uchaguzi huru

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Pre GE2025 Huko Afrika Kusini ANC imepigwa kipigo cha mbwa mwitu kwenye Uchaguzi. Je, huku kwetu CCM watakubali Uchaguzi Huru na wa Haki?

    Kilichotokea Kenya kikaua KANU kinakwenda kutokea Afrika Kusini. ANC imemeguka makundi kama ambavyo KANU ilimeguka kisha ikafa. Kifo cha KANU Kenya kilizalisha mapinduzi makubwa kisiasa na kiuchumi. Kupitia kifo cha KANU; 1. Walipata katiba nzuri 2. Wakapata tume huru ya uchaguzi 3. Wakapata...
  2. Mdude_Nyagali

    𝗨𝗵𝘂𝗿𝘂 𝘄𝗮 𝗧𝘂𝗺𝗲 𝘆𝗮 𝗨𝗰𝗵𝗮𝗴𝘂𝘇𝗶 𝗦𝗼𝘂𝘁𝗵 𝗔𝗳𝗿𝗶𝗰𝗮 𝗻𝗶 𝘇𝗮𝗼 𝗹𝗮 𝗠𝗮𝗻𝗱𝗲𝗹𝗮 𝗹𝗮𝗸𝗶𝗻𝗶 na Tanzania ni zao la Nyerere

    Huko bondeni kwa Madiba hali ya chama kilicholeta uhuru ANC ni mbaya sana tangu kuanzishwa kwake. Kwa mazingira haya hakiwezi kuunda serikali kwa sababu kimekosa 50% ya kura zote zilizopigwa. Mambo kama haya ndio yanaifanya CCM ikatae #KatibaMpya na Tume huru. Nawaambia hizo trillion 6 ambazo...
  3. M

    Pre GE2025 Uchaguzi huru na yanayotokea Afrika kusini

    Wanajamii, Tuendelee kudai uchaguzi huru navhaki kupitia katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Hii itasaidia kupata viongozi tunaowachagua wenyewe ambao watafuata matakwa yetu. Ona Afrika kusini uchaguzi unavyoenda, ANC inaenda kupoteza wingi wake bungeni na hivyo itabidi kama kinataka...
  4. R

    Pre GE2025 Hongera CHADEMA kwa uchaguzi huru na haki, sijasikia tukio la wizi wa kura

    Salaam, shalom!! Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu uchaguzi unaendelea wa Kanda, mchuano ni mkali na leo tumeshuhudia Mh Sugu akiibuka mshindi Kwa tofauti ya kura mbili pekee. Jambo jingine, sijasikia kura kuharibika, hili linaonesha kuwa uelewa wa wapiga kura CHADEMA ni WA kiwango Cha juu...
  5. Abdul Nondo

    Pre GE2025 Dhamira ipo wapi katika kuwa na Uchaguzi Huru na wa Haki 2025?

    Dhamira na malengo ya kufanya mchakato wa mabadiliko ya sheria za uchaguzi chini ya Serikali ya awamu ya sita ilikuwa ni kuboresha mazingira ya kiuchaguzi nchini kupitia mabadiliko ya Tume ya Uchaguzi ili kupata Tume huru ya uchaguzi ambayo viongozi wake wanapatikana kwa mchakato kupitia kamati...
  6. M

    Pre GE2025 Kinana anakiri hadharani kuwa yaliyotokea 2019 na 2020 hayatajirudia. Atuambie pia uhalali wa chaguzi zile

    Ni aibu kubwa kwa chama kinachojisifia kuwa kinapendwa na wananchi na kupigiwa kura za ushindi katika chaguzi. Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mzee Kinana, amekuwa akiwaambia wananchi kuwa uchaguzi ujao utakuwa huru na haki na hakitajirudia kile kilichojitokeza katika uchaguzi wa 2019 na 2020. Kauli...
  7. J

    Mwanaccm anapokiri Uchaguzi wa TAMISEMI 2019 na Uchaguzi mkuu wa 2020 ulikuwa wa Mabavu atuambie pia Bila Mabavu CCM ingeshindaje!

    Mjadala wa Tume Huru ya Uchaguzi umepamba moto Wakati Sheria imeshapitishwa yaani tunafunga Zizi la ng'ombe Saa 4 asubuhi. Ingekuwa vema wale walioshuhudia kivumbi Cha Uchaguzi mkuu wa 2015 watujuze CCM ilipaswa kutumia mbinu gani 2019 kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa na Uchaguzi mkuu wa...
  8. Erythrocyte

    Jaji Warioba atamani uchaguzi huru na wa Haki , Hataki uchafu wa 2019/2020 ujirudie

    Mzee Warioba ameyasema hayo alipohojiwa na Gazeti la Mwananchi . Wakati Warioba akiyasema haya , mwenyekiti wa Chama chake Samia Suluhu amekwisha saini sheria kandamizi za uchaguzi huo Sheria zenyewe hizi hapa
  9. P

    Pre GE2025 Tunategemea mwandishi kama huyu atasimama kuibua maovu nchini kama ananunulika na minofu ya nyama tu?

    Wakuu heri ya mwaka mpya, Kweli tunategemea mwandishi kama huyu atasimama imara kuibua maovu nchini? Kweli mwandishi wa hivi atakuwa mstari wa mbele kuibua kero zinazowakumba wananchi kama nyama tu mefanya kuwa chawa kiasi hiki? Mwandishi unasifia kununuliwa viatu vya gharama? Sijui kununulia...
  10. Pascal Mayalla

    Pre GE2025 Tuombe Mwaka 2024 Uwe ni Mwaka wa Mageuzi ya Kweli ya Kidemokrasia ya Kweli Tanzania. Tume Huru, Uchaguzi Huru na wa Haki! Happy New Year!

    Leo 31/12/2023 tunauaga mwaka 2023 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2024, hivyo naomba nianze makala yangu hii ya kwa kuwatakia heri ya mwaka mpya 2024 kwa rai moja tuu, "Mwaka 2024 ni Mwaka wa Mageuzi ya Kidemokrasia Tanzania" kwa kimombo "A Democratic Turning Point" Ni mwaka ambao, tunabadili...
  11. The unpaid Seller

    Demokrasia huja kwa gharama sio lelemama, wagombanao ndio mapatanao. Tozoland tusahau uchaguzi huru na wa haki mpaka pale tu

    Peace be upon you all, Awali niweke wazi mimi sio mwanachama wa chama chochote, sina kadi ya chama chochote ila napenda haki. Ukweli ni kwamba BILA KUCHAPANA KAMWE HAKUNA KUHESHIMIANA. Kenya wamefika katika level hiyo ya uwazi baada ya machafuko waliyobatizana kwa mapanga na damu kumwagika...
  12. B

    Matumaini ya Wananchi waliowengi ni CHADEMA; CCM haiwezi kuruhusu uchaguzi huru na haki

    CCM Ina watu wanamiliki kadi za chama Kwa usalama wao, Mali zao na jamaa zao lakini hakuna wanachama. Sirini hata wale waliopo karibu na Mwenyekiti wa chama Wana maamuzi Yao binafsi ambayo ni kinyume kabisa kile mwenyekiti anachodhani. Magufuli amegeukwa; hata walewachache waliojitumumua...
  13. J

    Alichofanya Hayati Magufuli kwenye chaguzi za 2019 na 2020 ni udhihirisho kuwa kwenye Uchaguzi huru Upinzani wanaweza kushinda

    Nazungumzia uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 na uchaguzi mkuu wa 2020 mbinu alizotumia Mwenyekiti pekee mwanasayansi kukipa chama chake ushindi kama asingezitumia CCM wangepoteana. Hivyo CCM isibweteke na kujiamini kwamba inapendwa na wananchi kwa 84% ni kweli katika uchaguzi wa kisayansi...
Back
Top Bottom