uchaguzi wa marekani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pascal Mayalla

    Kilichotokea Uchaguzi wa Marekani, kinaweza kutokea Uchaguzi 2025?. Tuyatumie matokeo yao kama shamba darasa la 2025 au wao ni wao, na sisi ni sisii?

    Wanabodi, Makala yangu Nipashe ya Jumapili. Bado niko Jijini Washington DC, nchini Marekani, kwenye haya na yale. Hii ni makala ya swali, hiki kilichotokea kwenye matokeo ya uchaguzi wa Marekani, kutomchagua mgombea mwanamke kwa sababu nyingine zozote, ila moja ya sababu hizo, inaweza kabisa...
  2. Jackal

    Republicans wachukua Mabunge yote mawili ya Marekani (House & Senate) pamoja na Urais

    Trump Oyeee!! ======== Republicans officially clinched control of the House of Representatives on Wednesday night, affirming GOP control of both chambers of Congress and the White House. WASHINGTON, DC - JULY 19: Israeli President Isaac Herzog speech on the floor of the House of ... [+]...
  3. Gol D Roger

    Trump bado hajaingia madarakani lakini Impact yake ni kubwa zaidi ya watu wanavofikiri, anatetemesha watu

    List ya mambo yaliyotokea baada ya Donald J Trump kutangazwa kushindwa uchaguzi; Taleban kutangaza kwamba wanataka amani na USA na kikundi chao kuondolewa kweny list ya terrorist groups. Rais Putin kajitokeza na kusema "western civilization is not an enemy" (hii ni ajabu kwa sababu kipindi cha...
  4. Richard

    Uchambuzi: Uchaguzi wa Marekani, Kamala Harris alikuwa kama yuko kwenye semina lakini Donald Trump alikuwa kama yuko kiwandani akipiga kazi

    Uchaguzi wa Marekani umetoa majibu kwamba raisi ajaye ni Donald Trump akiwa raisi wa 47 wa nchi hiyo lakini pia akirudi kutawala taifa hilo kubwa duniani kwa ushindi wa kishindo. Donald Trump alikuwa raisi wa Marekani kwa muhula mmoja toka mwaka 2016 hadi mwaka 2020 aliposhindwa na raisi Joe...
  5. J

    CHADEMA isijifiche katika uchaguzi wa Marekani, Lissu aeleza madhaifu yao

    CHADEMA ISIJIFICHE KATIKA UCHAGUZI WA MAREKANI, LISSU AELEZA MADHAIFU YAO Uchaguzi wa Marekani kwa sehemu kubwa unahusu maslahi ya Marekani. Wamarekani hawapigi kura kwa maslahi ya taifa au watu wa taifa jingine. Kuna kamjadala kaovyo kidogo kututoa katika mstari wa kujadili mambo yetu! Trump...
  6. kimsboy

    Ushindi wa Trump ni pigo kubwa kwa CCM

    CCM walikua wakimpigia kampeni Kamala Walijua kabisa akishinda watapata nguvu ya kuaminisha umma 2025. Kwasababu ya historia ya kamala alikua makamu kama mama yao. Kwahyo nao wangetembelea huo upepo kwamba US imewezekana basi na huku 255 inawezekana Listen Guys, tunapaswa tumkatae huyu bibi...
  7. fasiliteta

    Uchaguzi wa Marekani ni uthibitisho wa Ubaguzi hautoisha duniani

    Wamarekani ni wabaguzi sana hasa hawa weupe wanaojiona ndo binadamu, si ajabu ndo mana wamarekani weusi wanabaguliwa mpaka Dunia ya Leo ya mwangaza. Wamempiga chini Kamala kwa sababu ya uanamke wake na ngozi yake yenye weusi .Naamini wale manguli weupe kama Trump, Elon Musk bado wanaamini wao...
  8. Q

    LGE2024 Media za Tanzania wanafiki sana, zimekesha kuripoti uchaguzi wa Marekani lakini hazina habari na uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Main media karibu zote, Magazeti karibu yote, TV stations karibu zote zinaripoti uchaguzi wa Marekani kwa undani kabisa, kuna chaneli zimekesha zinaripoti huo uchaguzi, lakini cha ajabu hapa kwetu hazina habari wala haziripoti uchaguzi ulio mitaani kwao. Huu ni unafiki wa hali ya juu. Mzee wa...
  9. Yoda

    Unyutro wa Mtandao wa Twitter/X wazidi kuzorota siku ya uchaguzi

    Mtandao wa Twitter/X ndio jukwaa maarufu zaidi na pendwa la kimtandao kwa miaka mingi ya hivi karibuni katika kutoa taarifa za mambo ya siasa, katika uchaguzi huu wa Marekani unaondelea wadau wa Democrats wanalalamika X kumbeba Trump na kukandamiza taarifa zao leo siku ya uchaguzi. Leo siku ya...
  10. OC-CID

    Uchaguzi wa Marekani: Tupia kituko ambacho kingekuwa kimetokea kama kinavyotokeaga huko nchini Afghanstan

    Mawakala wa Trump wametolewa nje ya vyumba vya kupigia kura huko jimboni Maryland Endelea…
  11. politics observer

    Je, wajua wananchi wa Marekani hawaamui matokeo ya Rais wa Marekani?

    Ndio, lile n taifa la vibopa bwana. Sio wazee wa tshirt na vitenge mixer kubebwa kwny vichanja kwenda kuunga mkono juhudi. Yani USA Mchakato wa raisi huamuliwa na vibopa 538 tuu, na bunge la congress ambao n vibopa wenzao ndo umuidhinisha rais mteule. Hii imewekwa ili kulinda maslai y mgombea...
  12. Crocodiletooth

    Siku ya Watakatifu wote huwa ni 1st Nov, kwanini uchaguzi wa Marekani hufanyika J'nne baada siku hiyo?

    Chaguzi zote za Marekani hufanyika jumanne ya kwanza ya mwezi November baada ya sikukuu ya watakatifu wote, what the secret behind?
  13. B

    Ujue uchaguzi wa Marekani (USA) na jinsi rais wake anavyochaguliwa

    Uchaguzi wa rais wa nchini Marekani ni tofauti sana na chaguzi za nchi nyingine duniani Kura wanazopiga wananchi hata mgombea wa urais akishindi kwa wingi wa kura hizo hazimuingizi moja kwa moja mshindi huyo madarakani Kwa kawaida nchini Marekani (USA) uchaguzi wa kumchagua rais wa nchi hiyo...
  14. Allen Kilewella

    Uchaguzi wa Marekani ndiyo huamua hatima ya Dunia

    Zikiwa zimebakia siku mbili ili uchaguzi wa Marekani ufanyike, Dunia nzima imeshika pumzi ikitafakari nini kitatokea Marekani. Dunia nzima imegawanyika makundi mawili. Kundi la kwanza ni lile linalotaka Donald Trump ashinde na kundi jingine linalotamani Kamala Harris ashinde. Pande zote mbili...
  15. enzo1988

    Tetesi: Muda wowote kutoka sasa Iran ataishambulia Israel kabla ya uchaguzi wa Marekani November 5.

    Habari za kuaminika kutoka vyanzo vikubwa vya habari duniani kuwa Iran itatekeleza ahadi yake ya kulipiza kisasi kwa nchi ya Israel kutoka sasa na kabla ya uchaguzi mkuu wa Marekani unaotarajiwa kufanyika November 5. Iran preparing strike on Israel from Iraqi territory within days, Axios...
  16. M

    List ya Celebrities waonamuunga mkono Kamala Vs Trump Uchaguzi wa Marekani

    Mimi kwa mtizamo wangu na kulingana na kura za awali na imani Donald Trump atashinda uchaguzi wa Marekani, ambao unategemewa kufanyika tarehe 5 November 2024. Kwa sasa Marekani inamuhitaji sana mtu kama Donald Trump kwani Marekani ina maadui wengi hivyo inahitaji Raisi shupavu, kete hii...
  17. W

    Uchaguzi wa Marekani 2024: Je, Trump na Harris wana sera gani?

    Zikiwa zimebaki wiki chache kabla ya uchaguzi mkuu wa Marekani mwezi Novemba, ni wakati wa kuzielewa sera kati ya Makamu wa Rais wa chama cha Democratic, Kamala Harris na Donald Trump wa Republican. Sera za Harris Kamala vs Trump 1. Mfumuko wa Bei Harris anasema kipaumbele chake kitakuwa ni...
  18. Webabu

    Vita vya Gaza vikifikisha muda wa uchaguzi wa Marekani hakutakuwa na kusitishwa vita tena bali kutangaziwa ushindi Hamas

    Kwa ufundi na subira za hali ya juu Hamas wameweza kuhimili kipigo kizito cha Israel na washirika wake mpaka umefika mwaka mmoja hapo Septema 7. Uzito wa vita hivyo umeonekana na kila upande ambapo mpaka sasa kikwazo kikubwa ni waziri mkuu wa Israel,Benjamin Netanyahu ambaye anaona aibu...
  19. GoldDhahabu

    Uchaguzi wa Marekani 2024: Donald Trump ndiye chaguo la Mungu

    Kama wapinzani wake wangekuwa wanamwamini Mungu, wangeachana na mpango wao wa hila wa kutafuta kumkwamisha Trump kushinda kiti cha Urais mwezi Novemba mwaka huu, 2024. Hawatafanikiwa katika hilo asilani! Kwa mujibu wa "Wachungaji" mbalimbali wenye kipawa cha kuuona ulimwengu wa roho, Donald...
  20. JanguKamaJangu

    Uchaguzi wa Urais Marekani bila majina ya Biden, Bush na Clinton kwa mara ya kwanza tangu Mwaka 1976

    No Biden, Bush or Clinton on presidential tickets for first time since 1976 The three familiar last names in US politics have been candidates for president or vice president in every presidential election from 1980 until 2020. Republican George HW Bush ran as Ronald Reagan’s vice president in...
Back
Top Bottom