Wakazi million tatu na laki mbili wanaoishi katika mkoa huu wa kagera hasa mji mkuu wake bukoba wanazidi kushangaa ukimya wa viongozi wa mkoa, wanasiasa, wasomi nk ambao hupita kila siku katika hii stendi (maana ipo katika barabara kuu iingiayo mjini) wanavyojikausha kama haiwahusu vile hiki...