uchaguzi wa chadema

General elections were held in Tanzania on 25 October 2015. Voters elected the president, members of Parliament, and local government councillors. By convention, the election was held on the last Sunday of October and was supervised by the National Electoral Commission (NEC). Political campaigns commenced on 22 August and ceased a day before the elections.
The incumbent president, Jakaya Kikwete, had served out two terms, the maximum allowed under the law, and was ineligible to run for a third term. Chama Cha Mapinduzi (CCM), the country's dominant ruling party, selected Works Minister John Magufuli as its presidential nominee instead of the front-runner, former Prime Minister Edward Lowassa. After failing to secure the CCM's nomination, Lowassa defected to the opposition Chadema party despite it once labelling him as "one of the most corrupt figures in Tanzanian society". This year's election was seen as the most competitive and unpredictable in the nation's history.
The government had warned politicians to refrain from engaging in witchcraft, and a deputy minister told parliament that reports linking politicians with the killings of people with albinism could be true as it increases during the election period. A ban on witch doctors was imposed in January 2015, as some of them condone the killings due to superstitious beliefs that the victims' bodies "possess powers that bring luck and prosperity".
On 29 October, CCM's Magufuli was declared the winner of the presidential election ahead of Chadema's Lowassa, who has yet to concede amid a dispute. In the National Assembly election, the CCM maintained its supermajority in parliament, but key figures in the previous cabinet suffered defeats in their constituencies. Chadema securing its largest-yet number of seats.

View More On Wikipedia.org
  1. Pre GE2025 CHADEMA Kemondo wamuunga mkono Tundu Lissu Uenyekiti Taifa

    Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika tawi la Kemondo, kata ya Igoma, jijini Mwanza, wameeleza wazi msimamo wao wa kumuunga mkono Tundu Lissu kuwa mwenyekiti wa chama hicho. Wanachama hao wamewataka wajumbe wa uchaguzi wa chama hicho kumchagua Lissu kwa madai kuwa ndiye...
  2. J

    Askofu Mwamakula: Vijana wa CHADEMA hawana tena uwezo wa kujibu hoja wamebakia kusema " Hafai, hana sifa, aondoke"

    Askofu Mwamakula anesema ni aibu kwetu sote kama taifa iwapo Vijana wetu wamefikia hatua ya kushindwa Kujibu na kujenga Hoja na badala yake wanaishia kutoa lugha za mkato " Hafai, Hana Sifa, Aondoke ' ====================== 'Hana sifa', 'Hafai', 'Aondoke'! Hizo ndio kauli za makundi ya kampeni...
  3. Kuelekea uchaguzi wa uenyekiti CHADEMA, utayarishwe mdahalo mahsusi ukijenga, nini wanataka kuifanyia CHADEMA!

    Kuelekea uchaguzi wa uenyekiti CHADEMA utayarishwe mdahalo mahsusi ukijenga, nini wanataka kuifanyia CHADEMA! Mdahalo utatoa majibu ya moja kwa moja nani anatufaa na nani hatufai.
  4. Pre GE2025 Uchaguzi ujao CHADEMA: Aliye kipenzi cha upande wa dhalimu anatia shaka

    Mshikemshike nguo kuchanika unazidi kushika kasi, pale nafasi ya M/Taifa wa CHADEMA inapokwenda kushikwa tena katika kipindi kijacho cha miaka mingine mitano. Miamba wakubwa wawili wamejotokeza kugombea natasi hii nyeti sana ndani ya chama kikuu cha upinzani. Hizi kambi kubwa mbili...
  5. Pre GE2025 Atakayeshidwa CHADEMA avunje makundi

    MIJADALA inayotawala sasa hivi kwenye mitandao ya kijamii ni kuhusu uchaguzi wa Chadema ngazi ya taifa, huku mchuano ukiwa kati ya mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe na makamu wake, Tundu Lissu kutangaza nia ya kuwania uongozi wa juu. Tunashuhudia minyukano ya makada na hoja zenye...
  6. Tundu Lissu aongoza kura za mtandaoni dhidi ya Mbowe kwa kura asilimia 84 dhidi ya 16

    Kwa mujibu wa kura za maoni zilizo fanywa na Jambo online TV matokeo yapo hiv: Watoa maoni: 12,148 Tundu Lissu kapata kura 10,204 sawa na 84% Freeman Mbowe kapata kura 1,944 sawa na 16%. Haya ni maoni ya watanzania walio nje ya mfumo wa Chadema. Wajumbe wa mkutano mkuu wana nafasi ya...
  7. Nani hupiga kura kumchagua Mwenyekiti wa CHADEMA? Wajumbe wanatokana na nini?

    Wakuu, Najua hili swali ntakuwa sijiulizi peke yangu najua tuko wengi tunaojiuliza! Sote tunajua Rais wa nchi anachaguliwa na wananchi wote as far as wamefikisha vigezo vinavyostahiki. Nataka nijue nani hasa humchagua Mwenyekiti wa CHADEMA. Mchakato wao wa uchaguzi ukoje? Je, ni mtu yeyote...
  8. K

    Naona kuna wimbi la wasusiaji wa CHADEMA hasa wale wanaharakati kwasababu wanataka Lissu awe mwenyekiti

    Naona kuna wimbi la wasusiaji wa Chadema hasa wale wanaharakati kwasababu wanataka Lissu awe mwenyekiti. Hata mimi nafikiri ni wakati Lissu angetakiwa kuwa mwenyekiti lakini tupiganie sababu za kutaka Lissu awe mwenyekiti. Tupiganie midahalo na kuelimishana sio kuzuia midahalo. Elimu ipatikane...
  9. Kati ya Tundu Lissu na Freeman Mbowe nani kaikigawa na kuikipasua CHADEMA zaidi?

    Licha ya kwamba ni uhuru na haki ya kila mwana CHADEMA kuwania nafasi ya uongozi kulingana na sifa, vigezo na masharti ya kikatiba yaliyopo ndani ya chama hicho. Je, ni nani hasa wa kulaumiwa kwa kukivuruga chama hiki cha siasa, ama kwa ubinafsi wake, uchu na tamaa zake za madaraka, kati ya...
  10. S

    Lissu haelewi kuwa uchaguzi ndani ya CHADEMA uenyekiti ni mgumu kuliko ugombea Urais kachokoza eneo ambalo atapigwa chini

    Uchaguzi ndani ya vyama vyote kugombea uenyekiti ni mgumu kuliko urais sababu unatakiwa kuwa na network kubwa ndani ya chama kuku support upite uongozi wa chama Lakini ugombea uraisi waweza okota kura za wajinga hapa na pale wanaoweza vutiwa na sura yako
  11. J

    Dr Kigwangalla: Mbowe asikubali kushindwa na Lisu, akishindwa atakuwa Fala sana

    Mbunge machachari na msomi aliyetukuka Bilionea Hamis Kigwangalla amemsihi Freeman Mbowe asikubali kushindwa na Tundu Antipas Lisu Kigwangalla anesema Mbowe na Mkwe wake ndio wamekijenga Chadema Kwa Miaka 30 sasa hivyo akikubali kushindwa atakuwa Fala sana ============= Mbowe asikubali...
  12. Pre GE2025 Baada ya Mbowe kutetea uenyekiti wake, masikini Tundu Lissu, kwishney! Je, atabaki ama atatimka? Lissu Cool down, usiitishe Press kumjibu Mbowe!

    Wanabodi, Kumekucha, Chadema Kazi Imeanza! Baada ya Mwenyekiti Mbowe kuamua kutetea Uenyekiti wake Chadema, kiukweli hatma ya Tundu Lissu ndani ya Chadema ndio imefika at the end of the road, Tundu Lissu ndio kwishney ndani ya Chadema! Je, ataendelea kugombea hadi atoswe kwa kupata kura moja...
  13. Tetesi: Huenda mgombea uongozi anaepewa nafasi kubwa zaidi ya ushindi wa uchaguzi wa chadema taifa kuwekewa vikwazo vya kimataifa

    Inasemekana chimbuko la yote hayo ni joto la uchaguzi wa ndani ya Chama Cha ha Demokrasia na Maendeleo Chadema, ilogawanyika, na kutokuwapo kabisa uwezekano wa wengine kushinda nafasi hiyo. Bado haijajulikana ni zipi hasa sababu za hali hiyo ambayo inayodaiwa kuchochewa na influence na access...
  14. Freeman Mbowe anaongea na Wahariri wa Vyombo vya Habari nyumbani kwake Mikocheni, Dar es Salaam

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, Mwenyekiti wa Chadema anayemaliza muda wake, Freeman Mbowe, ataongea na Wahariri wa Vyombo vya habari (si waandishi wa kawaida) Mwamba ataongea na Wahariri hao nyumbani kwake Mikocheni, Dar es salaam. Mimi Mtumishi wenu nitakuwepo ili kuwapa Taarifa ya kila...
  15. Pre GE2025 Njama: Inadaiwa 'Mfumo' unapanga kuvuruga Uchaguzi wa CHADEMA ili ionekane chama hicho hakina Amani

    Wasamalia wema wamevujisha Taarifa hii kwa Katibu Mkuu wa Chadema, Kwamba Watu wa Mfumo wametumwa kuvuruga Uchaguzi wa Chadema kwa faida ya Mamluki anayewatuma Taarifa kamili hii hapa Nimepata taarifa kuwa mfumo unapanga kufanya vurugu kwenye matukio ya Chama au wanachama wakati huu wa...
  16. CHADEMA Kanda ya Kaskazini yapata viongozi Wapya

    Ni katika Uchaguzi wa Kanda hiyo uliofanyika leo hii Hawa hapa Washindi Uchaguzi Kanda ya Kaskazini - 2024 Mwenyekiti, Kanda ya Kaskazini Mhe. Samwel Welwel Kura alizopata: 51% Makamu Mwenyekiti, Kanda ya Kaskazini Mhe. Gervas Sulle Kura alizopata: 53% Mweka Hazina, Kanda ya Kaskazini...
  17. Freeman Mbowe haaminiki tena ndani ya CHADEMA

    Watu wengi tulimwamini sana Mbowe kama anaweza kuendesha chama na hana maslahi yanyoambatana na CCM lakini huu uchaguzi wa mwenyekiti wa CHADEMA umemprove wrong kuwa haaminiki. Hebu angalia woote walikubali Lissu agombee uraisi hii ikiwa na maana anaweza kuongoza nchi yetu vyema lakini jambo...
  18. L

    Lissu ni Taasisi inayotembea, tukimpoteza tutapoteza mengi, akosolewe bila matusi

    Uwa siandiki Mara nyingi Kumbukeni wananchi Chama kilijengwa kwa jasho na damu za watu! Na tukapata legitimacy kukemea kila kitu, tukakatishwa tamaa 2015 baada ya ujio wa Lowassa kugombea, tumeanza kupona pona maumivu na makovu! Mauzauza yanaanza Tena kututonesha! Itakuwa tukio la pili la...
  19. Nilichojifunza! CCM inahitaji viongozi wa upinzani mfano wa kina Lipumba na kina Mbowe wengi, ili iendelee kutuchezea watanzania

    Ukichunguza sana, viongozi aina hii, wote huwa ni ndumila kuwili, mguu mmoja upinzani na mwingine chama tawala Ukifuatilia kwa umakini huu mtanange wa nani ni nani kati ya Mh. Mbowe na Mh. Lissu katika kinyang'anyilo cha Uwenyekiti wa Chadema Wanachama na wafuasi wa CCM, wanaombea kwa hali na...
  20. Tetesi: Tarehe 21/12/2024 Mbowe atatangaza rasmi kutogombea uenyekiti na atamuunga mkono Tundu Lissu

    Wasalaam Habari za uhakika kabisa kutoka ndani ya familia ya Freeman Mbowe ni kwamba amekubali ushauri wa wanafamilia na wazee wa CHADEMA kutogombea uenyekiti wa CHADEMA na badala yake atakikabidhi chama kwa Lissu. Habari zaidi zinasema mh Mbowe ataelekeza nguvu zake zote kuunganisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…