uchaguzi mkuu

The Tanzanian general election of 2015 was the 5th quinquennial election to be held since the restoration of the multi-party system in 1992. Voters elected the president, members of Parliament, and local government councillors. By convention, the election was held on the last Sunday of October and was supervised by the National Electoral Commission (NEC). Political campaigns commenced on 22 August and ceased a day before the polling day.The incumbent president, Jakaya Kikwete, was ineligible to be elected to a third term because of term limits. Chama Cha Mapinduzi (CCM), the country's dominant ruling party, selected Works Minister John Magufuli as its presidential nominee instead of the front-runner, former Prime Minister Edward Lowassa. After failing to secure the CCM's nomination, Lowassa defected to the opposition Chadema party despite it once labelling him as "one of the most corrupt figures in Tanzanian society". This year's election was seen as the most competitive and unpredictable in the nation's history.The government had warned politicians to refrain from engaging in witchcraft, and a deputy minister told parliament that reports linking politicians with the killings of people with albinism could be true as it increases during the election period. A ban on witch doctors was imposed in January 2015, as some of them condone the killings due to superstitious beliefs that the victims' bodies "possess powers that bring luck and prosperity".On 29 October, CCM's Magufuli was declared the winner ahead of Chadema's Lowassa, who has yet to concede amid a dispute.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    Pre GE2025 Makalla: Wakurugenzi hawatasimamia Uchaguzi, ahoji hofu ya CHADEMA kuhusu Uchaguzi licha ya marekebisho ya mfumo

    Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, Amos Makalla ameshangaa hofu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ya kutotaka kushiriki uchaguzi mkuu kwa madai ya kufanyika mabadilko wakati Serikali imeshafanya marekebisho...
  2. Nandagala One

    Pre GE2025 Majaliwa Mpe Mama Nafasi ya kupumua, ajiteulie Mwingine kuwa Waziri Mkuu baada ya uchaguzi mkuu

    Wanabodi ,awali ya yote nawatakia Mfungo mwema wa Ramadan na Kwaresima inayoanza kesho. Bado kama mtanzania naona kitendo Cha Mama kumpendekeza na kupitishwa kwa Dr Emanuel Nchimbi kuwa mgombea mwenza yaan running mate, ni salamu tosha alarming sign ya kuwa zama za "Mjomba" zinaenda ukingoni...
  3. upupu255

    Pre GE2025 Makalla: Tundu Lissu ameingia kuiua CHADEMA, Chama kinaenda kuvunjika

    Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayehusika na Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, ameyasema hayo leo katika Mkutano wa viongozi wa chama na jumuiya ngazi ya shina, Tawi, Kata na Wilaya, Ambapo amewataka watanzania kupuuza madai ya Chama cha Demokrasia na...
  4. upupu255

    Pre GE2025 Makalla: Uchaguzi Mkuu utafanyika kama ilivyopangwa, hakuna wa kuuzuia

    Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amesema uchaguzi mkuu mwaka huu utafanyika kwa mujibu wa katiba na sheria kwani mabadiliko yameshafanyika, hivyo hakuna atakayezuia uchaguzi. Makalla ameeleza hayo leo Machi 4, 2025 wakati...
  5. T

    Pre GE2025 No refom No election inawapelekesha sana CCM, Makalla anadai CHADEMA imeanza kushindwa kabla ya uchaguzi mkuu

    Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayehusika na Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, amewataka Watanzania kupuuza madai ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwamba uchaguzi hautafanyika bila mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi. Akizungumza siku ya...
  6. milele amina

    Pre GE2025 Chanzo cha Tanzania Kuwepo kwa 'Electoral Fraud' na Njia za Kuondoa Hali Hiyo kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Utangulizi Tanzania, kama nchi nyingine nyingi duniani, imekuwa ikikabiliwa na changamoto za uchaguzi, ikiwa ni pamoja na tuhuma za udanganyifu wa uchaguzi (electoral fraud). Hali hii inachangia kutokuwepo kwa imani miongoni mwa wapiga kura na inaweza kuhatarisha demokrasia ya nchi. Chanzo cha...
  7. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 UVCCM yatakiwa kuandaa kambi za mafunzo kwa Vijana kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa chama cha Mapinduzi (UVCCM ) Rehema Sombi Omary amewataka Viongozi wa UVCCM Mikoa yote Nchini kuandaa Kambi za Mafunzo maalumu kwa Vijana ili Kuweza kuwajenga na kuwafunda Vijana kuwa Wazalendo katika Taifa kuelekea Uchaguzi mkuu. Kupata matukio na...
  8. Tlaatlaah

    Pre GE2025 Pesa ndizo zitakazowafarakanisha viongozi waandamizi wa CHADEMA na kuisambaratisha kabisa kabla ya uchaguzi mkuu Oktoba

    Whethe mpango huo wa kitapeli utafanikiwa ama laa, lakini mwisho wa siku pesa ndio itakayo wagombanisha na kuvuana nguo hadharani uongozi mpya wa chadema. Ni suala la muda tu kwa jambo hilo kutokea. Baada ya kuacha misingi ya kuanzishwa kwake, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema...
  9. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Polisi wilaya ya Arusha, waaswa kujipanga kusimamia uchaguzi mkuu

    Jeshi la Polisi Wilaya ya Arusha limehimizwa kuendelea kutoa huduma bora kwa wananchi na kulinda raia na mali zao huku likikumbishwa kutambua kuwa mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi ambapo Jeshi hilo ndilo lenye dhamana ya kuhakikisha ulinzi na usalama wakati wote wa uchaguzi na baada ya uchaguzi...
  10. Mindyou

    Pre GE2025 Katibu wa UVCM Dar awaonya vijana wa CCM kuhusu kujigawa kimakundi wanapoelekea kwenye Uchaguzi

    Wakuu, Katibu wa UVCCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ndugu Hussein Egobano, amewasihi vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kujiepusha na makundi ya uchaguzi na badala yake waendelee kudumisha mshikamano na umoja ndani ya chama kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Egobano ameyasema hayo tarehe 26...
  11. Tlaatlaah

    Pre GE2025 Mpaka kufikia Oktoba 2025, CHADEMA watakuwa wamefanikiwa kutangaza njia za kujipatia pesa tu na sio kutafuta kura na kushinda uchaguzi

    Ni wazi ukata wa pesa za matumizi ya chama unawapeleka puta haswaa. Wanahaha kutumia kila njia za kupata pesa kutoka kwa watu ambao waliwaita maskini na wengine waliwaambia wanafanya kazi za laana hususani bodaboda. Inasikitisha sana na inafedhehesha sana kwamba hao bodaboda wanaofanya kazi za...
  12. Waufukweni

    Pre GE2025 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM, Maganya: Tutatumia silaha nzito kuwashinda kitakatifu upinzani

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi Taifa Fadhili Rajabu Maganya ametahadharisha vyama pinzani kuwa chama chao hakiendi kirahisi wala kuonea huruma mpinzani aliye dhaifu katika uchaguzi wa mwaka huu (2025) kwa kuwa wamejipanga kikamilifu kuendelea kushika dola. Maganya...
  13. upupu255

    Pre GE2025 Rais aweka jiwe la msingi ujenzi wa daraja la Mto Pangani la Bilioni 107, Urefu wa Mita 525

    Rais Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Daraja la Mto Pangani na Barabara ya Bagamoyo (Makurunge), Saadani, na Tanga Pangani. Ujenzi wa Daraja la Mto Pangani utagharimu shilingi bilioni 107 hadi kukamliika kwake, na litakuwa na urefu wa mita 525. Soma: Miradi kuelekea...
  14. Waufukweni

    Pre GE2025 Gambo ajibu mapigo ya Makonda "mimi nimeenda shule"

    Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo, amejibu mashambulizi yanayohusiana na wito ulioibuliwa na baadhi ya madiwani wa jiji la Arusha wakimuomba Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, kuchukua fomu ya kugombea ubunge wa jimbo hilo. Gambo amesema kuwa yeye anatekeleza majukumu yake kama...
  15. Waufukweni

    Pre GE2025 Viongozi wa CHADEMA wateta na Balozi wa Norway kuhusu mfumo wa uchaguzi na demokrasia. Waifikisha 'No Reform No Election'

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. Tundu Lissu, akiongozana na viongozi wengine wa CHADEMA, Mhe. John Heche, Mhe. Amani Golugwa, na Mhe. Godbless Lema, walikutana na Balozi wa Norway nchini Tanzania, Mhe. Tine Tonnes, katika makazi ya balozi Oysterbay, Jijini Dar es Salaam. Katika mazungumzo...
  16. Waufukweni

    Pre GE2025 Tundu Lissu aendelea kusisitiza Wagombea CHADEMA, Unataka Ubunge ili iwaje? Watu wetu wanauawa kwa Risasi za Polisi!

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu anasema kuwa uamuzi wa mtu kugombea Ubunge au nafasi nyingine ni wa Chama si wa mtu mmoja, na uamuzi wa Chama ni hakuna uchaguzi kama hakuna mabadiliko, hivyo yeyote anayekwenda CHADEMA ajue kwamba hakuna uchaguzi kwa...
  17. Mindyou

    Pre GE2025 Serikali yatoa kanuni zitakazotumika kwenye Uchaguzi mkuu wa 2025

    Wakuu, Wakati CHADEMA ikikoleza moto wa ajenda ya No Reforms No Elections, Serikali ya Tanzania imetoa kanuni za Uchaguzi ambazo zitatumika kwenye uchaguzi wa mwaka huu. =========================================================== Serikali ya Tanzania imetangaza kanuni mpya za uchaguzi kwa...
  18. Waufukweni

    Pre GE2025 Ally Mohamed Keissy: Rais Samia agombee tena Urais ikifika mwaka 2030, hii miaka 4 ilikuwa ya Magufuli

    Wakuu Aliyewahi kupendekeza Hayati Magufuli aongoza nchi zaidi ya awamu 2 amerudi tena na mapendekezo ya Rais Samia kuongoza nchi kwa miaka 14 akidai miaka hii 4 ilikuwa ya Magufuli. == Ally Mohamed Keissy aliyekua Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini (2010 - 2020) amependeeza Rais Samia...
  19. upupu255

    Pre GE2025 Katibu Mwenezi, BAWACHA: Baraza la Madiwani la Chama kimoja ni hatari kuliko ugonjwa

    Katibu Mwenezi wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA) taifa Sigrada Mligo amewataka watanzania kufanya mabadiliko kwa kuchagua madiwani toka vyama vya siasa tofauti tofauti ili waweze kunufaika na rasimali zilizopo kwa kuwa nchi ina mali ikiwemo madini ya kutosha...
  20. upupu255

    Pre GE2025 Mkazi wa Korogwe atua mkutanoni na 'Kapu la Kura' kwa Rais Samia

    Mmoja ya wananchi wa Wilaya ya Korogwe, mkoani Tanga amejitokeza kwenye Mkutano wa hadhara unaofanyika katika viwanja vya Chuo cha Ualimu Korogwe, ambako Rais Samia Suluhu Hassan anatazamiwa kuhutubia akiwa na kapu litakalojaa kura zake! Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi...
Back
Top Bottom