Wameona mambo ni mengi sana Mtandaoni wananchi wanakabia juu kwa juu, sasa kazi ni kufanya brain washing kwa vijana wanaotoka kambini na kurejea mtaani
Natumai mmewaambia namna ya kuja kupambana na mafisadi wanaorudisha nyuma maendeleo ya nchi yao
---------------
Vijana kote nchini Pamoja na...