uchaguzi wa rais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Kuna kampeni zinaendelea chinichini za kumfanya Mwabukusi asipigiwe kura kwenye uchaguzi wa Rais wa TLS

    Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) kinarajia kufanya uchaguzi wake mkuu hivi karibuni Jijini Dodoma kumchagua rais wa kuongoza chama hicho kwa kipindi cha mwaka mmoja Wagombea halaii waliopitishwa kupigiwa kura kwenye nafsi hiyo ni sita kati ya hao Wakili machachari Boniface Mwambukusi ni...
  2. Roving Journalist

    Pre GE2025 Dodoma: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Mkoa wa Dodoma unapatikana katikati ya Tanzania, unapakana na mikoa ya Manyara, Morogoro, Iringa na Singida. Mkoa wa Dodoma una ukubwa wa takriban kilomita za mraba 41,310. Dodoma ni mji mkuu wa Tanzania na pia ni makao makuu ya serikali, ambapo bunge na ofisi nyingi za kitaifa zipo. Idadi ya...
  3. Roving Journalist

    Pre GE2025 Tabora: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Mkoa wa Tabora unapatikana katikati ya Tanzania, unapakana na mikoa ya Shinyanga, Singida, Kigoma, Katavi, na Mbeya. Mkoa wa huu una ukubwa wa takriban kilomita za mraba 76,151, na ni miongoni mwa mikoa mikubwa zaidi nchini Tanzania. SOMA PIA Special Thread: Orodha ya Nyuzi za Mikoa yote...
  4. 4

    Uchaguzi 2020 Tumalize ubishi; Uchaguzi wa Rais 2020, CCM ilichapika au haikuchapika?

    Wakuu wa nguvu na wana wa Mungu wanaJF, kibali cha Mungu kikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake Hili andiko litakua fupi sana. JF ni ukweli na huakika siku zote, Ndugu zangu binafsi bado nina msongo wa mawazo husiana na uchaguzi wa 2020 , hii ni tokana na maoni ambayo wanyonge wenzangu...
  5. Roving Journalist

    Pre GE2025 Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya mwaka 2024

    Sheria hii inaweka masharti ya kusimamia uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani, kufuta Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, 1985 na Sheria ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa, 1979 na kuweka masharti mengine yanayohusiana na hayo. Kwa mujibu wa Sheria hii, Mtu yeyote ambaye ni raia wa Tanzania aliyetimiza...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    Pre GE2025 Kutoa fomu moja ni dalili ya uoga na kutokukubalika!

    Kwema Wakuu! Wanaoshauri timu moja itolewe wanajaribu kueleza na kumpa taarifa Rais kuwa hakubaliki. Au tuseme wanajaribu kumtisha Rais kuwa kwa hali ilivyo hakubaliki. Katika lugha za kisaikolojia mtu akisema kuwa, hakuna haja ya kuchapisha fomu nyingi za kuwania Urais au nafasi fulani. Hiyo...
  7. Erythrocyte

    Pre GE2025 Maswa: CHADEMA yafanya Mkutano Mkuu wa Jimbo, hawakusema wanataka fomu 1 tu ya Mgombea wao wa Urais 2025

    Kama ulikuwa hujui basi nakujuza Rasmi kwamba , Chadema haisubiri mwaka upauke, tayari wameanza kwa kasi mipango yao. Wanachonifurahisha ni kwamba, hawana kiherehere na Mgombea urais wa 2025, wanapanga mambo yao na kukabidhiana majukumu, yale mambo ya sijui ichapishwe fomu 1 ya urais ili...
  8. RWANDES

    Pre GE2025 Swali kwa Kinana, lini Rais Samia alipigiwa Kura na wajumbe au amerithi kiti hicho cha urais?

    NI wazi kwamba Samia Suluhu Hassan alirithi kiti cha urais baada ya Hayati Magufuli kufariki dunia huyu ndiye aliyepitishwa na wajumbe wa mkutano mkuu na vikao vya chama hadi akawa rais. Kinana asipotishe umma kwamba desturi ya CCM NI kumwachia rais aliyepo sasa kuendelea na mhula mwingine bila...
  9. J

    Pre GE2025 CCM kushinda 2025 inahitaji kura kuu 2 tu

    CCM kushinda 2025 Inahitaji kura kuu 2 TU! a) Kura za wanawake ambapo inatakiwa link kati ya wanawake na CCM, ndo sababu ya Jokate Mwegelo kupewa UWT. Mind you mtu alozaliwa 1990-1994 ni Mama na potential voter wa 2025/2030. Na huyu by any means anamjua Jokate kama rolimodo wake b) Kura za...
Back
Top Bottom