Na Mwandishi Wetu, Jamhuri Mwedia, Dar es Salaam.
Akizungumza katika mkutano wa viongozi wa chama na jumuiya ngazi ya shina, tawi, kata na wilaya katika Wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es salaam CPA, Makalla amesema kuwa CHADEMA inafanya Makosa kuwahadaa wananchi wasijiandikishe kwa madai kuwa...