Wana JF. Kwa mkoa wa Kagera takribani wiki sasa mjadala mkuu ni hali halisi ya Stendi ya mabus ya mkoa ambayo hakika ni iabu kusema hii stendi ni ya mkoa.
Hapa JF kuna thread na michango mingi iliyojadili stendi hii. Sitaki kuendeleza majadala unaweza kurejea thread hizi hapa chini...
Wakazi million tatu na laki mbili wanaoishi katika mkoa huu wa kagera hasa mji mkuu wake bukoba wanazidi kushangaa ukimya wa viongozi wa mkoa, wanasiasa, wasomi nk ambao hupita kila siku katika hii stendi (maana ipo katika barabara kuu iingiayo mjini) wanavyojikausha kama haiwahusu vile hiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.