Hivi mtu unafikira nini mpaka unatoa haja ndogo na kuweka kwenye chupa na kisha kwenda kutupa mtaani? Huoni kwa kufanya hivyo mbali na kuharibu mazingira unahatarisha afya za wanaotumia barabara hiyo?
Kawe, DSM
Hizo kwenye video siyo petroli au pombe, ni mkojo! Lita mbili na zaidi! Mbaya...
Huku taarifa za kina zikiendelea kutafutwa, Nimesoma kwenye mtandao wa Shinyanga Press Club kuwa Maji machafu na tope lenye kemikali limesambaa kuvamia makazi, mashamba na visima vya maji.
Madhara ya kiafya hayajaripotiwa lakini wananchi wenye taharuki washaanza kuyakimbia makazi yao.
Taarifa...
Nawasalimu wote kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania!
Awali ya yote nipende kumshukuru mwenyezi Mungu kwa afya njema anbayo imenipa fursa hii ya kuandika haya kwa manufaa ya ustawi wa nchi yetu Tanzania na dunia kwa ujumla.
Bila kupoteza wakati, suala la afya bora na mazingira safi ni...
Salaam Wakuu,
Kumekuwa na kampeni mbalimbali za kuhimiza ufanyaji usafi katika Jiji la Dar es Salaam. Viongozi hasa Wakuu wa Mikoa akiwamo Makalla na Mstaafu Makonda wamejaribu kuanzisha kampeni kwa kuwatumia watu maarufu na kushirikisha Media mbalimbali kuhimiza watu na kuweka siku maalum za...
Wanabodi,
Naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa". Makala ya Leo ni
wito kwa Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira NEMC, Kuwapiga Faini Mgodi Kuhusu Uchafuzi wa Mazingira kwa Sumu, usiishie kwenye kuwapiga tuu fine tuu, bali wawafidie waathirika na kama sumu hiyo ni lethal...
Naziomba mamlaka ziliangalie na kulitafutia ufumbuzi suala la uchafuzi wa mazingira kwa makelele. Uchafuzi huu wa ajabu kabisa unaolelewa ni kero kubwa kwa raia na unaathiti sana utulivu wa moyo na akili.
Pengine mahospitalini tunatibiwa magonjwa sugu yanayotokana na adha ya makelele haya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.