Maelezo ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, kuhusu ukosefu wa
fedha za kujigharamia wenyewe kumeibua wasiwasi mkubwa kutokana na changamoto zinazo kikabili chama hicho cha siasa kwasasa.
Chadema inakabiliwa na ukata mkali hivyo kushindwa kujipanga kifedha kwa ajili ya shughuli zake za...
Godbless Lema, kiongozi wa CHADEMA, amefichua mazungumzo yaliyofanyika katika kikao cha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa, pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, na Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo. Akidai kuwa kama CHADEMA wapo tayari kupambana na...
Rais Dkt. Samia amewarudishia kanisa katoliki Mkoani Arusha eneo lao walilokuwa wanalimiki kwa muda mrefu na bada uongozi wa Mkoa kwa kushirikiana na halmashauri ya Jiji la Arusha na kisaha kuwataka kanisa katoliki kulipia eneo lao milioni 500 kitu ambacho Rais Samia ameutaka uongozi wa Mkoa...
Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa wa 2024, kuna mambo kadhaa muhimu ya kuzingatia ili kuhakikisha uchaguzi unakuwa wa haki:
1. Elimu ya Mpigakura: Wananchi wanapaswa kupewa elimu ya kutosha kuhusu haki zao za kupiga kura, mchakato wa uchaguzi, na umuhimu wa kushiriki kwenye uchaguzi. Hii...
Ushiriki wa Vijana katika Michakato ya Uchaguzi ikiwemo Kugombea Nafasi mbalimbali na Kupiga Kura ni hatua muhimu za Kidemokrasia na huchangia kuleta Mabadiliko ya Mifumo ya Utawala
Je, huwa unashiriki katika Michakato hiyo? Kama haushiriki ni kwasababu gani?
Kwa maoni zaidi, shiriki katika...
kuelekea uchaguzi 2025
siasa
siasa tanzania
uchaguzi2024uchaguzi mkuu 2025
uchaguzi serikali za mitaa
ushiriki vijana uchaguzi
vijana
vijana na uchaguzi
Kampeni ya mwaka huu itakuwa ngumu kwa sababu vyama pinzani vitakuwa na uelekeo wa kuungana mfano ACT itaungana na Chadema, CUF itajitegemea tuna vyama vingi tunatarajia watakuwa na mfumo wa chama kimoja ACT Wazalendo watakuwa na nguvu sana kutimiza dhumuni Lao kuirudisha CCM chini.
Ni swala...
Hebu tuangalie halafu tusaidiane
Pikipiki zimeandikwa SSH2025 na zina picha yake, hatujaanza kampeni, mama ameanza kampeni zaidi ya mwaka na nusu kabla ya uchaguzi. Kama ameanza yeye na sisi tuanze, amefungulia mlango.
Kila kata ya mkoa wa Singida imepewa pikipiki kulingana na idadi ya...
Kanuni hizi zitajulikana kama Kanuni za Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Mtaa na Wajumbe wa Kamati ya Mtaa katika Mamlaka za Miji za Mwaka 2024.
Pia soma: Je, umeziona na kuzisoma kanuni mpya za uchaguzi wa serikali za mitaa?
Kanuni hizi zitatumika katika Mitaa yote iliyomo katika maeneo ya Mamlaka...
2025 imekaribia, na ukiingia deep sana goli liko wazi .
CHADEMA yetu hii haijawahi kuwa serious kushika dola .
CCM yao baada ya miaka sitini bado imetubakiza kwenye ufukara ,tumekuwa omba omba mbali na Maliasili nyingi nchi ilizo navyo .
Nimejiuuliza zilipo kanuni za kusimamia uchaguzi wa serikali za mtaa. Nimezisaka mitandaoni na kwenye gazeti la serikali zijaziona.
Lakini Mzee Lipumba na Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi wanasema kanuni zipo tayari. Mwana CCM mwenzangu umeziona kanuni hizi mpya za uchaguzi? Nani amezitunga? Je...
Kwa sasa kumekuwa na tabia ya Wanasiasa kujitokeza majimboni kuweka ukaribu na Wananchi kwa kutoa zawadi na kujaribu kutatua kero zao? Walikuwepo wapi miaka hii yote?
Kwa upande wako unachukuliaje vitendo hivi?
Soma: Mbunge Esther Malleko agawa tani moja ya Mbegu bora za Alizeti - Kilimanjaro
Nielekee kwenye mada.
Naona mambo yanaendelea na joto linaendelea kukolea. Katika chama cha Mapinduzi kile kiitwavyo uhuru wa kugombea utaleta doa kwa wale wasiokubaliana na Mama. Wanauhuru kugombea na Mama lakini haiwezekani kujitokeza hadharani.
Hawa watafukia vichwa vyao ardhini hadi 2030...
Wakuu,
Huwa unazingatia nini kabla hujaamua kwenda kwenye mkutano wa siasa, iwe mkutano wa hadhara au kampeni? Ni mada inayoenda kuzungumzwa, mzungumzaji mwenyewe, nguvu ya chama au nini?
Nini huwa na umuhimu zaidi kwako ambapo kisipokuwepo huwezi kwenda kwenye mkutano huo au hata kuufatilia...
Jamaa zetu Sauz Wana uchaguzi Mkuu mwakani (2024) maadam Ni Chama rafiki basi watumie mbinu za Chama Chetu kushinda;
1. Mchujo kupitia wajumbe,
2. Kupita bila kupingwa,
3. Kuzima internet (wakati wa kutangaza mshindi)
Rapa huyo aliyebadili jina na kujiita 'Ye', ametangaza nia hiyo licha ya kufanya vibaya katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka wa 2020 aliopata Kura 60,000 kati ya Milioni 158.4 zilizopigwa.
Katika video yake ya kwanza ya Kampeni, West anasema alimwomba Rais Mstaafu Donald Trump kuwa mgombea mwenza wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.