ubungo

Ubungo is a district north west of Dar es Salaam central business district, Tanzania. It is located in the western part of the province.
Ubungo was formerly a ward in the Kinondoni District of Dar es Salaam.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Hatima ya Jengo la kiuchumi la kanisa la Anglican(SAFINA HOUSE) mjini Dodoma, inaweza kuwa kama ya Jengo la TANESCO pale Ubungo, Dar-es-Salaam

    Huu ni mtazamo kulingana na ukweli kuwa, Jengo hili kubwa na zuri, limejengwa pembezeni mwa barabara inayoingia mijini Dodoma (katika ya mji) huku barabara ikiwa finyu na magari teyari ni mengi na siku zijazo barabara itahitajika kupanuliwa. Ukiangalia, ni wazi watakuwa wamejenga nje ya hifadhi...
  2. Unasemeje

    Tahadhari: Wakazi wa Mikocheni mpaka Ubungo Sheli Kesho Msitoke Nje

    Kama kuna kitu unataka kununua kwa matumizi ya kesho na unaishi kwenye maeneo tajwa hapo juu, tafadhali nunua leo. Pia wanaopanga kwenda kanisani nivema mkaabudu majumbani. Kuna hatari inawanyemelea huko. Ni hivi, kesho ntakuwa najifunza kuendesha pikipiki na ntatumia hiyo barabara hivyo...
  3. U

    Kwanini Mwabukusi(Mtanganyika) aigimbee Ubunge kutukomboa wananchi

    Kuliko kuwa na wabunge ambao wameonesha uwezo mdogo wa kupangua na kuchangia Hoja , Nina Kila sababu Mimi kama mtanzania Kuona haja ya kuwaondosha baadhi ya wabunge katika mjumba ule wa heshima na kusajili wabunge wapya wenye kaliba ya wakili mwakabusi na wengine wengi, kwani watatusaidia katika...
  4. benzemah

    Kituo Cha Kimataifa Cha Biashara Afrika Mashariki (Ubungo), Kufunguliwa June 2024

    Mkurugenzi Mkuu wa kituo Kituo Cha Kisasa Cha Biashara Afrika Mashariki Cathy Wang akizungumza kwenye maonesho ya 47 ya biashara ya kimataifa (Sabasaba) yanayofanyika katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam amesema kituo hicho kinatarajiwa kufunguliwa mwezi June mwakani...
  5. G

    Msaada kuhusu Ubungo Hostel - UDSM

    Habari wadau wa JF? UDSM ina hostels Ubungo karibu na Mic hotel au Ubungo bus terminal ambazo ni kwa ajili ya Masters na PhD students. Naomba kuuliza utaratibu iwapo mwanafunzi wa Masters anahitaji kuishi Ubungo na sio Mabibo, what procedures to follow. Msaada kwa waliowahi kusoma hapo UDSM...
  6. M

    DOKEZO Elimu wilaya ya Ubungo hii ni aibu ifike mwisho

    Nimekuwa na madudu mengi katika idara ya elimu Ubungo baadhi kwa kutaja ni kama; 1. Kucheleweshwa kwa watumishi kupandishwa madaraja. 2. Kila mara kutolipwa au kukopwa posho kwa wasimamizi wa mitihani ya utamilifu (mock). 3. Kutokuwa na utaratibu mzuri wa mawasiliano na kutoa maagizo ya zima...
  7. S

    Tanzania hakuna FLYOVER. Yote ni madaraja

    Kuna mtu aliipenda sana sifa. Akatumia kila aina ya uwongo kuwalaghai wananchi ili ajipatie sifa. Mchana kweupe tena bila ya aibu akajidai amejenga kwa fedha za ndani kile alichokiita flyovers pale Ubungo, Buguruni na Kurasini. Ukweli ni kwamba haya yote ni madaraja ya juu sawa na lile...
  8. maroon7

    Kabla ya kujenga fly over Magomeni na fire panueni barabara Kimara - Ubungo

    Nimeshangazwa sana na huyu waziri kusema wanatafuta hela kujenga fly over magomeni na fire na sehemu zingine lakini cha kushangaza hawajagusia kabisa kupanua kipande sumbufu kwa foleni kutoka ubungo hadi kimara, na barabara ya mandela. Hivi jamani inahitajika hadi aje Tony Blair kutuambia hizi...
  9. DodomaTZ

    Daraja jipya la Kiyegeya limejengwa kwa teknolojia ya kisasa ambayo imetumika kujenga fly over ya Ubungo

    Mhandisi Musa Kaswahili ambaye ni Kaimu Meneja wa TANROADS Mkoa wa Morogoro anasema: "Machi 03, 2020 daraja lililokuwepo katika eneo la Kiyegeya lilibomoka kutokana na mvua kubwa iliyonyesha na kusababisha barabara hii muhimu ya kitaifa na kimataifa (Morogoro - Dodoma) kujifunga. "Serikali...
  10. Papasa

    Wakati Mama mwenye nyumba akinunua goli kwa milioni 5, wananchi Ubungo wakosa daraja la milioni 12

    Baadhi ya wanawake katika mtaa wa Maramba Mawili kata ya Msigani katika manispaa ya Ubungo wanalazimika kupitia kwa kutambaa katika kivuko kinachotenganisha mtaa wa Zebra na Azimio kufuatia kivuko hicho kutokuwa salama wakati wa kuvuka Inaelezwa kuwa hali hiyo wamedumu nayo kwa zaidi ya...
  11. marehem x

    Stend ya daladala Mbezi Louis ifikiriwe, UBUNGO manispaa amkeni

    Jamani ifike wakati kuwe na mapaparazi wa maeneo nyeti yenye matukio na mazingira hatarishi. Stend ya daladala ilengwe itajwe kama eneo sensitive. Kuna msongamano mkubwa sana wa binadam. Na vyakula mbogana vitoweo vikiuzwa eneo hili ni hatari sana na magonjwa ni rahisi sana kusambazwa jiji zima...
  12. Roving Journalist

    Wafanyabiashara Soko la Sinza walalamika kufanyiwa ubabe wa kulazimishwa kusaini mikataba viongozi wa Halmashauri ya Ubungo

    Wafanyabiashara wa Soko la Sinza Makaburini wamedai kuna uonevu mkubwa wanafanyiwa na uongozi wa Halmashari ya Ubungo kwa kuwalazimisha kusaini mkataba ambayo hawajairidhia. Baadhi ya Wafanyabiashara wamesema viongozi wa Halmashauri hiyo wakiongozana na Askari Polisi, Mgambo na Mwanasheria...
  13. FRANCIS DA DON

    Je, ni sahihi kwa soko la Kariakoo kuhamishiwa Ubungo?

    Kuna tetesi nimesikia kwamba Soko kuu la Kariakoo linataka kuhamishiwa Ubungo, kwamba watu badala ya kwenda hadi Kariakoo wataishia tu Ubungo. Je, hii imekaaje kaaje, nini mtizamo juu ya hili? Video chini ina maelezo ya ziada. ========================...
  14. Gan star

    Naomba kuelekezwa zilipo Ofisi za Posta Manispaa ya Ubungo

    Wakuu natumaini mko salama, Naomba kuelekezwa Ofisi za Posta Manispaa ya Ubungo zinapatikana wapi, au ofisi zozote za Posta zilizo karibu na Goba. Ahsante.
  15. FRANCIS DA DON

    Kuna foleni kali sana Ubungo flyover mida huu, saa nzima gari hazitembei

    Mimi nipo nyuma sana kwenye foleni, mliopo mbele huko kuna nini jamani?
  16. Replica

    Dkt. Jakaya Kikwete amtunuku Rais Samia Shahada ya Udaktari wa Heshima UDSM. Sasa ni Dkt. Samia

    Rais Samia amekabidhiwa shahada ya udaktari wa heshima kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam leo wakati wa mahafali ya 52 duru ya 5. UDSM imesema uongozi wa Rais Samia umeleta mageuzi ya kiuchumi na mengineyo, pia umeleta tumaini jipya. Rais Samia amesemwa kuboresha elimu ikiwemo kujenga vyuo 25...
  17. Nyamwage

    Alichonifanyia huyu mama Ubungo stendi ya mabasi sio uungwana

    Hi, Sikuhitaji anishukuru wala sikuhitaji anilipe hapana ila mikausho aliyo nionyesha kwa kweli ameninyanyasa kihisia. Nilikua natoka Mwanza nakuja Dar niliwahi mapema sana kufika pale ofisini kwao yanakolala magari panaitwa Nata nikapanda nika kaa kwenye seat yangu ilikua msitari wa tatu...
  18. BARD AI

    Ubungo waandamana ofisini kwa DC kudai Maji

    Wakazi wa eneo la Luguruni Manispaa ya Ubungo jijini Dar es Salaam wameandamana hadi ofisi ya mkuu wa wilaya ya Ubungo (DC), Kheri James kudai huduma ya maji waliyoikosa kwa miezi mitatu sasa huku wakiletewa bili. Wakazi hao wakiwa wamebeba ndoo zao zikiwa tupu walikuwa wakiimba nyimbo...
  19. F

    Msaada wa namba za simu za Magari ya kuuza maji, Ubungo

    Mgao wa DAWASCO ni balaa, mwenye namba ya wauza maji na magari wanaopaki jirani na Ubungo anisaidie. Sina maji kabisa leo sijui nyumbani wanaishije.
Back
Top Bottom