USA ubaguzi wa rangi na matendo ya kinyanyasaji yalizidi sana. Mpaka leo bado kuna Miji inatangaza maandamano. Nimeona waandamanaji wanaokuwa tayari kugongwa hata na magari ili wafe kwa ajili ya uchungu wa manyanyaso hadi kifo ya mpendwa wao George Floyd.
CCM yangu inaingia kwenye Uchaguzi...
Tanzania inatarajiwa kufanya uchaguzi mkuu mwaka huu 2020 mwezi October.
Chama tawala CCM chini ya Rais Magufuli inamaliza muda wake wa miaka mitano.Serekali ya awamu ya tano imefanya mambo mengi mazuri katika kipindi chake cha miaka mitano,lakini pia yapo mambo mengi imekosea mojawapo kubwa ni...
Tukijilinganisha sisi na wakenya ktk maeneo mengi tunakuta wakenya wametutangulia kwa kuonyesha dhamira njema katika kila jambo.
Mathalan tukilinganisha katiba ya Kenya na ya Tanzania utagundua dhamira njema iliopo katik katiba ya Kenya katika kuwaunganisha raia wake. Huku ya ya Tanzania...
Mnyika leo amesema kuwa NEC katika kanuni za uchaguzi za 2020 ambazo wanataka kiziwasilisha kwa lazima zinakipengele kinachosema si lazima kwa mawakala kupewa nakala za matokeo yatakayotoka katika vituo.
Maana yake itakuwa wasimamizi wa uchaguzi wanaweza kubandika fomu hewa huku wakisindikizwa...
Wanabodi
Kwanza nimshukuru Mungu kwa kumaliza mfungo ilihali nina afya njema na furaha tele kuliko kawaida.Kweli naamini hadithi ya Mtume Muhammad (S.A.W) "Funga ni Afya".
Pia Eid Mubarak kwa Waislamu Wenzangu na Pia ambao sio Waislamu tuzide kudumisha upendo na ushirikiano kwani sisi si...
Leo nimemsikia Spika akiongea kuwa humo mjengoni hakuna siyejua shida wanazopitia wabunge wa viti maalum wa Chadema.
Imekuwa siri ya wazi na iliyokubalika kwa jamii kuwa ukitaka viti maalum Chadema, lazima Mwenyekiti na kambi yake waridhishwe na wewe.
Ila leo ndo mara ya kwanza kumsikia mkuu...
Sasa ni muda muafaka kwa vyama vya siasa, kupitia kwa hatua ya mwisho kabla ya kwenda kunadi SERA NA ILANI ZA UCHAGUZI 2020 za vyama zao.
Hii itasaidia wananchi kupata SERA ZILIZO SHIBA, hivyo kutakuwa na wigo mpana wa kuchagua sera bora kutoka vyama mbalimbali vya siasa,
Kuliko sera na ilani...
Shehe wa mkoa wa Dsm, Alhad Salum amesema amani yetu ni tunu ya Taifa hivyo ni jambo jema kabisa kama itapatikana Tume huru ya uchaguzi kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu ie 2020.
Sheikh Salum ametoa maoni katika mahojiano ya waandishi wa habari na viongozi mbalimbali wa dini akiwemo Katibu...
Mbio za uchaguzi wa wa marekani kumchagua rais, wabunge congress wote 435 na maseneta 35 kati ya 100 zimeanza kuwapa nguvu bainba ya Democrats na Republicans.
Kwa sasa hivi Democrat ina wabunge 232 wakati republican inao 197; kwa jumla Democrat imeposhateza mbunge mmoja aliyehama kuwa...
Rais wa Tanzania, John Magufuli amesema Serikali imejipanga kuhakikisha uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba, 2020 unakuwa wa amani, uhuru na haki.
Kiongozi mkuu huyo wa nchi amesema utakapofika uchaguzi huo, nchi na taasisi mbalimbali zitakaribishwa Tanzania kushuhudia.
Ametoa kauli hiyo leo...
Vyama vya upinzani chondechonde msije mkakubali kuingia kwenye uchaguzi 2020 bila tume huru.
Hulka na tabia ya jiwe na serikali yake mmeshaiona hawana aibu heshima staha Wala huruma kwenu Wala hawaifwati katiba.
Kama jiwe ameweza kuchezea uchaguzi wa serikali za mitaa bila kufanywa lolote Wala...
Sayansi na Teknolojia vikitumika vizuri vina uwezo wa kutoa majibu ya wakati ujao,uliopo na uliopita kwa uhakika wa asilimia 99.9%.
Katika andiko langu hili nitatumia taarifa za kisayansi zilizopo kuweza kutoa matokeo ya uchaguzi mkuu utakaofanyika Novemba 2020.
Tathmini hii isitumike...
Watanzania mwaka 2020 ni mwaka wa uchaguzi mkuu, Tunachagua tena Rais pamoja na wabunge.
Ni mwaka ambao una changamoto kubwa sana katika uchaguzi mkuu hususa upande wa visiwani
Watia nia ya kugombea nafasi za ubunge wengi wao wamesha jijua kilichobaki tu ni taratibu za kiofisi Wapinzani...
Nianze kwa kuomba samahani kwa niliowakwaza kwa heading hapo juu!
I am a realist and I wish to remain so!
Upinzani haujafa kama JPM alivyotamaani ila umeumia!
Our house isn't in orderWe can't realistically mount a challenge against Membe come 2020!
I want to forget about JPM because he is...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.