ubungo

Ubungo is a district north west of Dar es Salaam central business district, Tanzania. It is located in the western part of the province.
Ubungo was formerly a ward in the Kinondoni District of Dar es Salaam.

View More On Wikipedia.org
  1. KERO Waziri Aweso, DAWASCO Mbezi Mwisho hakuna maji wiki ya pili sasa tatizo nini? Kesho tunaandamana hadi kwa DC wa Ubungo

    Pale njia panda ya goma maji yapo yauzwa kwenye magari na kuzungushwa mitaani ila bombani hakuna mnatuona wajinga? Ile ziara yako nasikia ulifukuza watu pale DAWASCO kimara ndio hawa wanafanya hujuma, wanafanya maksudi haiwezekani majumbani hakuna maji wiki mbili ila wauzaji wako Bize na maboza...
  2. House4Sale Ubungo: 4 Apartments in 1 Compound For Sale - Dar

    • Direction: Changanyikeni, behind UDSM • Condition: Good • Document: Title deed • Price: TZS 400 million • Site Visiting: TZS 30,000 • . ✓ kuna apartment 4 za chini kwenye eneo moja ✓ apatment zote zina wapangaji ✓ ina uzio, paving, parking ✓ umeme pre paid meter na maji dawasa ✓ kwa...
  3. A

    KERO CWT Ubungo wanatulazimisha walimu kuwa kwenye chama. Tunakatwa mishahara kwa lazima

    Kumekuwa na uonevu mkubwa sana wa CWT UBUNGO ikilazimisha kuwakata walimu mishahara kama michango ya chama bila idhini ya wahusika Wala makubaliano. Na hata wanapoomba kusitishwa Kwa michango hiyo hawasikilizwi au kupewa mlolongo mrefu wa namna ya kujitoa au hutolewa ndani ya muda mfupi Kisha...
  4. C

    Ubungo: Shule ya Msingi Upendo Kuna Mwalimu ana Master's Degree anafundisha darasa la kwanza

    Leo nilibahatika kutembelea shule ya msingi Upendo iliyoko katika manispaa ya Ubungo, jijini Dar es salaam. Nilikutana na class mate wangu ambaye kwa Sasa ni mwalimu pale Upendo. Huyu mshkaji mwanzoni alikua ni mwalimu katika shule ya sekondari lkn kwasasa anafundisha shule ya msingi, hili...
  5. DC wa Ubungo, Hassan Bomboko afukuzwa na wamachinga sakata la DART kupewa eneo Simu2000 kujenga karakana

    Sijui ni Kwa maksudi au ndo ulivyo kifikra, unamuangusha Rais wetu Samia aliyekuamini ona Sasa unamchonganisha na wananchi wake. Juzi tu ulienda kukamata watu ukisingizia ni makahaba na umefunguliwa kesi mahakama kudaiwa billion 36. Leo unawahangaisha machinga wenye maisha magumu ukitaka...
  6. Cross Examination: DC Ubungo vs Wakili

    Cross Examination Day; Wakili: Mhe. Mkuu wa Wilaya ijuze mahakama kiwango chako cha elimu. Mkuu wa Wilaya: Shahada Wakili: Ieleze mahakama majukumu yako kwa kifupi Mkuu wa Wilaya: Mwakilishi wa Mhe. Rais Wilaya ya Ubungo na Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama Wilaya Wakili: Je! Unawafahamu...
  7. Assumption: Mahojiano ya wakili na Mkuu wa wiliya ya Ubungo

    Cross Examination Day; Wakili: Mhe. Mkuu wa Wilaya ijuze mahakama kiwango chako cha elimu. Mkuu wa Wilaya: Shahada Wakili: Ieleze mahakama majukumu yako kwa kifupi Mkuu wa Wilaya: Mwakilishi wa Mhe. Rais Wilaya ya Ubungo na Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama Wilaya Wakili: Je! Unawafahamu...
  8. DC Ubungo apewa notisi ya kuwalipa ‘makahaba’ fidia ya Sh36bilioni

    Dar es Salaam. Sakata la ukamataji wanawake 36, wanaodaiwa kujihusisha na biashara ya ukahaba limechukua sura mpya, baada ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo (DC), Hassan Bomboko kupewa notisi ya kuwalipa Sh36 bilioni. Notisi hiyo ya siku 14 inayoanza leo Alhamisi, Juni 20, 2024, ambayo Mwananchi...
  9. Vita ya DC Ubungo na Makahaba: Mgongano wa sheria, haki na maadili

    Najua kwa sasa hoja na habari kuu ni "Mauaji ya Asimwe" na nitakuja kusema kuhusu hili, lakini kwa vile sikupata fursa ya kutoa maoni yangu kuhusu suala la DC Ubungo kukamata watu na kuwaweka ndani kwa kosa la "kufanya ukahaba", tena kwenye siku ya siku kuu huku akiagiza mara baada ya siku kuu...
  10. A

    KERO Mfumo wa Gesi uliopo Ubungo Interchange unavuja na kuleta kero kwa Wanafunzi Chuo cha Maji

    Kuna kero ya mfumo wa Gesi kuvuja katika eneo la darajani Ubungo Interchange (Fly-over) ambapo mkondo wa bomba la gesi umepita imekuwa kero kwa wanafunzi hasa wa Chuo cha Maji na wafanyabiashara wa maeneo ya karibu. Tunaomba Serikali ifanye uchunguzi juu ya suala hili
  11. A

    Pre GE2025 Prof. Mkumbo mitano tena Ubungo

    Wana UBUNGO kwa kauli moja tunaenda na Prof Dr Kitila Alexander Mkumbo (PhD). Barabara za mitaa zimejengwa mfano Manzese, Mabibo, Goba na UBUNGO. Tupewe nini tena? CCM oyeeee!
  12. K

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Ubungo Riverside/Jeshini. 1,400 sqm

    Kiwanja kinauzwa Ubungo Riverside Kutoka Riverside-Mandela Road ni 1.5 km Ukubwa ni 1,400 square metre Bei ni 90m Piga 0625617565 Kinafaa kwa makazi na kuwekeza apartments sababu kiko mjini na ni kikubwa.
  13. Ukipita Ubungo Flyover lazima umkumbuke Hayati Magufuli

    Jina la John Pombe Magufuli limejikita katika historia ya Tanzania kama kiongozi mwenye maono na utendaji wa kasi. Moja ya alama kubwa za uongozi wake ni Ubungo Flyover, daraja ambalo limebadilisha mandhari na mtiririko wa usafiri katika jiji la Dar es Salaam. Kabla ya ujenzi wa daraja hili...
  14. A

    KERO Gari la taka ni changamoto siku ya tano leo

    Kumekuwa na kero kubwa katika mitaa ya Ubungo NHC, halmashauri imeshindwa kuleta gari la taka kwa wakati Leo ni siku ya 5 taka zipo na hakuna juhudi zozote na maeneo taka yalipo ni karibu na makazi ya watu, tunaomba halmashauri ifanyie haraka hii maana kipindupindu bado hakijatuacha
  15. S

    Kwa mahitaji ya photoshoot wasiliana nami

    Kwa maitaji ya photoshoot wasiliana nami stoney lens kupitia namba 0654726672 kwa wàle wote ndani na nnje ya nchi ila napatikana Dar es salaam Tanzania
  16. Stori ya Kusisimua ya Boniface Jackob aliyekuwa Meya wa Kinondoni na Ubungo

    Huyu kijana ambaye kwa sasa anaitwa BoniYai au Mleta Taharuki, hadithi yake ya kisiasa inasisimua kwa kiasi chake, hakuwahi kuwa na makuu wala kujikweza. Hebu msome hapa halafu Toa maoni yako
  17. K

    Plot4Sale Kiwanja Kinauzwa Ubungo Riverside - 1,400 sqm

    Kiwanja kinauzwa Ubungo Riverside Kutoka Riverside-Mandela Road ni 1.5 km Ukubwa ni 1,400 square metre Bei ni 90m Piga 0625617565 Kinafaa kwa makazi na kuwekeza apartments sababu kiko mjini na ni kikubwa.
  18. KERO Wilaya ya Ubungo kinara wa uchafu jiji la Dar es Salaam

    Salaam, Natambua vema kuwa kuna maeneo mengi tu jijini Dar Es Salaam ambayo ni machafu mfano Tandika sokoni, Vingunguti sokoni……n.k lakini wilaya ya UBUNGO inabakia kinara wa UCHAFU kwa hoja zifuatazo; 1. Umeshawahi kupanda daladala za Makumbusho-gerezani/Mnazi/au Posta? Kama ndivyo je...
  19. KERO Sehemu za kuvuka Morocco, Ubungo na Mbezi Louis ni mateso kwa Wananchi

    Salaam Wadau, Kama umewahi kufika Ubungo, Morocco na Mbezi Louis utakutana na kivuko cha watembea kwa miguu kinachopita juu ya barabara. Japokuwa sehemu hizo zilikuwa na nia ya kurahisisha uvukaji kwa Watembea kwa miguu, lakini namna vilivyotengenezwa vimekuwa kama adhabu kwa wavukaji wake...
  20. Ubungo, Mabibo, Mburahati, Manzese hakuna maji siku zaidi ya tano sasa

    Maeneo tajwa hayana maji kwa zaidi ya siku tano sasa, Wahusika wako kimyaaa, jana nimewaona Watendaji WA Dawasco wako kwenye Bajaj wanazunguka Tu. Hii Hali ni hatari, kipindupindu kiko nje nje, mahotel mengi Sana hapa Manzese hayana maji. Umeme NAO unakatwa kwa zaidi ya masaa SITA Hadi 12 kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…