Aisee hili jambo limenishangaza sana. Juzi Boni yai aliandika Tweeter kuwa alipoingia VIP room kutoa matokeo ya kura za nafasi ya mwenyekiti, eti baadhi ya watu waliokuwa na Mbowe VIP room, baada ya kusikia Mbowe kapigwa chini, walilia kilio cha kusaga meno.
Mbowe ameongoza Kwa miaka 21, kitu...
Wakuu ujumbe wa Boni kwa boss wake wa zamani
==
Freeman Aikaeli
Mbowe Kwangu umekuwa siyo tu kiongozi wangu wa chama bali ni mwalimu, mwanafalsafa,mkufunzi,mzazi,mlezi na rafiki wa kweli. Wewe ni mfano wa kuigwaNashukuru kwa kuniamini na kunipa jukumu la kuwa Mwenyekiti wa kampeni zako katika...
Mkurugenzi Mtendaji Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dkt. Anna Henga amesema Uchaguzi wa ndani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) umefanyika kwa Haki na Uwazi, kinyume na matarajio ya wengi kutokana na mnyukano uliokuwepo mitandaoni kabla ya siku ya Uchaguzi wenyewe na...
TAHADHARI 1;
Akae pembeni na a behave kama mwanachama wa kawaida tu. Kama alivyosema, aendelee na biashara zake na familia yake kwa Sasa.
TAHADHARI 2;
Ikibidi kushirikishwa jambo ndani ya uongozi, shiriki kwa tahadhari kubwa.
Ndugu zangu Watanzania,
Uchaguzi wa CHADEMA umemalizika Rasmi kwa Tundu Lissu Kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Sanjali na John Heche Kuchaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wake.
Ushindi huo umeniumiza,kunisikitisha ,kunihuzunisha na kunisononesha sana. Ni ushindi ambao unaiweka CHADEMA...
Hili limeleta maswali mengi pande zote mbili. Kuwa kuna pandikizi la akina Tundu Lissu lilikuwa upande wa Mbowe. Watu wengi wamejiuliza je alikuwa Bonny Bonge au nani?
Hii ndio kauli aliyoitoa mara baada ya kutangazwa Mshindi wa nafasi ya Uenyekiti wa Chadema
Je unadhani kauli yake ina ukweli wowote?
hapa chini angalia wageni waalikwa wa Mikutano ya ccm na Chadema ili uongeze maarifa ya kujibu nilichouliza.
Toa Maoni yako
CCM ni udikteta tu kuanzia juu mpaka chini. Ukionesha una mawazo tofauti unaundiwa zengwe nanusipokuwa makinini unaweza kiuawa.
CHADEMA imegraduate mpaka kuweza kushika nchi. Ni chama makini sana kinachojari uhuru na mawazo ya kila mmoja.
CCM jifunzeni siyo kusomba hawa wasanii mbumbumbu...
Mpo salama!
Nimeamka zangu!
Hata sijaomba!
Hata sijaenda washroom!
Hata sijafanya lolote!
Jambo la Kwanza naomba Simu niangalie nini kimejiri huku CHADEMA. Kumbuka Mimi ratiba yangu ya Kulala ni saa tatu unusu.
Nilitegemea Kupata matokeo, nashangaa bado!
Hii ni nini Aiseeh!
Yaani Kura za...
Kwa kweli Rais anastahili pongezi kuliokoa taifa hili. Kipindi kile upinzani ulikuwa kama uko ukimbizini. Jamaa alikuwa katili zodi ya Adolf Hitler.
Nakumbuka mpaka akina Boni Yai walivuliwa Umeya kibabe kisa wapo upinzani ili wasalende. Hata Mwita naye akavuliwa kibabe Umeya kisa yupo CHADEMA...
Bwana Yericko anasema Leo watamuonesha Tundu Lisu kwamba wao Huwa hawanunuliwi na matusi aliyowatukana na kuwapaka watayakomesha Leo Kwa kumchagua Mbowe Kwa ushindi wa zaidi ya asilimia 90%.
Bwana Yericko ameenda mbali zaidi Kwa kusema hata nafasi ya kukata rufaa inatakiwa isiwepo Ili bwana...
Kwa wajumbe wote wa mkutano mkuu CHADEMA Taifa, DSM;
Nimeshitushwa sana na X-Twit hii ya Askofu Mwamakula...
Je, kweli mambo yako hivi..?
MASWALI KADHAA YA KUJIULIZA:
1. Nani anafanya hivi miongoni mwa wagombea?
2. Kwanini anafanya hivi kujilazimisha kuwa kiongozi?
3. Huyu mtu...
Hii ndio tabia ya masikini, hawapendi watu wenye kipato, badala wawapende ili waonyeshwe njia.
Mbowe alikaa katikati ya kundi hilo, akatoa fedha, magari na kila kitu awanyanyue.
Lahaula, wakanyanyuka, wakaanza kumvurumishia matusi, kashfa na kila kitu.
Ushauri: ukiwa na hela keep the money...
Anaandika Mjumbe wa Mkutano Mkuu
===
"Mbowe na wote wanaogawa rushwa natangaza kuwafuta katika Ulimwengu wa Kiroho na natangaza hawatashinda wale wote wanaogawa rushwa.
Natangaza Lissu & Heche kwa sababu ya haki Watashinda kwa kura nyingi sana Kwakuwa Mungu wetu ni Mungu wa haki.
Nataka...
Ewe Mola Mwenye rehema, tunakuomba umuongoze Freeman Mbowe katika uchaguzi huu wa ndani wa CHADEMA.
Mpe hekima, busara, na nguvu za kushinda kwa haki.
Ikiwa ushindi wake ni kwa manufaa ya chama, taifa, na mustakabali wa demokrasia, basi tuombe mapenzi Yako yatimie.
Mshushie baraka na...
Naona wafuasi wengi wa TAL wamekuwa wakipost kuashiria kuwa huenda wakajiunga na CHAUMA kwa mzee wa Ubwabwa Hashim Rungwe. Ingawa TAL mwenyewe alishasema kuondoka CHADEMA labda wamtimue.
Je inaweza kuwa karata nzuri?
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa...
Kuanzia jana nimekuwa mtu mwenye furaha sana baada ya Mama Dr Samia kumaliza biashara mapema sana kuhusu urais wa Tanzania kwenye huu mwaka wa uchaguzi. Mama kawamaliza kisiasa wapinzani wa nje na ndani ya CCM waliokuwa wanaeneza uzushi kuwa 2025 kutakuwa na mwanachama mwingine wa CCM...
Toa vitambulisho kwa Wajumbe , Wajumbe wengi mpaka sasa hawajapata vitambulisho. Hii haikubaliki. - Godblless Lema
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.