trump vs biden

  1. kimsboy

    Sio Biden wala Trump anafaa kuwa Rais, wote ni wahuni tu

    Sio Biden wala Trump anafaa kuwa Rais, wote ni wahuni tu. Yaani mnataka kunambia Marekani yenye watu karibia milioni 400 wamekosa wagombea wenye akili timamu na wanaofaa hadi kugeuka kuwa "ving'ang'a" wa hivi vibabu viwili? Yaani nchi yote wamekosekana watu wenye utimamu hadi wapewe hao vibabu...
Back
Top Bottom