Asalaam aleykum,
Nianze moja kwa moja, historia hii ya kuama vyama na kwenda kwingine siyo hadithi ngeni, hata Makamu mwenyekiti CCM, bara aliwahi kuwepo chadema kwa mapumziko, na ilipo fika wakati alirejea CCM.
In short Msigwa rudi nyumbani, hakuna aibu yoyote, rejea mapema tujenge chama...