Kijana mzalendo: Acheni kumpigia makofi Rais kila anachongea, bali mshaurini

Kijana mzalendo: Acheni kumpigia makofi Rais kila anachongea, bali mshaurini

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Huyu kijana kasema ukweli mtupu kabisa ameeleza namna viongozi wengi wa serikali wamegeuka kuwa machawa na sio watendaji wa kumsaidia rais.

Ameeleza kuchagulia kuwa kiongozi si kwamba una vyeti vingi bali umeaminika utasaidia na kuwatumikia wananchi, kwahiyo waache kupiga makofi kila kitu bali wamshauri rais yapi yanapaswa kwenda ili watanzani waendelee kupata maendeleo ya kweli!

 
Hajawahi kuongea jambo la maana zaidi ya kutokwa na maharage mabovu tupu.
 
Yeye haoni mpaka ashauriwe? Unajua wakati mwingine ukiwa Kiongozi wa familia Kuna baadhi ya mambo hayaitaji watoto waoengee ndiyo ufanye.. automatically tu unayatimiza kama sehemu ya wajibu wako.

Honestly tangu huyu Samia aingie madarakani sijawai ona jema lake hata Moja, hotuba zake zote ni kichefuchefu, sidhani kama anajua wajibu wake ni upi? Kama Rais wa nchi..
 
Mtu umeangukiwa na urais huna hili wala lile..elimu yenyew ni hapa na pale...hawez kuelewa..ila naamin atasoma kwa njia ngumu...
 
Back
Top Bottom