Hali ya usafi katika maeneo mbalimbali ya Mbezi Mwisho, jijini Dar es Salaam, imekuwa ikilalamikiwa kutokana na watu kukojoa hovyo katika maeneo ya wazi, hali inayosababisha harufu kali ya mkojo na kuacha mazingira kuwa machafu.
Kuanzia Mbezi Mwisho hadi Stendi ya Magufuli, baadhi ya maeneo...