ubungo

Ubungo is a district north west of Dar es Salaam central business district, Tanzania. It is located in the western part of the province.
Ubungo was formerly a ward in the Kinondoni District of Dar es Salaam.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    Foleni usiku huu Morogoro Road Ubungo - Kimara

    Hii foleni sijawahi ishuhidia kabisa, kama upo mjini sasa hivi na unampango wa kwenda Mbezi au Kimara basi endelea kuagiza bia maana hutoboi. Au kama uko vyema chukuwa boda boda au kama umenasa katika foleni shuka tu tafuta namna nyingine, kamba imeanzia Kimara stendi hadi Ubungo mataa na...
  2. ommytk

    Najuta kuvunja nyumba yangu Ubungo Kibo sababu ya utanuzi wa barabara, ambao hawajabomoa wanakula maisha

    Yaani kila nikipita pale Kibo naumia sana tulikuwa na nyumba tatu zilizoungana ambazo moja tukiishi zingine zilikuwa za kibiashara tukaja kubomoa baada ili kupisha barabara eneo ambalo kwasasa wamekuja watu wamevamia na kujenga mabanda ya biashara. Ukija maneno mengine kama Kona na Baruti kuna...
  3. JF Member

    Maji Dar ni shida - Ubungo hadi Kibaha hakuna maji kwa wiki moja sasa

    Wizara ya maji - Dawasco, embu tatueni hili tatizo. Wananchi wanapata shida. Line ya Morogoro road Ubungo hadi Kibaha hakuna maji. Pia soma: Dar: Waziri Aweso amemsimamisha Meneja wa DAWASA, Kinyerezi Burton Mwalupaso Kwa kushindwa kutekeleza vyema majukumu yake KERO - Waziri Juma Aweso atoke...
  4. JanguKamaJangu

    Moto unateketeza nyumba Ubungo Kibo muda huu asubuhi ya Agosti 30, 2022

    Hapa eneo la Ubungo Kibo(Msewe) mkoani Dar Es Salaam kuna nyumba inateketea kwa moto na hakuna msaada wowote licha ya watu mbalimbali kujaribu kuwasiliana na wahusika wa zima moto. Watu wengi wanaoishi katika nyumba hii ya upangaji wameshindwa kutoa mali zao ndani ya nyumba, baadhi yao wapo...
  5. MakinikiA

    Tikielekea kwenye sensa hapa Ubungo hakuna maji wiki ya pili sasa

    Aweso soma hiyo, watu wanahamasisha sensa kwa maendeleo, na huku watu wananuka vikwapwa kwa sababu ni wiki mbili sasa hakuna maji na idara ya maji IPO hapahapa Ubungo. Sensa oyeeeee......
  6. F

    House4Rent Vyumba vyenye furniture ndani vinapangishwa Ubungo Riverside. Vinafaa sana wanachuo wanaofanya Field Dar es Salaam ama wanaosoma vyuo mbalimbali

    Habari wadau. Vyumba vizuri vyenye furniture zake ndani vinapangishwa Ubungo Riverside. Vyumba hivi vina kitanda 5 x 6 na godoro, meza za kusomea, sehemu za kuwekea vitabu ama vitu Vyumba hivi vinawafaa sana wanachuo wanaosoma vyuo mbali mbali ambao wanafanya field Dar kipindi hiki...
  7. S

    Majina ya Sensa ya wilaya ya Ubungo yakitoka naomba tuambizane

    Naomba majina ya Sensa kwa wilaya ya ubungo yakitoka tushtuane mana mpaka sasa naona kimya
  8. D

    Mkurugenzi Ubungo unayajua ya Shule ya Upendo

    Mk
  9. Championship

    Bei za mafuta zimesaidia kupunguza foleni kutoka Ubungo hadi Kimara

    Sasa hivi hata ikifika saa moja jioni pale nikishuka kwenye daraja naunganisha mpaka Kibo. Nausubiria zile taa kisha hapo chap mpaka Bucha. Pale taa zikiruhusu ni mpaka Kimara faster. Bei za mafuta kuongezeka kuna uzuri wake.
  10. M

    Wakusanya taka Ubungo Kibangu watoza elfu 3 kwa kila chumba

    Kwa hali ya kushangaza nilimtembea rafiki yangu maeneo ya Ubungo Kibangu, wakati tunapiga story tukasikia mtu anagonga mlango, rafiki yangu wa muda mrefu tangu tupo A-level akafungua mlango ili atambue nani anabisha, alipofungua alikuwa mama wa makamo akiwa anakusanya hela za kuzolea taka...
  11. itel Mobile Tanzania

    Itel Yaanzisha maktaba Shule ya Msingi Ubungo NHC

    Mwishoni mwa juma lililopita tulitembelea shule ya Msingi Ubungo NHC kwaajili ya kuweka nguvu zaidi ya kuendeleza elimu, sote tunafahamu serikali inafanya jitihada kubwa sana kuendeleza miundombinu ya elimu ikiwemo kujenga madarasa kutokana na ongezeko la idadi kubwa ya watoto. Hivyo nasi...
  12. Kindeena

    Picha: Manispaa ya Ubungo yazindua kampeni ulipaji kodi kwa hiari

  13. Kindeena

    Mapato: Manispaa ya Ubungo yakusanya Tsh Bilioni18; Stendi ya Magufuli Tsh Bilioni 3.4

    STENDI ya mabasi ya Magufuli iliyopo Manispaa ya Ubungo, Dar es Salaam, imekusanya Sh bilioni 3.4 katika kipindi cha miezi 10 cha mwaka wa fedha 2021-22, zinazotumika kuimarisha miundombinu mbalimbali ya huduma kwenye stendi hiyo. Hayo yamebainishwa na Ofisa Habari wa Manispaa ya Ubungo, Joina...
  14. Lady Whistledown

    DAR: Amuua mtoto wa mdogo wake kwa kipigo, aufunga mwili kwenye ndoo kisha kuutupa Ubungo

    Jeshi Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Mwanamke mmoja kwa tuhuma za mauaji ya Mtoto wa Mdogo wake aliyekuwa na umri wa miaka miwili (2) na miezi minne. Mtuhumiwa huyo LATIFA BAKARI (33), mkazi wa Mabibo aliachiwa mtoto huyo na mdogo wake kwa lengo la malezi na Tarehe 05/04/2022...
  15. Teko Modise

    Tukumbushane tukio la Ujambazi pale Ubungo Mataa mwaka 2006

    Ni takribani miaka 16 sasa, tangu kutokea kwa tukio la kushtusha pale mataa ya Ubungo mara baada ya majambazi kadhaa tena wengine kusadikiwa ni kutoka lugalo kuvamia magari ya fedha za NMB zilizokuwa zinasafirishwa kuelekea Morogoro. Unalikumbuka tukio hilo? Nini hasa kilijiri? Usipite bila...
  16. FRANCIS DA DON

    Je, Tanzania imeokoa Trillion 3 za hasara ya foleni Ubungo flyover?

    Nimepiga hesabu za haraka haraka, kwa makadirio, Tanzania imeshaokoa shs. Trillion 3 ambazo zingepotea kutokana na hasara inayoletwa na foleni, tangu kufunguliwa kwa Ubungo flyover. Je, kiwango hiki cha pesa kina uhalisia?
  17. Faana

    Upepo Ukipuliza Waya Zikagongana Pale Ubungo Umeme Unakatika

    Mada inajieleza, hayo maneno yalisikika yakitoka kinywani mwa mtu mwenye dhamana ya kutupa moto mara moja, nimejiuliza maswali; Wakati wa ujenzi wa hizo line, wahandisi, designers wa hizo power lines hawakujua kuwa kuna upepo hivyo wazingatie spacing ya waya? Miaka yote upepo umekuwa ukivuma na...
  18. Nyuki Mdogo

    Phone4Sale Samsung A10 kwa 170,000. Ubungo Dar

    Bei hio 170,000, namba 0713096076 samsung galaxy A10 ipo ubungo external piga simu chap
  19. maroon7

    Kwanini kipande cha barabara Kimara - Ubungo kimeachwa?

    Tumejenga fylover ubungo na kweli saa hizi hatuna tena foleni za ajabu pale. Tukapanua barabara kuanzia Kimara Mwisho hadi Kibaha na kweli njia hii unatirirka tu. Ila ajabu na cha kushangaza ni hiki kipande cha Ubungo hadi Kimara, kwanini kimeachwa? Yaani unatiririka vizuri ila ukifika tu hiki...
  20. K

    Aliyeset taa za Ubungo kwa Mfugale kutokea Mwenge kwenda Kimara amechemka sana

    Hizi taa mwanzoni zilikuwa zinaruhusu sekunde angalau kuanzia sitini. Kwa sasa wameamua kuweka sekunde ishirini. Hii kwa kweli imerudisha foleni ya zamani. Sasa hivi foleni inaanzia njia ya kwenda UDSM. Huyu aliyeset hizi taa ana makusudi gani?
Back
Top Bottom