uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. J

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kufuatwa baada ya kulingana kwa kura za wagombea walioongoza katika Uchaguzi

    Kwa mujibu wa kifungu cha 77 cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343 na kifungu cha 78 cha Sheria ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa, Sura ya 292, pale ambapo kutakuwa na wagombea waliopata idadi ya kura inayolingana na ikashindikana kupata mshindi baada ya kujumlisha kura zote, Msimamizi wa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wito: Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi na timu yake yote wajiuzulu

    Kupitia akaunti ya twitter ya Tundu Lissu,nimeona video (bila shaka ni huko Kawe, Dar-es-salaam) inayoonyesha rundo la kura zinazidaiwa kuwa ni feki huku Polisi wakishirikishwa kuzitambua/ kushuhudia karatasi hizo za kura ambazo zimepigiwa kura mgombea wa CCM. Video hii ni tofauti na ile...
  3. JamiiForums Tanzania Uchaguzi ni upotevu tu wa muda na pesa usio na msingi

    Nadhani ifike muda tuachane na huu ujinga wa kiini macho cha so called uchaguzi, huu ni upotevu mkubwa sana wa muda na pesa bila sababu ya msingi. Watu wameshapanga matokeo since day one na wanajua kabisa wanachokwenda kufanya why muhangaike kupoteza pesa za walipa kodi na muda wao kwa njia ya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Je, shinikizo kutoka nje linahitajika ili pawepo Tume Huru ya Uchaguzi?

    Ni dhahiri kwamba Tume Ya Uchaguzi iliyopo si tume huru kama misingi ya chaguzi za kidemokrasia inavyohitaji. Mojawapo ya mapungufu ya tume yetu (NEC) ni kwamba watendaji wake wote wanachaguliwa na Rais ambaye pia ni mmoja wapo wa wagombea. Watendaji hawa wanawajibika kwake na anaweza kuwaondoa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 TCRA, hamuwaoni TBC wanavyopiga kampeni wazi siku ya Uchaguzi?

    Kwa wote mnaoangalia TBC, wana “Mchambuzi wa Masuala ya Siasa” anamwaga sifa kemu kemu kwa Dkt. Magufuli ambaye ni mgombea Urais kupitia CCM. Mchambuzi wao huyu anaonekana wazi kuwa amekuja kuhamasisha watu kumpigia kura Ndg. Magufuli na mbaya zaidi anamkandia Mzee Mwinyi na kueleza mazuri ya...
  6. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 RC Chalamila: Mitandao ya kijamii kutoweka hewani hakuhusiani na uchaguzi, huwa inatokea wakati wowote

    RC Chalamila amesema kutoweka hewani kwa mitandao ya kijamii kusihusishwe na uchaguzi kwani ni kawaida mitandao hiyo kusumbua bila kujali matukio. Maendeleo hayana vyama!
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020

    MATOKEO - LIVE: Wakuu, Tunawaletea matukio na matokeo rasmi kwa nafasi ya Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC kama yatakavyokuwa yakitangazwa. Orodha rasmi ya wagombea wanaowania Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Kama ilivyo kwenye karatasi ya kupigia kura) 1...
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 Asante Serikali kwa maandalizi bora ya Uchaguzi 2020

    Hatimaye nimetumia Kitambulisho cha Utaifa kupiga kura. Hii ndio demokrasia na maendeleo ya kweli. Haki ya kuchagua na kuchaguliwa imeongezewa uwigo.
  9. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dua ya Askofu Mwamakula: Atakayehusika na kudhulumu uchaguzi afedheheshwe yeye hadi kizazi chake cha nne!

    Kama watumishi wa NEC, TISS, Wakurugenzi, Watawala, Wasimamizi wa vituo na mtu yeyote anayehusika na uchaguzi wanataka waendelee kuishi kwa baraka katika maisha yao, basi wajichunge sana namna watakavyoendesha na kusimamia uchaguzi huu. Wawe makini kwa sababu kuna dua nzito sana imeombwa na...
  10. JamiiForums Tanzania DW inaeleza yanayoendelea Tanzania katika uchaguzi mkuu huu

  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Simiyu: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Simiyu. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Simiyu una jumla ya majimbo ya uchaguzi 7 ambayo ni:- Bariadi - Andrea Kundo (CCM) - Kura 92,488...
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Mtwara: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Mtwara. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Mwara una una jumla ya majimbo ya uchaguzi 10 ambayo ni: 1. Mtwara Mjini Hassan Seleman (CCM) -...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Rukwa: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Rukwa. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Rukwa una jumla ya majimbo ya uchaguzi 5 ambayo ni Sumbawanga Mjini - Aeshi Khalfan Hilary (CCM) -...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Lindi: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Lindi. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Kilwa Kaskazini Francis Ndulane (CCM) - Kura 20,501 Vedasto Ngombale (CUF) - Kura 8,513 Kilwa Kusini -...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Ruvuma: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Ruvuma. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Ruvuma una jumla ya majimbo ya uchaguzi 9 ambayo ni:- Songea Mjini - Dkt. Damas Ndumbaro(CCM) -...
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Iringa: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Dar es Salaam. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Iringa una jumla ya majimbo ya uchaguzi 7 ambayo ni: Iringa Mjini - Jesca Msambatavangu(CCM)...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Songwe: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Songwe. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Songwe una jumla ya majimbo ya uchaguzi 6 ambayo ni: Ileje - ENG. MSONGWE GODFREY KASEKENYA -...
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Katavi: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Katavi. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Katavi una jumla ya majimbo ya uchaguzi 5. Wabunge walioshinda kwenye hayo majimbo ambayo ni:-...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Dar es Salaam: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Dar es Salaam. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Ubungo Profesa Kitila Mkumbo (CCM) - Kura 63,221 Boniface Jacob (CHADEMA) - kura 20,620 Kibamba...
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Kigoma: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Kigoma. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Kigoma una jumla ya majimbo ya uchaguzi 8 ambayo ni Buyungu - Aloyce Kamamba (CCM) Muhambwe -...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…