Huyu kijana kasema ukweli mtupu kabisa ameeleza namna viongozi wengi wa serikali wamegeuka kuwa machawa na sio watendaji wa kumsaidia rais.
Ameeleza kuchagulia kuwa kiongozi si kwamba una vyeti vingi bali umeaminika utasaidia na kuwatumikia wananchi, kwahiyo waache kupiga makofi kila kitu bali...