lakini ukaidi wetu wa kutaka kupingana na...