uchaguzi wa rais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone mwamba

    Namibia: Chama cha IPC kupeleka pendekezo Mahakama ya Uchaguzi kutengua uchaguzi wa Rais na Wabunge kutokana na kasoro zilizojitokeza

    Kulingana na malalamiko rasmi kwa ECN, chama cha IPC sasa iko katika mchakato wa kufika Mahakama ya Uchaguzi (sehemu ya Mahakama Kuu ya Namibia) ili ikiwezekana kutengua uchaguzi wa Rais na Wabunge wa Namibia leo, kwa kuzingatia ukweli kwamba idadi kubwa ya watu hawakuweza kutumia haki yao ya...
  2. Chakaza

    Mashehe wangu Watukufu, katika siasa tumuunge mkono huyu Shehe na nukuu yake

    Bado sijapata jina la shehe huyu, lakini hakika kasema bila woga kwa kunukuu maandiko tunayoyaamini kuwa ni matakatifu. Anayebisha anaye mpinga basi atuonyeshe naye kuwa shehe hapo kapotosha wala sio kweli. Hii inasaidia kuponya taifa maana kama jambo alilikataza mwenyezi Mungu kulifanya ni...
  3. Roving Journalist

    Pre GE2025 Katavi: Matukio Yanayojiri Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 yanaonesha kuwa idadi ya watu katika Mkoa wa Katavi ni 1,152,958; wanaume 569,902 na wanawake 583,056. Mkoa wa Katavi una Halmashauri tano (5) na majimbo ya uchaguzi matano (5) ambapo Jimbo la Mpanda Vijijini linaongoza kwa kuwa na watu wengi...
  4. Roving Journalist

    Pre GE2025 Rukwa: Matukio Yanayojiri Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Mkoa wa Rukwa ulianzishwa mwaka 1974 baada ya kugawanywa kutoka mikoa ya Tabora (Mpanda) na Mbeya (Sumbawanga). Mwezi Julai 2010, Serikali ya Awamu ya Nne iligawa Mkoa wa Rukwa na kuanzisha Mkoa mpya wa Katavi. Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022 yanaonesha kuwa idadi ya watu...
  5. Roving Journalist

    Pre GE2025 Lindi: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Mada hii itakuwa na 'Updates' za kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Lindi. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kushiriki na wengine. Ramani ya Mkoa wa Lindi HISTORIA YA MKOA WA LINDI Mwaka 1961 wakati Tanganyika...
  6. Roving Journalist

    Pre GE2025 Kilimanjaro: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    HISTORIA YA MKOA WA KILIMANJARO Mkoa wa Kilimanjaro ulianzishwa rasmi mwaka 1963 kwa Tangazo la serikali Na.450 la mwaka huo ukiwa na wilaya za Kilimanjaro na Pare. Kabla ya Uhuru Mkoa wa Kilimanjaro ulikuwa ni sehemu ya Jimbo la kaskazini (Nothern Province) lililokuwa linaundwa na wilaya za...
  7. Roving Journalist

    Pre GE2025 Mbeya: Matukio Yanayojiri Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Mkoa wa Mbeya ni moja kati ya mkoa iliyopo katika Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania. Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 yanaonesha kuwa idadi ya watukatika Mkoa wa Mbeya ni 2,343,754; wanaume 1,123,823 na wanawake 1,219,926 Mji wa Mbeya ulianzishwa na wakoloni Waingereza mnamo...
  8. Roving Journalist

    Pre GE2025 Iringa: Matukio Yanayojiri Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025

    Iringa ni mkoa uliopo Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania, kati ya latitudo 6.540 na 100, na longitudo 33 na 37° Mashariki. Mkoa huu unachukua eneo la kilomita za mraba 58,936. Iringa ni mji wenye mandhari mazuri, uliopo katikati ya sekta ya chai nchini Tanzania. Umejengwa kwenye mteremko wa...
  9. Roving Journalist

    Pre GE2025 Arusha: Matukio Yanayojiri Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    HISTORIA YA MKOA WA ARUSHA Mkoa wa Arusha ni moja kati ya Mikoa 26 ya Tanzania Bara, wenye ukubwa wa KM za mraba 34,515.5. Kiutawala Mkoa unao Wilaya 6 na Halmashauri 7, Tarafa 23, Kata 33, Vijiji 393, Mitaa 154 na Vitongoji 1471. Idadi ya watu kwa ongezeko la 2.7% kwa mwaka na inakadiriwa...
  10. Roving Journalist

    Pre GE2025 Ruvuma: Matukio Yanayojiri Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Mkoa wa Ruvuma. Umepewa jina kutokana na mto Ruvuma ambao ni mpaka wake wa kusini na Msumbiji. Umepakana na Ziwa Nyasa na Mkoa wa Morogoro upande wa magharibi, mikoa ya Iringa na Lindi upande wa kaskazini na Mkoa wa Mtwara upande wa mashariki. Makao makuu ya mkoa yako Songea mjini. Matokeo ya...
  11. Roving Journalist

    Pre GE2025 Njombe: Matukio Yanayojiri Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Mkoa wa Njombe ni mmojawapo kati ya mikoa mipya nchini Tanzania wenye postikodi namba 59000, ukiwa ulianzishwa rasmi mwaka 2012. Unapakana na mikoa ya Morogoro, Ruvuma, Mbeya, na Iringa. Kutokana na hadhi mpya, Wilaya ya Njombe iligawanyika kati ya Njombe Mjini na Njombe Vijijini. Pia, mwezi...
  12. Roving Journalist

    Pre GE2025 Songwe: Matukio Yanayojiri Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Mkoa wa Songwe ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania yenye postikodi namba 54100 ukiwa umemegwa kutoka ule wa Mbeya mwaka 2016. Jina la mkoa limetokana na lile la mto Songwe. Makao makuu yako Vwawa. Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 yanaonesha kuwa idadi ya watu katika Mkoa wa...
  13. Roving Journalist

    Pre GE2025 Tanga: Matukio Yanayojiri Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    HISTORIA YA MKOA WA TANGA Mkoa wa Tanga ni moja kati ya mikoa 31wenye eneo la 27,348 km² na upo Kaskazini Mashariki mwa Tanzania ukipakana na Kenya upande wa Kaskazini, Bahari Hindi upande wa mashariki na mikoa yaTANGA Morogoro, Manyara na Kilimanjaro. Mpaka upande wa kusini unafuata mto wa...
  14. Roving Journalist

    Pre GE2025 Manyara: Matukio Yanayojiri Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    HISTORIA YA MKOA WA MANYARA Kwa mujibu wa tovuti ya Mkoa wa Manyara, Mkoa huu ulianzishwa kwa tangazo la Serikali Na. 367 lililotolewa tarehe 27 Julai, 2002 na kuchapishwa katika gazeti la Serikali tarehe 2 Agosti, 2002 baada ya kugawanywa kwa Mkoa wa Arusha ambao kabla na wakati wa kipindi cha...
  15. Roving Journalist

    Pre GE2025 Morogoro: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Mada hii itakuwa na 'Updates' mbalimbali za Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Morogoro. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kushiriki na wengine. Ramani ya Mkoa wa Morogoro HISTORIA YA MKOA WA MOROGORO Mkoa wa...
  16. Roving Journalist

    Pre GE2025 Pwani: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Mada hii itakuwa na 'Updates' mbalimbali za Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa PWANI. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kushiriki na wengine. RAMANI YA MKOA WA PWANI HISTORIA ZA MKOA WA PWANI Mkoa wa Pwani...
  17. Roving Journalist

    Pre GE2025 Mtwara: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Mada hii itakuwa na 'Updates' mbalimbali za Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa PWANI. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kushiriki na wengine. Ramani ya Mtwara HISTORIA YA MKOA WA MTWARA Mkoa wa Mtwara ni moja ya...
  18. Roving Journalist

    Pre GE2025 Dar es Salaam: Matukio Yanayojiri Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Mada hii itakuwa na 'Updates' mbalimbali za Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa PWANI. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kushiriki na wengine. Ramani ya Jiji la Dar es Salaam HISTORIA YA JIJI LA DAR ES SALAAM Jiji...
  19. R

    Pre GE2025 Lissu atamtikisa Rais Samia, CHADEMA mpeni kijiti tena Lissu

    Haya ni maoni yangu na upepo ninavyouona unavyovuma! Lisu is the right presidential candidate from Chadema! Give him a second chance. ATAMTIKISA SAMIA, TENA SANA!
  20. Yoda

    Uchaguzi wa Rais Venezuela tafrani, upinzani washinda, matokeo hayatangazwi

    Uchaguzi wa Rais huko Venezuela uko katika hali tete baada ya matokeo yaliyosambaa kutoka katika kituo kikuu cha majumuisho ya kura kuonyesha Rais wa nchi hiyo Nicalas Maduro kushindwa kwa kishindo na mgombea wa upinzani Edmunds Gonzalez. Hata hivyo kuna mashaka makubwa endapo Rais Nicolas...
Back
Top Bottom