Wakuu,
Baadhi ya Viongozi wa dini katika kata ya Kigwa wilaya ya Uyui mkoani TABORA wametaka viongozi wa serikali za vijiji na vitongoji katika kata hiyo waliochakuliwa katika uchaguzi wa Serikali za mitaa mwezi uliopita kutenda haki na kuwa na hofu na Mwenyezi Mungu wakati wakitimiza majukumu...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilayani Mbeya kimesema Serikali imekuwa chanzo cha kuruhusu mianya ya wizi wa chaguzi zinazofanyika kwa kuwaondoa wagombea wa upinzani ili kukipitisha Chama Cha Mapinduzi (CCM), hivyo kuunga mkono mpango wa kuwa bila mabadiliko ya mifumo ya kiuchaguzi...
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi Mwajuma Nasombe amesema Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeshinda kwa asilimia 100 kwenye nafasi zote zilizokuwa zikiwaniwa kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa uliofanyika Novemba 27, 2024.
Mwajuma ameyasema hayo wakati akitoa taarifa za matokeo ya...
LYENDA (iamLyenda) posted at 5:57 PM on Wed, Nov 27, 2024:
Tunachukua fomu kwa SHIDA.
Tunarejesha fomu kwa SHIDA.
Tunateuliwa kwa SHIDA.
Tunafanya kampeni kwa SHIDA.
Tunapiga kura kwa SHIDA.
Mawakala wanasimamia kura kwa SHIDA.
Tunahesabu kura kwa SHIDA.
Tunatangazwa kwa SHIDA.
Yaani...
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) itakutana katika kikao cha dharura kesho, Ijumaa tarehe 29 Novemba 2024. Kikao hicho kitajadili matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji 2024 na kutoa msimamo rasmi wa Chama. Mwenyekiti wa Chama, Mhe. Freeman Mbowe...
Waziri Silaa akishiriki katika Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Habari kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025, leo Jumatatu Novemba 18, 2024.
Mkutano huu unafanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam
Endelea kufuatilia taarifa zaidi...
JERRY SILAA...
Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) limesema ili kuhakikisha wananchi wanaitumia kikamilifu haki yao ya kuweka viongozi wanaowataka ni lazima kuwe na mfumo wa wazi, wa haki na unaowajibika katika kusimamia zoezi la uchaguzi wa viongozi wa serikali za mitaa nchini, kwani madhara...
Wakuu,
Vuguvugu la uchaguzi wa serikali za mitaa limeendelea kushika kasi.
Kupitia mtandao wa X, kada wa ACT Wazalendo amefichua kuwa baadhi ya wagombea wa ACT Wazalendo wameenguliwa kwa kile kilichoonekana kuwa amekosea kuweka mdhamini sahihi na kushindwa kuelezea vizuri wadhfa anaoenda...
Wakuu,
Tunazidi kulisogelea jambo letu 2025, tushiriki kwa umoja wetu katika uchaguzi wa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025 kuhakikisha tunapata viongozi bora.
Mrakibu Msaidizi wa Polisi (ASP) Michael Kaniki Kaimu Afisa ushirikishwaji Jamii Mkoa wa Tanga amewataka wananchi wa Mkoa wa Tanga...
Zoezi la kuchukua fomu za kugombea nafasi ya Mwenyekiti na Wajumbe wa serikali ya mtaa kwenye Mtaa wa Mailimoja B halmashauri ya Mji wa Kibaha Mkoa wa Pwani limelazimika kusimama kwa zaidi ya masaa matatu baada ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA ) kufika kwenye ofisi hiyo...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kimeibua mkanganyiko mkubwa kwa wanachama na wananchi baada ya kubadili msimamo wake kuhusu kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.Awali, chama kilieleza nia ya kushiriki uchaguzi lakini Freeman Mbowe alinukuliwa akisema hawatashiriki.
Baadaye, chama...
Wamekuja na huu mzigo sijui wameagiza contena ngapi uko china
Na baadhi ya wabongo walivyo wapuuzi wata piga kula kisa kapewa kiatu na sio kuchambua sela
Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimesema hakijajitoa na wala hakina mpango wa kujitoa kwa Sasa kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Mwaka 2024.
Kimewahimiza wanachama wake walioteuliwa nchi nzima kuanzis tarehe 26 Oktoba, 2024 wajitokeze mapema kwenda kuchukua fomu za Serikali za kugombea...
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Bara, Ester Thomas amesema ACT Wazalendo imejipanga vyema kuhakikisha wanachama wake waliotia nia kugombea kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wanapata msaada wa kisheria katika kipindi cha uhitaji. Amesema maneno hayo leo Oktoba 23 Jijini Mwanza...
Tukizingatia mwezi wa kumi na Moja Kila mtanzania aliyetimiza vigezo vya kupiga kura anayo haki ya kupiga kura hapa Tanzania, swali langu ni je!
Serikali imechukua mkakati Gani wa kukabiliana na hii changamoto kwa wanachuo ambayo katika kipindi hiki Cha uandikishwaji katika daftari la wapiga...
Rais wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru na Wiki ya Vijana katika Uwanja wa CCM Kirumba Mkoani Mwanza, leo 14 Oktoba, 2024. Amesema uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, utatoa taswira ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 na Wananchi...
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa wanawake kujitokeza katika kugombea nafasi mbalimbali za uongozi kwa kuwa wanazifahamu vema changamoto za jamii na pia wanao uwezo wa kuongoza vizuri.
Dkt. Philip Mpango Mpango amesema hayo baada ya kushiriki zoezi la uandikishaji kwenye...
Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema kupitia ukurasa wake wa X ameonesha namna ambavyo kumeanza kutokea udhaifu na ubabaifu kwenye mchakato wa kuandikisha wapiga kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.
Hii ni Kata ya Nyamizeze Sengerema Mwalimu ambaye ni Kiongozi na Kada wa CCM...
Ndicho chama pekee kinachozungumzwa sana na waTanzania kila kona na pembe ya Tanzania. Na ndiyo turufu ya umoja, amani na utulivu wa wanainchi Tanzania. Dhamira yake njema, mipango mikakati madhubuti ya uhakika, na malengo yake ya maendeleo endelevu, ndicho hasa kinachowavutia wananchi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.