Wakuu
Baada ya uchaguzi wa Januari 19-20, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema, ameweka wazi mbinu alizotumia kuhakikisha Tundu Lissu anapata kura za kutosha kutoka kwa wajumbe na kuibuka mshindi wa nafasi ya Uenyekiti wa Taifa wa chama hicho.
Soma Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu...
Wakuu,
Akiwa anazungumza kwenye hafla ya utoaji wa tuzo za walipa kodi Makamu Mwenyekiti wa Wamaching Tanzania amedokeza kuwa kwa niaba ya wafanyabiashara wadogo wanamuunga mkono Rais Samia kwenye Uchaguzi wa 2025.
Asalaam aleykum,
Nianze moja kwa moja, historia hii ya kuama vyama na kwenda kwingine siyo hadithi ngeni, hata Makamu mwenyekiti CCM, bara aliwahi kuwepo chadema kwa mapumziko, na ilipo fika wakati alirejea CCM.
In short Msigwa rudi nyumbani, hakuna aibu yoyote, rejea mapema tujenge chama...
Habari wanajamii napenda kumshukuru MWENYEZI MUNGU mwingi wa rehema kwa kutupa neema hii ya pumzi mpaka muda huu
Barua yangu hii fupi naomba niweke mahususi kwa viongozi wa nchi wakiongozwa na Mheshmiwa Raisi na wasaidizi wake wote katika kila taasisi naimani ni wenye afya na mko salama...
2% ni ndogo sana, lakini ndio hio ilioamua ushindi.
Je hizi tuhuma alizotoa lissu dhidi ya wenje ndio zimecheza part kubwa ya "narrow win" yake au ni basi watu angepata support ya kushinda pasipokuwa na scandal ile.
Wakuu,
Ni mimi tu nime-notice kuwa kipindi ha Uchaguzi wa CHADEMA na baada ya Lissu kushinda spidi ya Intaneti imekuwa slow sana.
Ku-access imekuwa ni ngumu na siku hiyo ambayo mkutano mkuu wa CHADEMA ulikuwa unaendelea ilikuwa ni shida sana kuweza ku-stream tukio hilo.
Nakumbuka the same...
Wakuu,
Akiwa anaongea kwenye kipindi cha Power Breakfast, Lema amewapa onyo hili CCM.
Lema amesema kuwa tabia ya CCM kupora na kuiba uchaguzi ni hatari kwa nchi kwani husababisha wananchi kuacha kuamini kwenye sanduku la kura.
Lema amesema kuwa wananchi wanapoacha kuamini kwenye mifumo ya...
Hawa wanalipwa mishahara na posho kwa kodi zetu sisi watanzania.
Ila kwa kifupi hawaendeshi chaguzi ila wanafanya maigizo ya kaole tena kwa fedha za watanzania ili kuonyesha upuuzi na ujinga wa mtu mweusi kupitia sanduku la kura.
Rai yangu leo. Naomba wafanye study tour ofisi za CHADEMA Makao...
Hongera TUNDU LISSU, safari ya kwenda Ikulu ianze sasa.
Mbinu za maangamizi;
1. Mobilization ya vijana hasa wapiga kura ianze kwa haraka sana.
Hii ni pamoja na kuandikisha wanachama wapya wengi ambao walipoteza matumaini juu ya upinzani wa Tanzania.
Lakini pia imiza vijana wengi kwenda...
Kwanza kabisa nianze na Kumpongeza Tundu Lissu Kwa kuwa Mwenyekiti.
Pili niingine kwenye Mada, Wabunge 19 wa viti maalumu wa CHADEMA ambao walifukuzwa uanachama walipambana sana kuhakikisha wanatoa pesa na support ya kutosha kuhakikisha mtu wanayemsapoti anashinda.
Kwa sera mpya za Mwenyekiti...
Wakuu,
Wote tunajua kuwa Uchaguzi umekaribia na CCM kama kawaida wataanza kufanya vituko ili kupata huruma za wananchi.
Kuelekea Oktoba Makada wa CCM wataanza kuosha vyombo, kuruka sarakasi, kupiga magoti n.k
Tujumuike hapa kuweka picha na vibonzo kuelekea mwezi Oktoba
Vijana wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), wakiongozwa na Mwenyekiti Mohammed Kawaida na Katibu Mkuu Jokate Mwegelo, wamesema wako tayari kuhakikisha wagombea wa Urais, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi, wanashinda kwa kishindo.
Kupata matukio...
Hayawi hayawi sasa yamekuwa,...
Awali ya yote nichukue nafasi hii kumpongeza Sana Mh. Lisu kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, pongezi hizi zinaenda sambamba kwa viongozi wote wanaomfuatia akiwemo Makamu Mwenyekiti wake Mh. John Heche na wote watakaofuatia .
Wadau mnaoitakia mema...
Wakuu
Mbunge wa zamani wa Kilwa Kusini, Selemani Bungara maarufu kama Bwege adai busara za Freeman Mbowe hazina maana yoyote katika nchi hii, kumlinda mtu mwizi ndio busara hiyo?
"Yeye ni mtu wa busara, nchi hii ya busara, nchi hii busara itatufikisha? Busara yenyewe ipi? Kufichana...
Wakuu
Ukweli unaweza kugeuka sumu, Bwege naye kasema TAL tatizo ni mkweli kupiliza
Mbunge wa zamani wa Kilwa Kusini, Selemani Bungara maarufu kama Bwege anasema tatizo kubwa la Tundu Lissu ni kusema ukweli sana.
Soma: Musiba: Tundu Lissu hafai kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, ni mkweli mno
Wakuu
Katibu wa chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wilaya ya Kahama Samwel Peter akieleza namna gani wajumbe wa mkutano Mkuu wa Chama hicho wamekuwa wakishawishiwa kwa fedha kuelekea uchaguzi wa chama hicho unaoendelea kufanyika muda huu katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam
Nimekutana na Joseph Kusaga kwenye Kolido za Ukumbi wa Mlimani City hadi nimeshangaa
Katika Nchi ya kutekana na kubambikiwa kodi kama hii inawezekanaje Mfanyabiashara kama huyu kujitokeza kwenye Mkutano wa CHADEMA?
Nafahamu kwamba amepewa mwaliko , lakini Mwaliko kama huo wamepewa wengi mno...
Uchambuzi wa Numerology
Numerology inahusisha kupunguza tarehe ya kuzaliwa hadi Nambari ya Njia ya Maisha (Life Path Number) ili kufunua sifa za kibinafsi na uwezo.
Uchambuzi:
Mbowe akiwa na 4 anaonyesha uongozi wa utulivu na wa vitendo, jambo linalovutia wanaotaka kuendeleza hali ilivyo.
Lissu...
Wakuu,
Kama unafuatilia kwa ukaribu Uchaguzi unaoendelea sasa hivi hapo Mlimani City utagundua kuwa kwa nje kuna mkusanyiko wa makada tofauti tofauti wanaojitambulisha kama Team Lissu na Team Mbowe
Kinachonipa maswali ni namna ambavyo wanachama wa wanatetea na kunadi wagombea wao hadharani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.