uchaguzi mkuu

The Tanzanian general election of 2015 was the 5th quinquennial election to be held since the restoration of the multi-party system in 1992. Voters elected the president, members of Parliament, and local government councillors. By convention, the election was held on the last Sunday of October and was supervised by the National Electoral Commission (NEC). Political campaigns commenced on 22 August and ceased a day before the polling day.The incumbent president, Jakaya Kikwete, was ineligible to be elected to a third term because of term limits. Chama Cha Mapinduzi (CCM), the country's dominant ruling party, selected Works Minister John Magufuli as its presidential nominee instead of the front-runner, former Prime Minister Edward Lowassa. After failing to secure the CCM's nomination, Lowassa defected to the opposition Chadema party despite it once labelling him as "one of the most corrupt figures in Tanzanian society". This year's election was seen as the most competitive and unpredictable in the nation's history.The government had warned politicians to refrain from engaging in witchcraft, and a deputy minister told parliament that reports linking politicians with the killings of people with albinism could be true as it increases during the election period. A ban on witch doctors was imposed in January 2015, as some of them condone the killings due to superstitious beliefs that the victims' bodies "possess powers that bring luck and prosperity".On 29 October, CCM's Magufuli was declared the winner ahead of Chadema's Lowassa, who has yet to concede amid a dispute.

View More On Wikipedia.org
  1. Teko Modise

    Siku Watu Wasiojulikana walipoharibu magari ya Mbowe huko Hai

    LEO TENA KTK UNTOLD STORIES OF ZAMA ZA GIZA by Boniface Jacob Tuelekee huko Kaskazini Mwa Tz, Mkoani Kilimanjaro,Wilaya ya Hai. Ilikuwa Siku ya Ijumaa ya Tarehe 30 October 2020 ikiwa ni Siku 2 tuh baada ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani. Kufuatia Kuharibika kwa Uchaguzi Jimbo la...
  2. BARD AI

    Rais Tshisekedi adai machafuko ya M23 yatavuruga Uchaguzi Mkuu Congo

    JF SUMMARY Rais #FelixTshisekedi ameliambia Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (OHCHR) kuwa Vita inayoendelea Mashariki mwa DRC inahatarisha mchakato wa Uchaguzi wa Desemba 20, 2023 kutokana Watu wengi kuyakimbia makazi huku Tume ikishindwa kuyafikia baadhi ya maeneo. Tume ya...
  3. Lycaon pictus

    Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Nigeria 2023. Bola Tinubu atangazwa mshindi, upinzani wakacha kuhudhuria sherehe za utangazaji matokeo

    Wajuzi wa masuala ya kimataifa. Nigeria wanachagua Rais tarehe 25 mwezi huu wa pili. Nini kinaendelea huko? Nani anauwezekano mkubwa wa kushinda? ======= Siku ya Jumamosi, tarehe 25 Februari 2023, nchi yenye watu wengi zaidi barani Afrika itapiga kura kumchagua rais wao ajaye, Makamu wa Rais...
  4. JanguKamaJangu

    Nigeria: Jeshi lakanusha tuhuma za kufanya mapinduzi kabla ya Uchaguzi Mkuu

    Jeshi la Nigeria limejibu tuhuma hizo zilizotolewa na Chama tawala kuwa kuna mpango wa kuvuruga Uchaguzi wa Urais unatarajiwa kufanyika Februari 25, 2023 Chama cha APC kilidai kuna viongozi wa juu wa Jeshi walikutana kwa siri na mgombea Urais wa Chama Kikuu cha upinzani, PDP, Atiku Abubakar...
  5. JanguKamaJangu

    Nigeria: Vyuo Vikuu vyatakiwa kufungwa kupisha Uchaguzi Mkuu

    Tume ya Vyuo Vikuu vya Kitaifa ya Nigeria (NUC) imetangaza maamuzi hayo ya kufungwa kuanzia Februari 22 hadi Machi 14, 2023 wakati Uchaguzi Mkuu ukitarajiwa kufanyika Februari 25, 2023. Wamesema maamuzi hayo yamefanyika kwa ajili ya kulinda usalama wa wanafunzi na Wafanyakazi wa Vyuo, lakini...
  6. J

    Pre GE2025 Tundu Lissu: Bila Katiba Mpya, Bila Tume Huru ya Uchaguzi CHADEMA haitashiriki Uchaguzi Mkuu wa 2025

    Makamu mwenyekiti wa CHADEMA mh Tundu Antipas Lissu amesema yeye kugombea Urais wa JMT ni hadi ipatikane Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi. Kimsingi CHADEMA tutaonekana Watu wa ajabu sana kama tutashiriki Uchaguzi mkuu wa 2025 kwa Katiba hii na Tume hii ya Uchaguzi amesema Lissu. Lissu...
  7. GENTAMYCINE

    Uchaguzi Mkuu wa Simba SC kesho ndiyo utakuwa kipimo changu kama wana Simba SC wana akili au ni kweli mambumbumbu

    Akichaguliwa Advocate Moses Kalua nitawaona wana akili, ila akichaguliwa tu Msaliti Murtaza Mangungu nitaamini rasmi na kweli kuwa sisi wana Simba SC ni mbumbumbu (yaani hatuna akili) kabisa. Haya kazi Kwenu wapiga kura kesho.
  8. M

    Yanayojiri Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti CHADEMA Tundu Lissu, na Mkutano wa Hadhara Temeke Leo Jumatano 25/1/2023

    Ni Asubuhi tulivu siku ya Jumatano, Katika Jiji hili kuu la Kibiashara la Dar es Salaam leo majira ya saa 7:35 mchana anatarajiwa kutua mwanamapinduzi wa kweli Tundu Antipas Lissu ambaye anarejea nchini mwake baada ya kulazimika kuwa uhamishoni kwa takriban miaka 6 kutokana na Jaribio la...
  9. BARD AI

    CHADEMA: Bila Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi, hakuna Uchaguzi Mkuu

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesisitiza bila katiba mpya na tume huru ya uchaguzi basi hakutakuwepo na uchaguzi mkuu nchini. Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara mjini Musoma leo Jumapili, Januari 22, 2023, Naibu katibu mkuu wa Chadema bara, Benson Kigaila amesema msimamo huo...
  10. GENTAMYCINE

    Wana Simba SC Wote twendeni na Wakili Moses Stewart Kalua kwa nafasi ya Uenyekiti katika Uchaguzi Mkuu ujao wa Simba SC

    Wana Simba SC wote (hasa Wanachama) mkikosea tena, mkarubuniwa na Kuhongwa Pesa za Msoga na Salamander na Kumrejesha tena Uongozini Murtaza Mangungu (Mwenyekiti anayemaliza muda wake) nitawadharau na nitaichukia Klabu Daima kwani nitaamini kuwa mtakuwa mmekubali Kuuhalalisha Ubingwa wa Yanga SC...
  11. Thailand

    John Mnyika na John Heche turufu ya CHADEMA kuelekea uchaguzi mkuu 2025

    Sitashangaa endapo mmoja kati ya hawa magwiji wa siasa za hoja wakipata nafasi ya kupeperusha bendera ya kugombea urais wa Tz kupitia CDM. Jamaa wana uelewa mpana kwa kugonga spana kwa hoja kali sana, Pili hawa jamaa hawana makando kando mengi kwa jamii hivyo wananchi wanaowafatilia kwa...
  12. Dalton elijah

    Sri Lanka yatangaza uchaguzi mkuu wa kwanza tangu kujiuzulu kwa Rais

    Sri Lanka imetangaza uchaguzi wake wa kwanza nchini kote tangu rais wake kutoroka na kujiuzulu kutokana na maandamano yaliyoenea, na kuvuruga Nchini .. kura za serikali za mitaa zitafanyika kabla ya mwisho wa Februari, maafisa walisema Jumatano, baada ya kucheleweshwa kwa mwaka mmoja kwa sababu...
  13. GENTAMYCINE

    Mnaomtetea Godfrey Nyange Kaburu kwanini amekatwa katika Uchaguzi Mkuu ujao kwa Dhambi hizi Mbili Kisheria angetufaa?

    1. Godfrey Nyange Kaburu alishtakiwa kwa Tuhuma nzito za Ubadhirifu ndani ya Klabu ya Simba. 2. Godfrey Nyange Kaburu nae alishawahi Kuishtaki Klabu ya Simba SC baada ya kutokubaliana na Maamuzi fulani Tayari 99.9% ya wana Simba SC ( GENTAMYCINE nikiwemo ) kwa mapungufu yake haya walishakosa...
  14. Mr Dudumizi

    Mkakati wa mama mwenye nyumba kushinda uchaguzi mkuu wa 2025 kwa 95% huu hapa umeshawiva tayari

    Habari zenu wana JF wenzangu, bila kupoteza muda ngoja niende kwenye mada husika ili kuwarahisishia wasomaji wasiopenda kusoma maandishi mengi. Ni hivi... baada ya mama mwenye nyumba kufanikiwa kukitia chama chake mwenyewe mfukoni, na kuwadhibiti wale wote waliokuwa na ndoto ya kutaka kupimana...
  15. M

    Godfrey Nyange Kaburu kabla ya Kuchukua Fomu ya Uongozi Simba SC umewaomba Radhi wana Simba SC?

    Bahati nzuri Binafsi nakujua ndani nje tena mpaka Dhambi zako ZISIZOSAMEHEKA ulizowafanyia wana Simba SC mpaka ukakoswakoswa Kupigwa Risasi Uwanja wa Taifa na Marehemu Zakaria Hanspoppe baada ya Ismail Aden Rage Kuingilia kati na Kumsihi. Wewe ni Adui Mkubwa wa Simba SC.
  16. BARD AI

    Paul Kagame amtuhumu Tshisekedi kutumia mgogoro wa M23 ili kuchelewesha Uchaguzi Mkuu

    Rais Paul Kagame amesema uongozi wa sasa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo unasababisha dharura ya Kiusalama na kuihusisha Rwanda ili kutofanya Uchaguzi Mkuu wa Desemba 2023. Kagame amesema “Tatizo hili linaweza kutatuliwa ikiwa Serikali haitajaribu kuleta dharura ili Uchaguzi usifanyike...
  17. Dr Akili

    Ubelgiji, Ujerumani, EU na USA hakuna mikutano ya hadhara wala maandamano ya vyama vya siasa baada ya uchaguzi mkuu. Kwanini sisi?

    Kote duniani mikutano ya hadhara na maandamano ya vyama vya siasa hufanyika tu miezi michache kuelekea uchaguzi mkuu. Hata huko Ubelgiji, Ujerumani, EU na USA ndivyo mambo yanavyokuwaga. Baada ya hapo the winner takes it all na upinzani huhamia bungeni. Ndiyo maana ya demokrasia: the majority...
  18. GENTAMYCINE

    Baada ya Tarehe ya Uchaguzi Mkuu Simba SC kutangazwa, tegemeeni Simba SC Kushinda mfululizo hadi January 2023

    Baada ya tarehe ya Uchaguzi Mkuu wa Simba SC Kutajwa rasmi leo kuwa ni January 2023, tegemea kuanzia sasa kuiona Klabu ya Simba ikishinda tena kwa Kishindo kabisa Mechi zake zote. Ni kwamba karibu Wagombea Wote (Watamani Uongozi ndani ya Simba SC) ndiyo wamekuwa Wasaliti Wakuu wa Matokeo ya...
  19. Nature

    Benjamin Netanyahu anakaribia kutangazwa mshindi wa Uchaguzi Mkuu Israel

    Waziri Mkuu wa zamani wa ISRAEL, Benjamin Netanyahu anaongoza kwa asilimia 62% ya idadi ya kura zilizohesabiwa mpaka sasa. Pia tayari chama chake cha mrengo wa kulia cha Likud kimeshinda idadi ya Viti 69 kati ya 120 katika bunge la nchi hiyo Knesset na hivyo kujihakikishia kuunda serikali. Kwa...
  20. tpaul

    Askofu akemea wizi wa uchaguzi mkuu 2020

    Bila kumumunya maneno wala kumuogopa mtu yeyote askofu huyu amekemea vikali wizi wa uchaguzi uliofanywa na mwendazake mwaka 2020. Hebu msikilize anavyopiga nyundo laivu bila chenga 👇 MAONI YANGU Wizi huu wa kipumbavu ndio umesababisha mchi imepata laana kwa kukosa mvua na umeme kila mahali...
Back
Top Bottom