Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir, ameivunja rasmi serikali ya mpito na bunge la taifa, huku akiteua utawala wa muda wa kusimamia nchi kuelekea uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika Desemba 22. Hatua hiyo pia imegusa serikali za majimbo, mabunge ya majimbo na tawala za maeneo maalum ya kiutawala...
Salva Kiir Mayardit, Rais wa Sudan Kusini, amembadilisha Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, ikiwa zimesalia takribani miezi mitatu kabla ya uchaguzi mkuu wa kwanza nchini humo tangu kupata uhuru mwaka 2011.
Taarifa hiyo ililosomwa Septemba 15 na chombo cha habari kinachomilikiwa na serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.