uchaguzi serikali za mitaa 2024

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bams

    Pre GE2025 Serikali Za Mitaa Ilikuwa Sauti Ya Mungu Kudhihirisha Uharamia wa CCM. Watanzania Tuamke

    Kuna wakati, mambo mabaya hutokea yakiwa yamebeba dhamira njema. Watu wa imani wanalifahamu hili. Yawezekana ukawa unataka kusafiri kwa basi, usiku ukaugua ghafla, ukasikitika sana kwa sababu hutaweza kusafiri. Lakini basi hilo hilo ulilotaka kusafiri nalo likapata ajali. Wewe ukawa umesalimika...
  2. K

    Pre GE2025 Kama uchaguzi wa mwaka 2024 ungefanyika kwa haki, wapinzani wangekubali kushiriki Uchaguzi ujao kwa Katiba na sheria hizi hizi

    Ni kwamba uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliharibiwa na baadhi ya watendaji wa Serikali kiasi kwamba ukaonekana ni hovyo. Ndiyo maana akina Lissu wanapojenga hoja ya mabadiliko kabla ya uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 wanaeleweka vema na Watanzania na Jumuiya ya kimataifa. Na mbaya zaidi hoja ya...
  3. Waufukweni

    LGE2024 Waziri Mchengerwa: Vyama vingine viendelee kujiimarisha

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, amepongeza vyama 19 vya siasa kwa kushiriki kwa uwazi na utulivu katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024, licha ya baadhi yao kushindwa kupata nafasi mbalimbali za uongozi. Akizungumza Novemba 28, 2024, jijini Dodoma wakati...
  4. Waufukweni

    LGE2024 Geita: Utata majina ya wapiga kura, mkurugenzi atoa ufafanuzi

    Mpiga kura Mtaa wa Mwatulole katika kituo cha kupigia kura Mwatulole Center ambaye awali alilalamika kutoona jina lake, hatimaye amekiri mbele ya msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Geita Mjini, Yefred Mnyenzi kuwa jina lake limeonekana na ametimiza haki yake.
  5. Nyendo

    LGE2024 Mikumi: Joseph Haule adai mpaka majira ya Saa nne baadhi ya vituo vya Mikumi havijafunguliwa na karatasi za kupigia kura hazijafika

    Jimbo la MIKUMI kata za Ruaha, Ruhembe, kidodi,Tindiga, Mabwerebwere, Masanze, Zombo mpaka sasa hivi saa 4 na robo karatasi za kupigia kura bado hazijafika na vituo havijafunguliwa, kata za Kilangali, Ulaya Na Mhenda uchaguzi umesimama eti karatasi zimekwisha haya si maajabu? Pia soma:LIVE -...
  6. The Watchman

    LGE2024 Makonda: Wananchi twendeni tukapige kura ili tutengeneze serikali iliyo bora

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda amewahimiza wakazi wote wenye sifa Mkoa wa Arusha kujitokeza kwa wingi kupiga kura hapo Kesho Jumatano Novemba 27, 2024 ili kuwachagua Viongozi wa serikali za Mitaa watakaoshirikiana na Viongozi wengine kujiletea maendeleo kwenye maeneo yao. Makonda...
  7. The Watchman

    LGE2024 Sisi CHADEMA hata kama wametuachia mitaa miwili tutakomaa nao na tarehe 27 hatuendi kinyonge

    Ubaya ubwela hakuna unyonge == Mwenyekiti wa kamati ya Uenezi CHADEMA kanda ya Nyasa, Bruce Nyamwangi akizungumza katika Muendelezo wa kampeni za kuwanadi wagombea wa Chama hicho kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa siku ya kesho 27 Novemba 2024. Soma pia: CHADEMA yakanusha kujitoa kushiriki...
  8. The Watchman

    LGE2024 Video Kyela: Mgombea CHADEMA amtumia mtoto wake mdogo kuomba kura. Je, kaona maji ya shingo?

    Moja ya mgombea Kyela Mbeya kupitia chama cha Demokrasia na maendeleo CHEDEMA amemuomba mtoto wake amsaidie kuomba kura kwa wananchi wakati wa kampeni.
  9. Stephano Mgendanyi

    LGE2024 Faris Buruhani: CCM Hatuachi Kitu Novemba 27

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM mkoa wa Kagera Komredi Faris Buruhani ameendelea na Kampeni ya kuwanadi wagombea wa CCM katika mitaa mbalimbali ya Mkoa wa Kagera inaendelea katika Mitaa 10 ya Kata za Hamugembe, Miembeni, Bilele na Kashai Manispaa ya Bukoba. "Hakika utekelezaji mzuri wa...
  10. The Watchman

    LGE2024 Mnyika: Mkipiga kura hakikisheni hamuondoki kwenye vituo

    Akizungumza na wananchi wa Dumila jana Novemba 24, 2024 katibu mkuu wa CHADEMA John Mnyika aliwataka wafuasi wa chama hicho kutokuondoka kwenye vituo vya kupigia kura mara baada ya kupiga kura. Soma pia: CHADEMA yajipanga kuzuia watoto kupiga kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, wabaini madudu haya
  11. The Watchman

    LGE2024 Tundu Lissu: Ukinipigia simu kwamba hawajamtangaza mgombea wetu ambaye ameshinda, nitakuuliza umewafanya nini? Umempiga ngeu kiasi gani?

    Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA katika mkutano wake wa hadhara wilayani Tarime mkoani Mara amesema mwanachama atakayempigia simu akilalamika kwamba hawajamtangaza mgombea wao ambaye ameshinda, "nitakuuliza umewafanya nini? umempiga ngeu kiasi gani" Soma pia: MARA...
  12. The Watchman

    Pambalu: Sijawahi ona mama aliyefiwa anakuwa na nguvu za kwenda kwa jirani halafu anakuwa anaelekeza kwa Tweet nunueni jeneza, nendeni mkazike

    Mwenyekiti wa BAVICHA taifa John Pambalu katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa, kata ya Pamba, Mahina, Butimba, Igogo na Mabatini. "Tangu nimezaliwa sijawahi ona mama aliyefiwa anakuwa na nguvu za kwenda kwa jirani halafu anakuwa tu anaelekeza kwa Tweet nunueni jeneza...
  13. JamiiCheck

    SI KWELI Mbowe na Mnyika Waisifia TAMISEMI. Lissu atakiwa kuwapisha CHADEMA huku Fedha za Chama zikielekezwa uchaguzi kanda ya Kaskazini kisa chama hakina hela

    Mbowe na Mnyika Waisifia TAMISEMI. Lissu atakiwa kuwapisha CHADEMA huku Fedha za Chama zikielekezwa uchaguzi kanda ya Kaskazini kisa chama hakina hela.
  14. T

    LGE2024 Boniface Jacob: Halmashauri ya manispaa ya Ubungo imekataa rufaa zote za CHADEMA

    Wakuu naona mambo yanazidi kuwa tofauti na vile ilivyotarajiwa licha ya imani iliyojitokeza baada ya Nchimbi kutoa kauli. Ama ndiyo kusema wote makosa yao ni makubwa makubwa?
  15. M

    LGE2024 CHADEMA mnaenguliwa kwa sababu mnapenda kuenguliwa

    Kumekuwa na kelele za CHADEMA karibu Nchi nzima wakilalamika kwamba wameenguliwa kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu 2024. Mimi naomba kuwaasa ndugu zangu CHADEMA kwamba, kama ni kulalamika mmeshalalamika sana na kama ni kulia mmelia sana. Kungekuwa na mtu wa kuwasikiliza...
  16. Gabeji

    LGE2024 TAKUKURU hawana meno kwenye rushwa ya uchaguzi wa ndani CCM?

    Wananchi wa mkoa wa Dar es salama wameandamana mpaka kwenye ofisi zao, wakilalamika juu ya Rushwa, na kuiba kura kwa baadhi ya watinia nia ya uchanguzi wa serikali za mitaa. Swali je, TAKUKURU hawana meno kwa CCM? Chanzo East Africa Tv. ======= Wanachama wa chama cha Mapinduzi kutoka...
  17. T

    LGE2024 John Pambalu: Wasimamizi wa Uchaguzi jimbo la Newala Vijijini hawapo vituoni kutoa na kupokea fomu za wagombea

    Mwenyekiti wa BAVICHA, John Pambalu amesema amepita kwenye ofisi kadhaa huko Newala na kukuta ofisi zimefungwa. Akitolea mfano Kijiji cha Mnyambe, Kata ya Mnyambe ambapo mpaka saa saba mchana, msimamizi wa uchaguzi alikuwa amefunga ofisi na kukimbia. Ameongeza kuwa mgombea kupitia CHADEMA...
  18. Suley2019

    LGE2024 Hakuna umuhimu Wagombea kuwachezesha vigoma Dada zetu mnapoenda kuchukua au kurejesha fomu. Huu ni udhalilishaji

    Salaam, Hivi sasa, imekuwa kama desturi katika maeneo ya Uswahilini ndani ya jiji la Dar es Salaam, ambapo baadhi ya wagombea huwalipa wanawake na vikundi vya ngoma ili waje kucheza kiholela na kuvua utu wao, kwa lengo la kuvutia umati na kupata wafuasi wengi. Wanawake hawa wanapomsindikiza...
  19. Erythrocyte

    LGE2024 Nguvu ya Umma: Angalia Jinsi Mgombea wa CHEDEMA anavyosindikizwa na Wanakijiji Wenzake kwenda kuchukua Fomu

    Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba leo tarehe 26/10/2024 kipyenga cha uchukuaji wa fomu za kugombea uenyekiti wa Serikali za Mitaa kimepulizwa Rasmi. Na hivi ndivyo Chadema ilivyofanya Ujumbe: Wananchi ndio Wenye Nchi
Back
Top Bottom