uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu COTU, Francis Atwoli: William Ruto atakuwa Rais katika uchaguzi wa 2027 kufikia saa 4 asubuhi

    Katibu Mkuu wa Muungano wa Vyama vya Wafanyakazi (COTU), Francis Atwoli, amesema kuwa itakuwa vigumu kumshinda Rais William Ruto katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027 nchini Kenya. Akiwa mgeni katika kipindi cha JKL Show usiku wa Jumatano, Atwoli alieleza kuwa hakuna mgombea anayeonekana kuwa na...
  2. JamiiForums Tanzania LGE2024 Special Thread: Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

    Wakuu, Ili kuzifikia nyuzi hizi kirahisi, hapa utapata orodha yote ya mikoa inayoshiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024, ambamo ndani yake utapata links za matukio yote yanayojiri katika mikoa husika, mpaka kufikia kwenye matokeo ya uchaguzi huo. ==== Mwaka huu 2024 Tanzania Bara...
  3. JamiiForums Tanzania ACT WAZALENDO kuwa chama kikuu cha upinzani kitakuwa mshindi wa pili kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2025

    Chama cha @ACTwazalendo kimeshinda Kijiji cha Nkoasenga kilichoko Kata ya Leguriki Jimbo la Arumeru Mashariki. ACT Kura 528 CCM Kura 417 Kwa hivyo Jotsun Mbise ndio Mwenyekiti wa Kijiji cha Nkoasenga. #VijijiVyaWote #MitaaYaWote #MaslahiYaWote Chama cha ACTwazalendo kimeshinda Mtaa wa...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Inaogofya sana kuona hakuna mtu wala taasisi inayokemea dhulma katika uchaguzi

    Kwa jicho la kichawa unaweza kufurahia yanayoendelea, lakini kiukweli upendo, umoja na mshikamano wa watanzania vinadhoofu kila siku. Historia itakuja kutuhukumu kwa kutochukua hatua stahiki. Ukimya na kutochukua hatua kwa:- 1. Watu wanaotekwa, wanaopotea na kuuawa. 2. Ubakwaji wa demokrasia wa...
  5. JamiiForums Tanzania Namibia: Chama cha IPC kupeleka pendekezo Mahakama ya Uchaguzi kutengua uchaguzi wa Rais na Wabunge kutokana na kasoro zilizojitokeza

    Kulingana na malalamiko rasmi kwa ECN, chama cha IPC sasa iko katika mchakato wa kufika Mahakama ya Uchaguzi (sehemu ya Mahakama Kuu ya Namibia) ili ikiwezekana kutengua uchaguzi wa Rais na Wabunge wa Namibia leo, kwa kuzingatia ukweli kwamba idadi kubwa ya watu hawakuweza kutumia haki yao ya...
  6. S

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Uchaguzi umekwisha maisha yaendelee

    Uchaguzi umeisha leo, walioshinda na walioshindwa wote watanzania, cha msingi wananchi wanataka huduma na sio bora huduma, mnaopanga kufanya vurugu mnajitafutia kifo na jela tu
  7. JamiiForums Tanzania LGE2024 Tanga: Watu wanne wakamatwa na Jeshi la Polisi kwa kufanya vurugu kwenye vituo vya kupigia kura

    Watu wanne wamekamatwa na Jeshi la Polisi mkoani hapa wakidaiwa kufanya vurugu kwenye vituo vya kupigia kura kwenye Wilaya za Pangani na Tanga mjini, wakati upigaji kura ukiendelea. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake leo Novemba 27, 2024 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, ACP...
  8. JamiiForums Tanzania LGE2024 Baada ya kuvuga uchaguzi, Mtendaji wa Kata akimbizwa kwa kutumia gari la Serikali, Mwalimu ambako masundukù ya kura za wizi yalifichwa, atoroka

    Huko Kata ya Ruhuhu, wilayani Ludewa, mkoani Njombe, karatasi za kupigia kura hazikuwa na majina ya wagombea kupitia CHADEMA. Wananchi waliweza kuzuia uchaguzi usifanyike. Mtendaji kata bwana Yusufu Lukuwi (mtoto wa Kidulile), alipoona wananchi wamechachamaa, alitoa taarifa Wilayani, na...
  9. JamiiForums Tanzania LGE2024 Special Thread: Matukio ya Rafu za Uchaguzi na Malalamiko kwenye Zoezi zima Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Wakuu, Wakati zoezi la kupiga kura linaendelea vitendo vya uchakachuaji na malalamiko ya kuonewa wakati wa uchaguzi huwa havikosekani. Pia soma: LIVE - LGE2024 - Special Thread: Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 Uzi huu utakuwa maalum...
  10. JamiiForums Tanzania LGE2024 Pwani: CHADEMA waeleza changamoto za Uchaguzi

    Baraza la Wanawake Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA) Kanda ya Pwani leo Novemba 27, 2024 limetembelea vituo vya kupigia kura katika mitaa mbalimbali ya Kinondoni likiwa limeambatana na kaimu Mwenyekiti wa Baraza hilo Taifa, Sharifa Suleiman. Wakiongozwa na Mwenyekiti wa Baraza la...
  11. JamiiForums Tanzania LGE2024 Tundu Lissu aliwaasa kuwa hakuna uchaguzi ila mkampuuza

    Chadema Tuache kuwa keyboard worriors ebu tujitafakari kwa haya matukio ya uchaguzi ya kuuawa kwa viongoz wetu na kuibiwa kura tutalalamika mpaka lini
  12. JamiiForums Tanzania LGE2024 ACT Wazalendo waitupia lawama CCM, changamoto Uchaguzi Geita

    Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Mkoa wa Geita, Lucas Tibengana amesema kuwa zoezi la uchaguzi wa Serikali za mitaa limekumbwa na changamoto kutokana na mfumo wa majina, hali Iliyosababisha baadhi ya wananchi kushindwa kushiriki katika upigaji kura. Akizungumza katika kituo cha kupigia...
  13. D

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Demokrasia Tanzania iliondoka na Mzee Kikwete. Kwa sasa uchaguzi imebaki maigizo tu

    Kipindi cha jk watu walifurahia kupiga kura kwa sababu kila kura ilikuwa na thamani na aliyeshinda ndo alitangazwa. Lakini tangu Hayati Magufuli aingie madarakani tanzania ikawa jehanamu ya kila uozo. Vyama vya upinzani vikaanza kuonekana ni wakimbizi ndani ya nchi na vikaanza kusakwa kama...
  14. JamiiForums Tanzania LGE2024 Iringa: Mkuu wa Mkoa Serukamba asema changamoto za Uchaguzi zimetatuliwa vyema katika mkoa wake

    Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Peter Serukamba, amepongeza mwenendo wa upigaji kura katika mkoa huo, akieleza kuwa mchakato huo umekwenda vizuri licha ya baadhi ya changamoto zilizojitokeza. Serukamba amesema changamoto hizo zimeshughulikiwa haraka ili kuhakikisha uchaguzi unakuwa wa huru na haki...
  15. JamiiForums Tanzania LGE2024 Geita: ACT Wazalendo waitupia lawama CCM changamoto za Uchaguzi

    Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Mkoa wa Geita, Lucas Tibengana amesema kuwa zoezi la uchaguzi wa Serikali za mitaa limekumbwa na changamoto kutokana na mfumo wa majina, hali Iliyosababisha baadhi ya wananchi kushindwa kushiriki katika upigaji kura. Akizungumza katika kituo cha kupigia...
  16. B

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Unaenda kupiga kura uchaguzi Serikali za mtaa bila hata kuonyesha uthibitisho kama kweli wewe ndiye mhusika wa jina hilo

    Nilifika asubuhi kituo nilichojiandikisha kupiga kura nikakuta orodha ya majina yamebandikwa nje kwenye kuta nikatafuta jina langu nikaliona Baada ya hapo nikaingia kupiga kura msimamizi wa uchaguzi akaangalia jina langu kwenye orodha ya daftari lake akalitiki bila hata kupata uthibitisho kama...
  17. JamiiForums Tanzania LGE2024 DODOMA: Mwanasheria Mkuu wa Serikali apiga Kura Ilazo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali Ndugu Hamza Johari amepiga kura katika eneo la llazo jijini Dodoma Amepongeza Waandaaji na Waratibu wa Uchaguzi kwa mpangilio mzuri uliopo kwenye vituo unaofanya watu watumie muda mfupi katika zoezi la kupiga kura.
  18. R

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Wanaoharibu uchaguzi wanamwamini Mungu au wanaamini chama tawala?

    Kinachoendelea nchini aibu kubwa sana ndani na machoni pa mataifa mengine. Tumefikaje hatua ya watendaji wa serikali kuua mwananchi na mwanasiasa kwa sababu ya uchaguzi wa ujumbe wa serikali za mitaa? Kama uchu wa madaraka umekuwa mkubwa kiasi cha kuua mjumbe wa shina je nini kitatokea kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Mbinu mpya ya CCM kuingiza kura fake vituoni ni kutumia Plice na magari yao.

    CCM ni sawa na yale magenge ya Madawa za kulevya kule Mexco, ambako kila mbinu ikijulikana huingia chimbo na baadae kuja na mbinu mpya ya kusafirisha Dawa za kulevya. CCM baad ya kugundua mbinu nyingi za wao kuiba kura hasa kura fake zinajulikana now day sana wanatumia police hao hao kuiba...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kama kuna hitilafu na wizi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, itakuwaje kwenye uchaguzi mkuu?

    Chama kama kinakubalika na wapiga kura Kuna haja Gani ya kutumia nguvu kubwa namna hii na wizi wa kura ata uchaguzi wa serikali za mitaa? Aya ni maajabu mengine nayashuhudia Tanzania Kwamba kura zishapigwa kitambo waliopiga awajulikani Daah hii kitu inaitwaje sijaelewa kabisa ni mambo ya aibu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…