ubovu wa barabara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    DOKEZO Uozo Halmashauri ya Wilaya Itigi: Mbunge amelala, Mwenyekiti wa Halmashauri anafanya ubadhirifu

    JIMBO LA ITIGI LIMEOZA JAMANI: ORODHA YA MIRADI AMBAYO ILITOLEWA FEDHA NA SERIKALI NA BADO HAIJAKAMILIKA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA ITIGI MKOA WA SINGIDA. Huyu Mwenyekiti wa Halmashauri Husein Simba anabaki kuoa wanawake kila siku na kula hela za miradi tu. Hebu ona hii aibu Mama SAMIA...
  2. ZINDAGI

    KERO Barabara ya Temeke ni mbovu, wahusika hamuioni?

    Kuna hali ya kutozijali barabara za Wilaya ya Temeke kwa kiasi kikubwa, wahusika ni kama hawajihusishi kabisa. 1. Barabara ya Temeke ina mashimo makubwa ambayo yanachangia kuharibu magari, kusababisha foleni, na kufika sehemu muhimu kwa wakati. Mashimo haya yapo tangu mvua za vuli za mwaka jana...
  3. Zeroiez

    Ubovu wa barabara ya Mbagala Kiburugwa

    Wakazi wa mbagala kiburugwa tunaomba serikali iwajibike ipasavyo, barabara hii ni kubwa sana ila ni mbovu haipitiki kipindi cha mvua na kikiwa kipindi cha jua kali ni vumbi na mchanga mwingi kiasi kwamba inahatarisha watumiaji wake. Watumiaji wa hii barabara tunateseka.
  4. ebbyramadhani

    KERO Kero ya ubovu wa barabara ya Majohe, Dar es Salaam

    Habari za weekend wakuu, Tusaidiane kufikisha Hii taarifa ya adha inayowakumba wakazi wa Majohe kwa muda mrefu sana kuhusiana na ubovu wa barabara kuanzia shule ya sekondary Halisi mpaka kituo cha kwa mjeshi. Barabara hii ni mbovu mno kupelekea vyombo mbali mbali vya usafiri ikiwemo usafiri wa...
  5. ebbyramadhani

    Kero ya ubovu wa barabara ya Majohe Dar es salaam

    Habari za weekend wakuu, Tusaidiane kufikisha Hii taarifa ya adha inayowakumba wakazi wa majohe kwa mda mrefu sana kuhusiana na ubovu wa barabara kuanzia shule ya sekondary Halisi mpaka kituo cha kwa mjeshi Barabara hii ni mbovu mno kupelekea vyombo mbali mbali vya usafir ikiwemo usafir wa umma...
  6. A

    KERO Ubovu wa Barabara ya Kawawa unatupa mateso makali Wananchi wa Goba Matosa

    Naomba ujumbe huu uwafikie Viongozi wetu wa huku kwetu Goba Matosa Uzaramuni kuna changamoto ya Barabara ya Kawawa (Kawawa Road) imeharibika kwa kiwango kikubwa. Huu ni mwezi wa nne tangu hali iwe mbaya zaidi, kila kiongozi anayekuja kazi yake ni kupiga picha na kuondoka lakini utekelezaji ni...
  7. A

    KERO Barabara eneo la Kongowe Mwisho - Vikindu haipitiki kwa siku 3 baada ya lori kuziba njia kutokana na ubovu wa barabara

    Mimi ni mkazi wa Mlamleni kata Tambani Wilaya Mkuranga. Tuna shida ya barabara hadi sasa ni siku ya tatu barabara haipitiki kutokana na ubovu wa barabara, gari kubwa la mzigo semitrela limeziba njia, hakuna gari wala bajaj inayoweza kupita, hata pikipiki zinapita kwa tabu sana kutokana na eneo...
  8. DISPLEI

    Ubovu wa barabara za mitaani maeneo mbali mbali

    Barabara za mitaani maeneo mbali mbali zimeharibika sana. Sasa hivi ukitaka kutoka kwenda kwenye shughuli za kila siku, mwenye gari unaaza kulihurumia linakopita kabla ya kufika kwenye barabara yenye unafuu. Kwa nilikopita nikichukulia mfano Dar es Salaam ukitoka barabara kuu maeneo mengi yako...
  9. Roving Journalist

    Katavi: Ubovu wa barabara katika Manispaa ya Mpanda, TARURA yanyooshewa kidole

    Ubovu wa barabara nyingi katika Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi umetajwa kuwa kero katika shughuli za kibinadamu hasa katika kipindi hiki cha masika ambapo barabara nyingi zinaendelea kuharibika na zingine kutelekezwa licha ya ahadi kutolewa na Wakala wa Barabara Mjini na Vijijini (TARURA)...
  10. J

    Mjadala: Ubovu wa Barabara za Mtaani kwako: Je, viongozi wanawajibika?

    Hali ya Barabara za Mtaani kwako ikoje na je, Viongozi wa eneo lako na Mamlaka nyingine zinazohusika zimewajibikaje kuondoa changamoto zilizojitokeza? Ungana nasi katika Mjadala wa XSpaces ya JamiiForums hapo Januari 25, 2024 kuanzia Saa 10:00 jioni hadi 12: 00 jioni Kifukia mjadala bofya...
  11. Suley2019

    Kigamboni: Wakazi wa Mtutu walia na ubovu wa barabara

    Baada ya Wakazi wa Mbutu, Mkwajuni Wilayani ya Kigamboni kufunga barabara kutokana na kero mbalimbali za miundombinu, @AyoTV_ imefika eneo la tukio na kuongea na Wakazi wa maeneo hayo ambao wamedai wanashindwa kupata huduma muhimu kutokana na changamoto hiyo. Frank Nkunda ambaye ni Mkazi wa...
  12. B

    DOKEZO Ubovu wa barabara za mtaa Luis kata ya Mbezi

    Wadau kulingana na taswira ya jiji la Dar es Salaam kwa sasa, eneo la Mbezi Luis, ni eneo ambalo limekaa kimkakati katika kukuza uchumi wa Dar es Salaam na nchi kwa ujumla, cha kushangaza miundombinu yake ni mibovu sijapata kuona. Kuna mtaa unaitwa Luis, leo ni karibu mwezi mzima, wananchi...
  13. A

    DOKEZO Ubovu wa Barabara ya Mbagala - Mbande ni kitegauchumi

    Ubovu wa Barabara kutoka Mbande kwenda Msongola imekuwa ni kama kitega uchumi. Ni Barabara ambayo haijengwi Bali huchongwa tu kwa greda tu kwa muda Kisha huaribika tena na kurudiwa kuchongwa mfano kipindi hiki cha masika wamechonga kabla mvua hazijaisha imechongwa tena na tayari imeshaharibika...
  14. S

    Nikiona watanzania wanateseka wanakaa wiki kwasababu ya ubovu wa barabara wengine barabara inapita juu ya maji inauma sana

    Magari ya abiria na mizigo yamekwama kwenye barabara ya kutoka Handeni-Kilindi-Kiteto-Kongwa na wengine kiketo -kondoa. Ndani ya nchi moja wengine wanajengewa barabara kupita juu ya maji (ziwa Victoria) Km 3.2 kwa gharama ya Ths. 700 Bilioni wakati kuna njia mbadala kuna vivuko. Uwanja wa ndege...
  15. Torra Siabba

    Nyamagana: Kata ya Bulale walia na ubovu wa Barabara

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida wananchi wa Bulale Kata ya Buhongwa Wilaya ya Nyamagana Jijini Mwanza baadhi ya wananchi wanaoishi katika maeneo hayo wameiomba serikali kuwatengenezea Barabara itokayo Buhongwa kuelekea kituo cha Afya Bulale ambayo kimsingi mpaka sasa inapitika kwa Shida hasa...
  16. Mwamson

    Barabara ya Mvuti-Dondwe itangazwe kuvutio cha utalii ndani ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam

    Wana JF nimeanza kuitangaza barabara hii ni kivutio ambacho kinavutia kwa maana kuwa inavutia. Kwanza tunatakiwa kujua utalii ni kutoka sehemu moja kuelekea sehemu tofauti kwa nia ya kuona yaliyopo huko na kwamba binadamu anaweza kuvutiwa kuona na mambo mabaya na mazuri, ila mara nyingi...
  17. Bushmamy

    Arusha: Wananchi watishia kugoma kudai lami, wachoshwa na ubovu wa barabara

    Wakazi wa kata ya Sinoni, na Ungalimited wanaotumia barabara kuu ya Engosengiu inayotokea mjini kuelekea katika Kata hizo mbili wamedai kuchoshwa na ubovu wa barabara hiyo kiasi cha kuwaletea usumbufu mkubwa hata katika vyombo vyao vya moto. Baadhi ya madereva wa Bajaji na Hiace wanaotumia...
  18. uchumi2018

    Ubovu wa barabara Kisukulu Maji Chumvi - Segerea ni kero kubwa

    Ndugu wanajamvi Nawasalimuni kwa jina la jamhuri ya muungano. Nimeona niamke na hoja hii kwani wakazi wa kisukulu tumejikuta kwenye mateso ya muda mrefu. Kwa wale wasiojua kisukulu ni wapi, Kisukulu ni kata inayoangukia kwenye jimbo la uchaguzi la segerea wilaya ya ilala kwa utambulisho zaidi...
  19. I

    Ubovu wa barabara ya Mombasa kwa Mkolemba

    Ukitazama barabara ya Mombasa kwa mkolemba jimbo la ukonga utajiuliza yu wapi Jerry Slaa mbunge wa jimbo la Ukonga?. Upo wapi mheshimiwa mbunge au unasubiri 2025 tena uje na porojo hewa kwetu sisi wananchi tunaotaabika kwa ubovu wa barabara ya Mombasa, Moshi bar, Kwa Mkolemba, Kanyigo, Mwembeni...
  20. Matope

    Ubovu wa barabara kipande cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kama unaenda Changanyikeni

    Wajameni kwa kweli nimeona nilete hii hoja hapa angalau inaweza fanyiwa kazi. Kutoka geti la Chuo Kikuu Dar es Salaam kama unaenda Msewe kwenda geti la kutokea kama unaenda Changanyikeni katikati au jirani na School of Education. Kuna mashimo mawili ni kama choo. Gari zinapita upande mmoja tu...
Back
Top Bottom