uchaguzi chadema 2025

  1. J

    Tundu Lisu: Mzee Freeman Mbowe atakuwa Mjumbe wa Kudumu wa Kamati Kuu ya Chadema Kwa mujibu wa Katiba yetu!

    Mh Tundu Lisu amesema Mzee Mbowe kuanzia tarehe 22 January 2025 Siku ya Jumatano atakuwa ni Mjumbe wa Kudumu wa Kamati Kuu ya Chadema Hiyo ni Kwa mujibu wa Katiba ya Chadema Kwa Wenyeviti wastaafu na atakuwa YEYE na Mzee Mtei Star tv Nawatakia Dominica NJEMA 🌹
Back
Top Bottom