Hakika Umma wa Watanzania na Mungu wa Mbinguni wako na Lissu,
Mbowe ajitafakari sana kulinda heshima yake kidogo aliyosalia nayo atangaze kujiondoa tu kwa heri bila kukigawa chama
Wakuu,
Safari hii CCM imedoda, Watanzania wako bize na mkutano wa CHADEMA.
Mlianza na kiki ya mabasi ambayo tunajua ni upigaji, watanzania wamechamba kizungu halafu wamerudi kwenye jambo la maana kwa sasa. :BearLaugh: :KEKLaugh:
Hilo limebuma eti mnaigiza kama bongo movie kujipa umuhimu...
Wakuu
Kumbe na wao wamenogewa na show za FAM vs TAL 😂
==
Mbunge wa Ubungo na Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amefichua kuwa mtifuano wa Tundu Lissu na Freeman Mbowe kwenye kinyang’anyiro cha Uchaguzi wa Uenyekiti CHADEMA umewasaidia kupata hoja za kuwapigia
Soma: Kitila...
Baada ya uchaguzi wa kesho kutwa.
Na sababu kubwa itakayomuondoa Wenje ni kua tayari ameshawekwa wazi kubwa ni Project ya watu.
Kama umesikiliza Hotuba ya Wenje na kudadavua mistari yake , Wenje kaamua kutumia Uongo mwingi akidhani anafanya damage.
Msigwa na wengine walofukuzwa Kwa Hila...
Muda mchache kabla ya kuanza kwa mkutano mkuu wa Baraza la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha) wajumbe wa mkutano huo wamepaza sauti ya kuhitaji posho zao kabla ya mchakato huo.
Hali hiyo inajiri muda mchache baada ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kuwasili kwenye...
Leo tarehe 16 Januari 2025 muda huu tuko road kuelekea makaburini kumzika dogo mmoja mtoto wa dada ambaye alikufa kwa ajali ya pikipiki almaarufu bodaboda.
Huyu kijana alikuwa bodaboda, jana kapata ajali Ubungo.
Hili tatizo la vifo vya bodaboda halionekani kubwa kwakuwa hakuna gazeti, redio au...
Katika maisha yangu ya kufahamiana mpaka tukawa marafiki sikuwahi kujua kuwa Wenje ni Muongo.
Wakati wa join the chain Lema wenje na Lissu walikuwa Nje ya nchi, Mbowe alikuwa gerezani. Tulibaki mimi na John Heche.
Pia, Soma: Ezekiel Wenje ajibu mapigo ya Tundu Lissu na Godbless Lema, mazito...
Wakuu,
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Victoria, Ezekia Wenje, amesema aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema, ndiye aliyeongoza mpango wa kumuondoa Zitto Kabwe katika chama hicho baada ya kupata laptop yenye baadhi ya taarifa...
Kiongozi wa ACT Wazalendo, Dorothy Semu ametangaza nia ya kuwania urais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu ujao.
Semu ametangaza nia hiyo leo Alhamisi Januari 16, 2025 alipokuwa akizungumza na wahariri na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam akisisitiza yupo tayari kumkabili Rais Samia Suluhu...
Wakuu,
Kumbe hata kwenye suala la Katiba Mpya hawa CHADEMA hawakubaliani?
Wenje anasema kuwa huwezi kuandamana kupata Katiba Mpya kama ambavyo baadhi ya wana CHADEMA wanaamini.
Mna uhakika team Mbowe watatupatia Katiba Mpya kweli?
Wakuu
Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria, ambaye pia ni Mtia Nia wa Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, Ezekiel Wenje, anazungumza muda huu na Waandishi wa Habari.
https://www.youtube.com/live/qAERflDyoZU
Aliyoyazungumza Ezekiel Wenje
"Marafiki zangu wote...
Tazama kundi la baadhi ya wajumbe wa Baraza la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha) wakimuunga mkono Mgombea wa Uenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu hadharani, wasema "Mabadiliko lazima" wakiwa kwenye uchaguzi wa kupata viongozi wao.
Pia, Soma:
Tundu Lissu: BAWACHA kama...
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Amos Makalla amesema Chama hicho kimejipanga kushinda kwa kishindo kwenye uchaguzi Mkuu unatarajiwa kufanyika mwaka huu 2025.
"Mimi niseme huyo mwenye uafadhali angekuwa CCM, hatuwezi kuwa na mgombea ambaye yuko Chama kingine, hatuwezi kuchagua upande...
Huyu MTU yuko Gifted sana na Uwanda mkubwa wa Maarifa na akili nyingi .
Ninashauri, Waandishi wawe wanaandaa maswali yao kwanza, wasingoje majibizano na LISSU ndio yawape maswali.
Pia LISSU awe anaitwa Kutoa Hotuba, yaan ahutubie akimaliza waulize maswali yao.
Narudia kusema, kuhojiana na...
Amani iwe kwenu Great thinkers
Kwa kweli wote tumeona ushujaa uliooneshwa na Mbunge wa Chadema Arusha mjini katika kudai uchaguzi huru wa meya na naibu wake.
Katika harakati hizo ilipelekea yeye kupigwa kionevu na polisi hadi kulazwa hospitali. Still hakukata tamaa, na akaanda maandamano...
Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025, CCM wanaendelea kuonesha Makali.
Walianza na Baiskeli, wakaja Pikipiki sasa ni Magari.
Matamanio yangu ni kuona Makali ya CHADEMA.
Je, Mbowe akishindwa, atampa Chopa Lissu apepeee?
Tunasubiri Makali ya UKAWA.
SAMIA 3 -0 UKAWA
Inahitaji kuwa na akili kubwa sana ili uweze kupambana ki hoja na Tundu Antipass Lissu.
Naziona siasa za Tanzania zikibadilika sana kuelekea kupata Tanzania yenye Katiba Bora kabisa upinzani ukiongozwa na Tundu Antipas Lissu
Naona kurejea pia kwa watu wanaojua Sheria katika Chama cha Mapinduzi...
Tupo salama wote!
Wakati CCM ipo Kimya ikiangalia yanayoendelea CHADEMA na mara kadhaa kwa Siri huenda ikijihusisha na mambo hayo kuyaingilia.
Ikiwa Mbowe atashinda hakuna mabadiliko yoyote ambayo CCM itafanya. Mbinu zitakazotumika zitakuwa zilezile walizotumia kwa Miaka 20 kwani Mbowe ndiye...
Mtangazaji wa kipindi cha Jana na Leo kutoka Wasafi Fm, Edo Kumwembe amesema angekuwa mshauri wa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Freeman Mbowe angemshauri kujiondoa katika kinyang'anyiro cha Uenyekiti kisha atangaze kumuunga mkono mpinzani wake Tundu Lissu
Edo amesema “ningekuwa...
Makamu Mwenyekiti CHADEMA, Tundu Lissu akizungumza kwenye Kikao amehoji;
"Wananisema kuwa sina Pesa, siwezi kuendesha Chama, hebu watueleze pesa za Jana usiku zilitoka kwa nani? Tumeshuhudia vitendo vya rushwa kwenye Uchaguzi wa BAVICHA"
Soma, Pia:
• Kimeumana! mjumbe adakwa akidaiwa kugawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.