uchaguzi wa chadema

  1. J

    Pre GE2025 Ukiutafakari Uchaguzi wa Chadema Kanda ya Nyasa utagundua Kupiga Kura za Makaratasi ni Kujidanganya tu!

    Kenya kwa mfano Chaguzi nyingi za kitaasisi zinasimamiwa na Chama Cha Wanasheria yaani LSK Fikiria Chaguzi za Ndani za Chadema kwa mfano zinasimamiwa na Viongozi wa Chama, Kura wanahesabu hao hao na Mshindi wanamtangaza hao hao Sasa kuna Uhalali hapo? Ile Kauli ya Bukoba ni sahihi kabisa hata...
  2. J

    Je, Msajili wa Siasa ataichunguza Chadema dhidi ya madai ya Mtu mmoja Kufanya Maamuzi yote ya Chama?

    Kama tuhuma za mchungaji Msigwa Kwamba Mbowe Ndiye anaamua mambo yote ya Chadema basi hicho Siyo Chama cha Demokrasia bali Udikteta Je, msajili wa vyama vya Siasa ataichunguza Chadema pamoja na hesabu za matumizi ya Chama?
  3. Suley2019

    Pre GE2025 Askofu Mwamakula aonya Uchaguzi wa ndani wa CHADEMA

    Watu waliohujumu wenzao na kupora kura za Uchaguzi Mkuu wa 2020 hawana tofauti na watu wanaohujumu wenzao katika chaguzi zao ndani ya vyama. Kama Chadema watasahau machozi na maumivu ya kuhujumiwa Uchaguzi wa 2020, na kama pia watashindwa kusimamia haki katika chaguzi zao za ndani basi watakosa...
Back
Top Bottom