Joe Bide mwenye umri wa miaka 81, alijikanyaga wakati wa mahojiano jana 4/7/2024 Alhamisi na WURD ya Philadelphia, akionekana kujichanganya na Makamu wake Kamala Harris.
'.... hata hivyo, ninajivunia kuwa, kama nilivyosema, makamu wa kwanza wa rais, mwanamke wa kwanza mweusi ... kuhudumu na...