Sio Biden wala Trump anafaa kuwa Rais, wote ni wahuni tu

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,190
Reaction score
24,620
Sio Biden wala Trump anafaa kuwa Rais, wote ni wahuni tu.

Yaani mnataka kunambia Marekani yenye watu karibia milioni 400 wamekosa wagombea wenye akili timamu na wanaofaa hadi kugeuka kuwa "ving'ang'a" wa hivi vibabu viwili?

Yaani nchi yote wamekosekana watu wenye utimamu hadi wapewe hao vibabu ambao wanatembea na pampas na mirija ya mikojo kwasababu ya uzee?

Pamoja na baadhi ya mambo ya kuigwa lakini Marekani still ni linchi la hovyo tu, kidemokrasia bado sana, wana mifumo ya hovyo tu...
 
Sio Biden wala Trump anafaa kuwa rais wote ni wahuni tu

Yaani mnataka kunambia marekani yenye watu karibia milioni 400 wamekosa wagombea wenye akili timamu na wanaofaa hadi kugeuka kuwa "ving'ang'a" wa hivi vibabu viwili?

Yaani nchi yote wamekosekana watu wenye utimamu hadi wapewe hao vibabu ambao wanatembea na pampas na mirija ya mikojo kwasababu ya uzee?

Pamoja na baadhi ya mambo ya kuigwa lakini marekani still ni linchi la hovyo tu, kidemokrasia bado sana, wana mifumo ya hovyo tu...
Mbona wewe taifa lako linaongozwa na chura kiziwi, unataka kutuambia katika watu milion 60 mmekosa chura mwenye usikivu ?
 
Kama Sio Biden au Trump, Kwa hiyo kwa mawazo yako wavaa vipedo misuli na makobazi, Ayotollahs ndio watawale marekani? Tumia kichwa kufikiri Sio kufugia nywele na midevu iliyo shaghalabagaka[emoji848]
Huna akili wewe mjinga[emoji23]
 
Sio Biden wala Trump anafaa kuwa Rais, wote ni wahuni tu.

Yaani mnataka kunambia Marekani yenye watu karibia milioni 400 wamekosa wagombea wenye akili timamu na wanaofaa hadi kugeuka kuwa "ving'ang'a" wa hivi vibabu viwili?

Yaani nchi yote wamekosekana watu wenye utimamu hadi wapewe hao vibabu ambao wanatembea na pampas na mirija ya mikojo kwasababu ya uzee?

Pamoja na baadhi ya mambo ya kuigwa lakini Marekani still ni linchi la hovyo tu, kidemokrasia bado sana, wana mifumo ya hovyo tu...
Lakini kwa bahati mbaya sana rais wa Marekani anachaguliwa na wamarekani na wala sio na mashehe wa Tanzania.
So very sorry.
 
Sio Biden wala Trump anafaa kuwa Rais, wote ni wahuni tu.

Yaani mnataka kunambia Marekani yenye watu karibia milioni 400 wamekosa wagombea wenye akili timamu na wanaofaa hadi kugeuka kuwa "ving'ang'a" wa hivi vibabu viwili?

Yaani nchi yote wamekosekana watu wenye utimamu hadi wapewe hao vibabu ambao wanatembea na pampas na mirija ya mikojo kwasababu ya uzee?

Pamoja na baadhi ya mambo ya kuigwa lakini Marekani still ni linchi la hovyo tu, kidemokrasia bado sana, wana mifumo ya hovyo tu...
Unapendelea angekuwa sheikh Kipoozeo?
 
Wangese wa mudi mnafarijiana....🤣
 
Kwamba wewe ombaomba ndo una akili kuliko Wamarekani!? Bangi mbaya sana
 
IMG_1374.jpeg
 
Pamoja na baadhi ya mambo ya kuigwa lakini Marekani still ni linchi la hovyo tu, kidemokrasia bado sana, wana mifumo ya hovyo tu...
Ngoja watetezi wa mazayuni na marekani wakuijie kwa kasi ya 5G
 
Kamwaga damu ya wapalestina n.k huyo kaafir na mwenzie Netakaafir
 
Back
Top Bottom