Swali.
Ya Rula Da Silva wa Brazil na Mkewe yanaweza tokea Marekani this time?
---
MAREKANI - Michelle Obama, mke wa Rais wa zamani wa Marekani, Barack Obama, ndiye mgombea pekee kwa tiketi ya demokrati ambaye anaweza kumshinda mgombea wa Republican Donald Trump katika uchaguzi wa Novemba...