uchafuzi wa mazingira

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwanongwa

    KERO Mbeya: Chemba ya Maji taka Mitaa ya Forest ya Zamani inamwaga maji ya kinyesi mtaani na inachukulia poa tu

    Habari ndugu zangu wana jukwaa wenzangu. Hili Jiji la Mbeya licha ya kukumbwa na ugonjwa wa Kipindupindu ambao kila siku tunasikia Serikali inapambana nao lakini hali ya uchafu katika baadhi ya maeneo inaendelea kuongezeka. Na hizi mvua zinazoendelea kunyesha ndiyo zinazidi kusambaza uchafu...
  2. A

    DOKEZO Mto Goba unazama kwenye taka. Hii inaonekana hata kutoka angani

    Uchafuzi wa mto Goba unaweza kuonekana kutoka angani. Hamuamini? Angalieni picha zilizo chini. Zinaonyesha picha za satelaiti za mto Goba. Kati ya 2018 – 2021, kulikuwa hakuna maeneo makubwa ya kutupa taka. Lakini ukilinganisha picha hizo na za mwaka 2024, utaona kwamba pembezoni mwa mto...
  3. Roving Journalist

    NEMC: Kuchoma gari au shehena yoyote kwa makusudi ni kinyume na Sheria ya Uchafuzi wa Ardhi

    Mjadala ulizuka baada ya muimbaji wa nyimbo za Injili kuchoma moto gari alilopewa kama zawadi na Mchungaji, ambapo baadhi ya watu walisema hilo ni kosa kisheria wengine wakisema siyo kosa kisheria. Wakili Bashir Yakub alilitolea ufafanuzi upande wa kisheria (zaidi soma hapa), lakini je, upande...
  4. Suley2019

    Pre GE2025 TAMISEMI iweke utaratibu maalumu wa Ubandikaji wa Mabango kwa Wagombea kuepusha ubandikaji holela na Uchafuzi wa mazingira

    Salaam Wakuu, Tanzania inaelekea kufanya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024. Kwa sasa joto la uchaguzi huo limezidi kupanbda na Wagombea wengi wapo kwenye hatua za kurejesha fomu zao ili kupitishwa kugombea nafasi walizokusudia. Imekuwa kawaida kwa Chaguzi zilizopita kupita nje ya...
  5. D

    KERO Uchafuzi wa mazingira Barabara ya kuelekea Stendi ya Mabasi Magufuli

    Wapiga Debe, madereva bajaj na bodaboda wamekuwa wakijisaidia haja ndogo kwenye eneo la hifadhi ya barabara na mitaroni Barabara iendayo Stendi ya Mabasi Magufuli. Ukipita hapo pananuka haja ndogo. Ni hatari kwa afya. Mamlaka husika mpo wapi? Soma Pia: Uhaba wa vyoo Stendi Kuu Mbeya abiria...
  6. W

    Uchafuzi wa Mazingira na ufumbuzi wa tatizo hili

    Habari wana TANZANIA TUITAKAYO. Utangulizi. Ninayofuraha kupata wasaa huu kuandaa andiko langu linalohusiana na mazingira. Neno mazingira limefafanuliwa katika mawanda mapana lakini ngoja nilitolee maana rahisi na ya kawaida ikimaanisha jumla ya vitu vyote vinavyotuzunguka vilivyo na visivyo...
  7. A

    KERO Luchelele, Nyamagana: Wananchi hatarini kupata magonjwa ya mlipuko kutokana na utupaji holela wa taka

    Katika halmashauri ya jiji la Mwanza wilaya ya Nyamagana, kata ya Luchelele mtaa wa Silivini mji mdogo wa( Nyamalango) kumekuwa na tabia ya viongozi wa mazingira kutoshughulika na majukumu yao hali inayopelekea takataka kutupwa katika barabara za mitaa. Taka kuwekwa maneo holela ambayo sio...
  8. mirindimo

    Picha: Hawa ni ZUKU Kariakoo nyaya hizi karibu zinakua uchafu

  9. Hakuna anayejali

    Eti, mifuko ya plastiki marufuku!

    Hakuna cha kuzuiwa ila ni mabadiliko ya aina ya mifuko. Nenda sokoni kanunuwe mboga, mihogo utapewa mfuko wa plastiki, chumvi zipo kwenye mifuko ya plastiki mi nadhani yalikuwa maamuzi ya kukurupuka tu.
  10. A

    KERO Usafirishaji ovyo wa taka usiozingatia kanuni za kiafya unachafua mazingira na kuhatarisha afya za wananchi

    Kumekuwa na usafirishaji wa taka ovyo bila kufuata utaratibu wa kiafya hivyo inapelekea maji machafu yenye harufu kali sana kumwagika barabarani. Tena unakuta gari la taka lipo kwenye foleni kwa hiyo watu wanateseka sana na harufu kali. Kwa hiyo ningeshauri manisipaa kufanya utaratibu wa jinsi...
  11. A

    KERO Arusha: Kuna uchafuzi mkubwa wa mazingira unafanyika maeneo ya Friends Conner na Soko la Samunge

    Habari, wanaouza viungo vya chakula, mboga za majani, matunda na bidhaa nyinginezo maeneo ya barabarani hasa maeneo ya friends Conner Arusha na maeneo ya soko la Samunge upande wa chini mwa soko mbele ya kituo cha kurekebisha tabia za watoto(magereza ya watoto Arusha) wapo watu wanaofanyia...
  12. heartbeats

    Mo Energy na uchafuzi wa mazingira

    Wakuu, Hakuna kitu nakerereka kama kutembea kila mita kumi nakutana na chupa ya Mo energy imezagaa hakuna dalili kwamba itaenda popote. Kwanini nisione chupa ingine kama ya maji ya azam au hill au kilimanjaro, hata ikionekana kwa bahati mbaya basi ukirudi hutoikuta hii ndo inatakiwa. Sasa Mo...
  13. Daz911

    Sheria iboreshwe kudhibiti uchafuzi wa mazingira

    U hali gani mwana JF. Napenda kuliongelea suala la uchafuzi wa mazingira kama kero. Serikali ya Jamuhuri ilipendekeza siku ya Jumamosi kama siku ya kufanya usafi, aidha iliweka sheria nzuri ilipelekea viwanda vya kutengeneza mifuko ya plastiki kufungwa. Kwa hili serikali ilijitahidi japo...
  14. Chachu Ombara

    DOKEZO Viongozi Tegeta Kwa Ndevu wawajibishwe kwa kushindwa kuzuia uchafuzi wa mazingira unaotokana na machinjio/soko la kuku

    Hawa viongozi ni wala rushwa wakubwa wanasababisha wakazi wa eneo lile tuteseke kwa harufu kali sana wakati wa usiku inayotokana na mabaki ya kuku. Iko hivi... Nyuma ya kituo cha daladala cha 'Kwa Ndevu', Tegeta kama unaelekea Bunju kuna mtaro mkubwa unaopeleka maji kwenye mto ulio katikati ya...
  15. S

    SoC03 Tunaweza kuwa na nchi safi mno hadi nchi nyingine zikaja kujifunza kutoka kwetu, kuna vitu vidogo tu vya kufanya. Visome hapa nimevielezea!

    Hivi chanzo hasa cha uchafu ni nini? Maana bila kujua ugonjwa ulipo utahangaika sana kumeza dawa lakini wapi... Kuna sababu nyingi lakini kubwa hasa ninayoiona kwa nchi yetu ni kutolipa kipaumbele swala la usafi wa mazingira. Hapa najumuisha wananchi (yaani mtu mmoja mmoja, vyombo vya habari...
  16. Matango

    Huu siyo uchafuzi wa mazingira Dar?

    Muda huu anga imetanda wingu kubwa la moshi mzito mweusi ukitokea maeneo ya Vingunguti au jirani na huko. Walioko jirani na eneo la tukio watujulishe nini kinaendelea huko, je ni salama kwa afya za watu wengine? Je NEMC wana taarifa na tukio hilo ni ajali au limepangwa ndani ya utaratibu wao.
  17. BigTall

    Taasisi za Serikali zashauriwa kushirikisha Serikali za Mtaa ili kuzuia uchafuzi wa mazingira kwa njia ya kelele

    Kikao kilichoandaliwa na Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kikishirikisha Wadau mbalimbali kujadili kuhusu udhibiti wa uchafuzi wa mazingira kwa njia ya kelele kimetoa maombi na maoendekezo tofauti kuhusu mchakato wa kupunguza uchafuzi wa mazingira kwa njia ya kelele...
  18. BigTall

    Waziri Jafo apongeza kazi ya NEMC kudhibiti uchafuzi wa mazingira wa kelele, asema baa zilizofungiwa zote zitafunguliwa

    Akizungumza Bungeni leo, Selemani Saidi Jafo ambaye ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira amesema Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limefanya kazi nzuri ya kudhibiti uchafuzi wa mazingira kwa njia ya kelele. Amesema asilimia kubwa ya baa...
  19. K

    Ambao bado wanapinga kuhusu NEMC kuchukua hatua dhidi ya uchafuzi wa mazingira wa kelele, wasome hizi takwimu

    Kutokana na ongezeko la watu duniani na shughuli za kiuchumi na kijamii, kelele zimeendelea kuongozeka kwenye makazi ya watu na maeneo ya biashara na hivyo kusababisha madhara mbalimbali kwa binadamu na mazingira. Madhara hayo ni pamoja na kupoteza usikivu (hearing loss); kuondosha utulivu...
  20. DodomaTZ

    NEMC watoe mawasiliano ya kiofisi public wapewe taarifa nyingi kuhusu sehemu zenye uchafuzI wa mazingira uliokithiri

    Kazi nzuri ambayo inafanywa na Baraza la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) inatakiwa kuwa na mwendelezo. Uwepo wao umekuwepo kwa muda lakini yawezekana hawajasikika muda mrefu kwa kuwa hawakuwa wameamua kuonesha majkumu yao hasa katika kulinda mazingira ni yapi. Hivi karibuni jina la...
Back
Top Bottom