Trump asijichetue kudhani kwamba Biden ndio anachagua mgombea Urais Bali amefanya pendekezo lake tu.
My Take: Wagombea watapigiwa kura na kama zisipotosha Kwa Kamala basi Kuna huyu mwamba hapa ndio favorite zaidi...
Swali.
Ya Rula Da Silva wa Brazil na Mkewe yanaweza tokea Marekani this time?
---
MAREKANI - Michelle Obama, mke wa Rais wa zamani wa Marekani, Barack Obama, ndiye mgombea pekee kwa tiketi ya demokrati ambaye anaweza kumshinda mgombea wa Republican Donald Trump katika uchaguzi wa Novemba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.