Wakuu katika pitapita zangu hii imenishangaza kidogo,
Hivi inawezekana wanafunzi wa form one kuwa wamefikisha umri wa miaka 18 hata kama mtoto alichelewa kuanza shule hivi inawezekana kweli?
Nimeona hii video huko X mtaa wa maweni, kata ya Mjimwema Jimbo la Kigamboni wameandikisha watoto wa...
Tundu Lissu mbinafsi hajajiandikisha kupiga kura uchaguzi wa serikali za mitaa awapigie wengine waliogombea lakini 2025 atataka watu wampigie kura
Hii sio sawa. Ukitaka kupigiwa kura pia wapigie kura wengine. Kura yake muhimu yaweza badili matokeo
Sababa kagoma 2025 na yeye anyimwe kura ndio...
CCM na serikali yake hawapaswi kutulazimisha kujiandikisha katika uchaguzi huu mdogo badala yake mnapaswa kujiuliza kwanini watanzania hawataki kupiga kura
Ni wazi kwamba wananchi walio wengi wamegundua kuwa hizi kura ni kiinimacho tu lkn ushindi kwenu lazima
Mtu mwenye akili...
Angalia hapa kwa makini Afisa uandikishaji anaruka nafasi makusudi badae lazima atapachika majina ya watu.
OR TAMISEMI Haya ndio maelekeozo mliyowapa maofisa Uandikishaji? Bado mnasema huu uchaguzi hauna uchakachuaji?
Haya yana baraka za nani? Kwa nini mnapenda kulipelekaTaifa kama watu wote...
Jimbo la Rungwe ,Mkoani Mbeya, Kata ya Iponjola kituo Cha Iponjola kipo katika Jengo la CCM kinyume na kanuni.
Huu uhuni ni Kwa sababu CCM imechokwa na wananchi huko chini na haikubaliki! Wameamua kufanya Kila aina ya fujo ilimradi waweze kushinda Kwa njia za hujuma !
Tutaenda nao hivyo hivyo...
Watu zaidi ya laki moja na elfu hamsini mkoani Tabora, wametumia siku moja pekee kujiandikisha katika Daftari la makazi la kupiga kura kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, utakaofanyika Novemba 27, mwaka huu ambapo zoezi hilo la uandikishaji limeanza jana Oktoba 11 na litamalizika Oktoba 20...
Katibu wa CHADEMA kata ya Tabata, Jacob Emily inadaiwa ameumizwa alipokua akiyazuia majina yaliyoletwa na watu wa CCM yasiingizwe kwenye daftari la uandikishaji wapiga kura. Watu wa CCM inadaiwa wakamvamia na kumjeruhi.
Inasemekena Polisi - Tabata walikuwapo karibu kabisa, Wametulia tu...
MAPUNGUFU MAKUBWA UANDIKISHAJI WAPIGAKURA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
Chama cha ACT Wazalendo kinafuatilia kwa karibu mwenendo wa mchakato unaoendelea wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa kulingana na ratiba iliyotolewa na Waziri mwenye dhamana ya TAMISEMI. Tangu kuanza kwa mchakato wa uchaguzi...
Wale wezi wa kura wasioheshimu sanduku la kura,wanaishi kwa mbeleko
Msijione washindi kwa wizi wa kura kimsingi mnaua morali ya wapiga kura kushiriki katika chaguzi mbalimbali hapa nchini.
Imefikia hatua wanachi hawataki kujitokeza kwenye mikutano na wala hawataki tu kusikia habari za uchaguzi...
WanaJF,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Kigoma. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kushiriki na wengine.
Kigoma ni mkoa uliopo magharibi mwa Tanzania, ukipakana na nchi za Burundi...
WanaJF,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Mara. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kushiriki na wengine.
Mkoa wa Mara uko Kaskazini Magharibi mwa Tanzania, una historia tajiri na ya...
WanaJF,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Simiyu. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kushiriki na wengine
Mkoa wa Simiyu ni mojawapo ya mikoa ya Tanzania, ulioko kaskazini-magharibi...
WanaJF,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Shinyanga. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kushiriki na wengine
Mkoa wa Shinyanga uko Kanda ya Ziwa katika Tanzania na ni maarufu kwa...
WanaJF,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Geita. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kushiriki na wengine
Mkoa wa Geita uko kanda ya ziwa, Kaskazini Magharibi mwa Tanzania, na...
WanaJF,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Mwanza. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kushiriki na wengine
Mkoa wa Mwanza ni moja ya mikoa muhimu nchini Tanzania, ukiwa katikati ya...
WanaJF,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Kagera. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kushiriki na wengine
Mkoa wa Kagera uko Kaskazini Magharibi mwa Tanzania, ukipakana na nchi za...
Unadhani kwa mazingira bora na tulivu haya ya uhuru, haki na usawa wa kidemokrasia yaliyopo sasa hivi Tanzania, ni chama kipi miongoni mwa vyama vya siasa zaidi ya 20, vyenye usajili wa kudumu na wa muda nchini, kinaweza kua kwenye nafasi nzuri zaidi ya kuibuka kidedea kwenye uchaguzi wa...
Mkoa wa Tabora unapatikana katikati ya Tanzania, unapakana na mikoa ya Shinyanga, Singida, Kigoma, Katavi, na Mbeya.
Mkoa wa Tabora una ukubwa wa takriban kilomita za mraba 76,151, na ni miongoni mwa mikoa mikubwa zaidi nchini Tanzania.
SOMA PIA
Special Thread: Orodha ya Nyuzi za Mikoa yote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.