Wakati watanzania wakiendelea kutafakari kable ya kuamua watakichagua chama gani kushika dola, miongoni mwa mambo yanayoweza kuwaongoza ni namna ambavyo vyama vya siasa vimezingatia mahitaji ya maeneo wanamoishi wapigakura, na hivyo kata, wilaya na/au mikoa yao. Mbali na kuangalia mahitaji ya...